Juzi nilikuwa Serengeti, niliona jambo ambalo limenisikitisha sana na kunitoa machozi

Jisomee kidogo ecology, tse tse fly ni sehem ya eco system ya mbugani, ww ambae ufaham ni vema ungeuliza kwanza
 
Four Season Safari hiyo
Zamani iliitwa Bilila Lodge...

Humo kuna Vyumba vya hadi milioni kumi kwa siku.

Karibuni sana Serengeti
 
Wanadai Tajiri anatumia mwandiko Wa Lucas
Huyo tajiri yupo miaka mingi sana humu kabla ya akina Luka kuanza kububujikwa na machozi.

Awali alikuwa akitumia jina la "Kidukulilo", baadae akatangaza kubadili jina na kujiita Billionea Lugano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…