Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
tulia mkuu .. tupo bussy inboboHahaha Mkuu spirit yako sio ya mchezo mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tulia mkuu .. tupo bussy inboboHahaha Mkuu spirit yako sio ya mchezo mchezo
Kwa usawa huu wa Anko Sizonje Laki moja unasema ndogo....?pesa ndogo sana hiyo
Dah.... Sasa laki utafanyia nini cha maana? Tuseme umepewa Sasa. [emoji13] [emoji13]Kwa usawa huu wa Anko Sizonje Laki moja unasema ndogo....?
Acheni masikhara hayo jamani...
Hilo swali lako ni dharau kwangu mkuuDah.... Sasa laki utafanyia nini cha maana? Tuseme umepewa Sasa. [emoji13] [emoji13]
mkuu usiogope lakiniKwa usawa huu wa Anko Sizonje Laki moja unasema ndogo....?
Acheni masikhara hayo jamani...
Ukimpa tu hiyo hela atakubali Bila kujitambulisha kwao..Juzi nilimtongoza demu akaniambia hawezi kunikubalia hadi nikajitambulishe kwao basi nikaamua kupiga kimya. Sasa leo kanitumia SMS anaomba nimsaidie 100,000/= na mie nimemwambia akajitambulishe kwetu.
Ukijifanya mjinga mie nakuwa mpumbavu.
Si uligoma kunitumia laki jamani?Afu umenikimbia ee
Lazima niogope tuu, maana nina mwezi sasa hata Elfu Hamsini sijaisoma kabisa mkononimkuu usiogope lakini
mkuu pole aisee ndiyo maishaLazima niogope tuu, maana nina mwezi sasa hata Elfu Hamsini sijaisoma kabisa mkononi
ningeituma hapa hap JF?Si uligoma kunitumia laki jamani?
Si ulisema unaituma kwa Shunie ili yeye anipatie mieningeituma hapa hap JF?
yule.. ananitongoza wazi wazi unadhani nikimpa atakuletea? we sema hutaki basSi ulisema unaituma kwa Shunie ili yeye anipatie mie
Anakutongoza?????????yule.. ananitongoza wazi wazi unadhani nikimpa atakuletea? we sema hutaki bas
ndio, hutaki?Anakutongoza?????????
Una bahati jamani.....ndio, hutaki?
sasa nina bahati kivipi .. wakati simtaki nakutaka wewe na wewe hunitaki unataka laki..Una bahati jamani.....
Hahahahahhahhah........sasa nina bahati kivipi .. wakati simtaki nakutaka wewe na wewe hunitaki unataka laki..