Juzi nimemuona hospitali akiingia CTC

Juzi nimemuona hospitali akiingia CTC

Habari zenu wakuu, herini ya mwaka mpya. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada.
Miaka mitatu iliyopita nilifahamiana na binti mmoja kupitia social media na niyeye alienitafuta, awali tulikua tukionana mtaani lakini sikuwahi kutaka ukaribu nae. Ni pisi ya kawaida sura ya upole, mtaratibu, mcha Mungu, mpambanaji mengineyo siyajui kwa sababu ya umbali.

Baada ya kuzoeana tulibadilishana namba na akaanza kunitafuta kwa speed ambayo ilinipa wasiwasi. Kwakuwa dalili nilishaziona nikatulia sikutaka kujipa majukumu wakati tupo mbali(fimbo ya mbali haiui nyoka)siyataki kabisa mahusiano ya mbali. Kuna siku alinipigia simu usiku ikawa inatumika, hiyo siku ndipo alipofunguka kuwa ana wivu nami kwanini nnaongea na KE usiku? "Hujui kama unaniumiza"? Ah sikumjibu kitu nikampotezea. Sikuwa naongea hata na KE.

Siku zikazidi songa, akazidi kuwa open kwangu lakini nikawa nampotezea sana hadi nikawa sipokei simu zake. Baada ya kuona hivyo aliniambia yupo tayari kunifuata nilipo tuishi wote na yupo tayari kuacha kazi ili anifuate anayo akiba kidogo itakayomuwezesha kuanzisha biashara huku. Sikukubaliana nae na wala sikumkatisha tamaa nilimwambia subiri ntakupa uamuzi wangu. Muda ukapita akaona kimya sikumjibu na sijamjibu hadi leo, akaniomba endapo nikija mkoa alipo nimjulishe tuonane, kuna kipindi nilifanikiwa kufika mkoa alipo lakini sikuwa na kumbukumbu nae kabisa. Siku nayoondoka ndio siku aliyoniona, alilalamika sana na kunipigia akilia kwanin namfanyia hivyo(binafsi sikudhamiria). Nikaweka maneno basi akatulia akinisihi nimruhusu aje nilipo au next time nikija nimjulishe.

Kasheshe ikaanza kila nikija nikimjulisha tuonane naona kama ananikwepa lakini nikiondoka yanakuwa maneno mengi kwenye simu siku ukija nitakupa hiki, mara kile nitakupa vyote. Kafanya hivyo mara 3, misheni ikifeli mimi huyo na mambo yangu ngono sio jambo la kulipa kipaumbele sana kwangu.

Last time alinitafuta akalalamika nimemsusa akaniuliza nitakuja lini? Nikamwambia me nipo, akauliza mbona ujaniambia kama umekuja? Akajiongeza, Basi naomba tuonane tarehe 1 au 2, nikamwambia poa lakini vipi kwanini isiwe tarehe 30? Jibu likawa ni hapana kuna mahali naenda ni muhimu. Nikamkubalia.

Tarehe 30 bila kutarajia kuna ndugu yangu alizidiwa ghafla ikabidi tumuwaishe hospital X. Tumefika pale mgonjwa akapokelewa nikawaacha wawili (mgonjwa na ndugu yangu mwingine), mlinzi akahitaji nitoe gari pale sio sehemu ya parking(emergency area). Basi nikatoka kutafuta sehemu ya kupaki gari, kulikua na foleni sana parking area zote za karibu zimejaa, ikanichukua mda kidogo nikapata nafasi baada ya gari moja kutoka.

Baada ya kupaki nikarudi ndani hospitali sehemu nilipowaacha ndugu zangu, sikuwakuta eneo lile nikaangalia huku na kule na kwa wingi ule wa watu sikufanikiwa kuwaona. Nikachukua simu kuwapigia wanielekeze walipo niende lakini simu ziliita bila kupokelewa kumbe walisahau simu nyumbani( kwa zile haraka za kuwahi huduma). Ikabidi niwaulizie mapokezi nikaelekezwa jengo waliloelekea na nikaanza kulitafuta jengo husika.

Nilikua naenda nkipepesa macho nikisoma utambulisho wa majengo ili nifike jengo nililoelekezwa. Ghafla nikiwa napepesa macho nikamuona yule binti anatembea kuingia jengo limeandikwa CTC(ndio utambuzi niliouona kwenye jengo lile), sikushtuka nikaendelea na safari yangu na nikafanikiwa kuwaona ndugu zangu. Mawazo yakanijia nimtafute ila simu ikaita na baada ya kupokea nikawa nimesahau.

Ukafika mda wa kuondoka hao mdogo mdogo tunatoka, kama ilivyo kawaida kwa wanaoingia mlinzi anawauliza wanaelekea wapi na kufanya nini. Kabla ya kufika kwa mlinzi tulipishana na mishangazi miwili meupe (ule wa kujichubua), wakampita mlinzi. Mlinzi akawaita kwa sauti kubwa "nyie kina mama mnaenda wapi mnapita bila hata kutoa salamu"? Aligeuka mmoja na kumjibu " tunawahi kuongeza dawa za Ukimwi Pale CTC". Mlinzi akawaruhusu kuendelea.

NIlishtuka sana kwa yale maneno yaliyoambatana na CTC, nikabaki najiuliza maswali kwa kile nilichokiona kwa yule binti. CTC ndio watoaji wa ARVs?

Wakuu binafsi sijui kitengo cha CTC n nini na kinajihusisha na nini haswa , wenye uelewa na hili mnijuze. Jana kunitafuta anadai anataka anizalie lakini kwa hili la CTC nimeahirisha kukutana nae na sijamtaarifu chochote hadi sasa.

Nawasilisha....

Maelezo marefuuu, it seems ww umevamia treni kwa mbele ushaungua, kapime uanze dawa haraka na ukiona mademu mjini kuwa makini, au vaa kondomu na usahau eti mjini unapendwa.
 
Shukrani mkuu japo namshukuru isingekuwa izo kwepa kwepa zake kama kweli anao basi ningeshakuwa connected sucessfully mda sana.
Hapana ungeweza kuepushwa pia maana si lazma kuwa ukifanya na muathirika nawewe unaathirika. Ila hapo aliposema atakupa vyote ndio nawasiwasi ungekula uarabuni ikuongezee chances za kuunasa. Ila sababu ushasema huendekezi ngono labda usingekula mtandao pendwa
 
Mr CTC hongera sana
 
Bhasi haina tabu we pima naye na usimwache apime peke yake na sehmu ya kupima chagua weww ili ujiweke katika imani ya majibu....
Maana sku hizi mpaka madakr wananunuliwa bhna
Nshaingiwa hofu mkuu, akikataa kupima nitaamini tayari. Moyo unasita bora nimpotezee kiaina nisijejutia
 
Hapana ungeweza kuepushwa pia maana si lazma kuwa ukifanya na muathirika nawewe unaathirika. Ila hapo aliposema atakupa vyote ndio nawasiwasi ungekula uarabuni ikuongezee chances za kuunasa. Ila sababu ushasema huendekezi ngono labda usingekula mtandao pendwa
mimi sio muumini wa mtandao pendwa, ila hizi tamaa mbaya sana, sijawai kumpenda yote haya nilikua natake advantage ya upendo wake nile vinono nitulie, nazidi kuiweka ngono mbali nami ikibidi nioe tu kuepusha usumbufu.
Mr CTC hongera sana
Yanin mkuu
 
Nshaingiwa hofu mkuu, akikataa kupima nitaamini tayari. Moyo unasita bora nimpotezee kiaina nisijejutia
Huenda alienda kuchukua ushauri jinsi anaweza kubeba mimba bila kuambukiza. Maana from the beginning lengo lake ni mtoto.!
 
mimi sio muumini wa mtandao pendwa, ila hizi tamaa mbaya sana, sijawai kumpenda yote haya nilikua natake advantage ya upendo wake nile vinono nitulie, nazidi kuiweka ngono mbali nami ikibidi nioe tu kuepusha usumbufu.

Yanin mkuu
Na huenda alienda kwa shughuli nyingine, don't judge. Hata yeye angekuona mitaa hiyo angehisi unatumia. Dawa yake kupima tu
 
Labda ila mimi basi tena akikubali kupima itakuwa vzuri

Mimi nilipita mbali, nimjulishe nia ya kupima kabla ya kukutana au nimshtukize tukishakutana?
Huu ujasili wa kupiga bila ndomu mnautolea wapi??
huwa natumia japo sio kila mara
 
Labda ila mimi basi tena akikubali kupima itakuwa vzuri

Mimi nilipita mbali, nimjulishe nia ya kupima kabla ya kukutana au nimshtukize tukishakutana?

huwa natumia japo sio kila mara
Kama upo tayari msaidie kupata mtoto. Ila mpime then muende wote clinic. Kama moyo mzito toka nduki tu wala usigeuke.
 
Labda ila mimi basi tena akikubali kupima itakuwa vzuri

Mimi nilipita mbali, nimjulishe nia ya kupima kabla ya kukutana au nimshtukize tukishakutana?

huwa natumia japo sio kila mara
Mtest tu mwambie mpime kabla ya lolote uone. Akiruka mita 100 ujue kuna jambo
 
mimi sio muumini wa mtandao pendwa, ila hizi tamaa mbaya sana, sijawai kumpenda yote haya nilikua natake advantage ya upendo wake nile vinono nitulie, nazidi kuiweka ngono mbali nami ikibidi nioe tu kuepusha usumbufu.

Yanin mkuu
Nimekubatiza si umeogopa CTC
 
Nimekubatiza si umeogopa CTC
😆 nilishtuka jibu la ule mshangazi kuwa anaenda kuongeza dawa za ukimwi CTC, bila hiyo kauli sidhani kama ningeshtuka na kutilia shaka.
 
Back
Top Bottom