Juzi nimemuona hospitali akiingia CTC

Juzi nimemuona hospitali akiingia CTC

Aliemaliza kusoma story nxima niko pale kwa mangi aje nimuagizie kvant kabisa
Habari zenu wakuu, herini ya mwaka mpya. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada.
Miaka mitatu iliyopita nilifahamiana na binti mmoja kupitia social media na niyeye alienitafuta, awali tulikua tukionana mtaani lakini sikuwahi kutaka ukaribu nae. Ni pisi ya kawaida sura ya upole, mtaratibu, mcha Mungu, mpambanaji mengineyo siyajui kwa sababu ya umbali.

Baada ya kuzoeana tulibadilishana namba na akaanza kunitafuta kwa speed ambayo ilinipa wasiwasi. Kwakuwa dalili nilishaziona nikatulia sikutaka kujipa majukumu wakati tupo mbali(fimbo ya mbali haiui nyoka)siyataki kabisa mahusiano ya mbali. Kuna siku alinipigia simu usiku ikawa inatumika, hiyo siku ndipo alipofunguka kuwa ana wivu nami kwanini nnaongea na KE usiku? "Hujui kama unaniumiza"? Ah sikumjibu kitu nikampotezea. Sikuwa naongea hata na KE.

Siku zikazidi songa, akazidi kuwa open kwangu lakini nikawa nampotezea sana hadi nikawa sipokei simu zake. Baada ya kuona hivyo aliniambia yupo tayari kunifuata nilipo tuishi wote na yupo tayari kuacha kazi ili anifuate anayo akiba kidogo itakayomuwezesha kuanzisha biashara huku. Sikukubaliana nae na wala sikumkatisha tamaa nilimwambia subiri ntakupa uamuzi wangu. Muda ukapita akaona kimya sikumjibu na sijamjibu hadi leo, akaniomba endapo nikija mkoa alipo nimjulishe tuonane, kuna kipindi nilifanikiwa kufika mkoa alipo lakini sikuwa na kumbukumbu nae kabisa. Siku nayoondoka ndio siku aliyoniona, alilalamika sana na kunipigia akilia kwanin namfanyia hivyo(binafsi sikudhamiria). Nikaweka maneno basi akatulia akinisihi nimruhusu aje nilipo au next time nikija nimjulishe.

Kasheshe ikaanza kila nikija nikimjulisha tuonane naona kama ananikwepa lakini nikiondoka yanakuwa maneno mengi kwenye simu siku ukija nitakupa hiki, mara kile nitakupa vyote. Kafanya hivyo mara 3, misheni ikifeli mimi huyo na mambo yangu ngono sio jambo la kulipa kipaumbele sana kwangu.

Last time alinitafuta akalalamika nimemsusa akaniuliza nitakuja lini? Nikamwambia me nipo, akauliza mbona ujaniambia kama umekuja? Akajiongeza, Basi naomba tuonane tarehe 1 au 2, nikamwambia poa lakini vipi kwanini isiwe tarehe 30? Jibu likawa ni hapana kuna mahali naenda ni muhimu. Nikamkubalia.

Tarehe 30 bila kutarajia kuna ndugu yangu alizidiwa ghafla ikabidi tumuwaishe hospital X. Tumefika pale mgonjwa akapokelewa nikawaacha wawili (mgonjwa na ndugu yangu mwingine), mlinzi akahitaji nitoe gari pale sio sehemu ya parking(emergency area). Basi nikatoka kutafuta sehemu ya kupaki gari, kulikua na foleni sana parking area zote za karibu zimejaa, ikanichukua mda kidogo nikapata nafasi baada ya gari moja kutoka.

Baada ya kupaki nikarudi ndani hospitali sehemu nilipowaacha ndugu zangu, sikuwakuta eneo lile nikaangalia huku na kule na kwa wingi ule wa watu sikufanikiwa kuwaona. Nikachukua simu kuwapigia wanielekeze walipo niende lakini simu ziliita bila kupokelewa kumbe walisahau simu nyumbani( kwa zile haraka za kuwahi huduma). Ikabidi niwaulizie mapokezi nikaelekezwa jengo waliloelekea na nikaanza kulitafuta jengo husika.

Nilikua naenda nkipepesa macho nikisoma utambulisho wa majengo ili nifike jengo nililoelekezwa. Ghafla nikiwa napepesa macho nikamuona yule binti anatembea kuingia jengo limeandikwa CTC(ndio utambuzi niliouona kwenye jengo lile), sikushtuka nikaendelea na safari yangu na nikafanikiwa kuwaona ndugu zangu. Mawazo yakanijia nimtafute ila simu ikaita na baada ya kupokea nikawa nimesahau.

Ukafika mda wa kuondoka hao mdogo mdogo tunatoka, kama ilivyo kawaida kwa wanaoingia mlinzi anawauliza wanaelekea wapi na kufanya nini. Kabla ya kufika kwa mlinzi tulipishana na mishangazi miwili meupe (ule wa kujichubua), wakampita mlinzi. Mlinzi akawaita kwa sauti kubwa "nyie kina mama mnaenda wapi mnapita bila hata kutoa salamu"? Aligeuka mmoja na kumjibu " tunawahi kuongeza dawa za Ukimwi Pale CTC". Mlinzi akawaruhusu kuendelea.

NIlishtuka sana kwa yale maneno yaliyoambatana na CTC, nikabaki najiuliza maswali kwa kile nilichokiona kwa yule binti. CTC ndio watoaji wa ARVs?

Wakuu binafsi sijui kitengo cha CTC n nini na kinajihusisha na nini haswa , wenye uelewa na hili mnijuze. Jana kunitafuta anadai anataka anizalie lakini kwa hili la CTC nimeahirisha kukutana nae na sijamtaarifu chochote hadi sasa.

Nawasilisha....
 
Usipgopeee anaweza kua anamchukulia mwenzake
 
Mbona jibu ushaliweka mwenyewe...

CTC = Care and Treatment Clinic
Pamoja na hayo hii stori ni ya kutunga na mleta uzi ni muongo.

Eti aligeuka mmoja akasema "...tunawahi kuongeza dawa za ukimwi pale CTC...".
NI ngumu sana mtu kutamka hivyo, kwanza wanaficha mno ni ngumu kuwaambia hata ndugu zao.
 
Hahaha

Mkuu mara nyingi huwa tunawajibu hawa raia kwa kadiri ya maswali yao...
 
Ungelamba asali
 
Mleta mada ni pumbavu na takataka. Hadithi ya kutunga halafu aliekwambia ukimwi lazma ufe nani? Halafu hebu weka majibu yako ya vipimo hapa tuone kama huna.
 
Usipgopeee anaweza kua anamchukulia mwenzake
Labda ni hvyo
Pamoja na hayo hii stori ni ya kutunga na mleta uzi ni muongo.

Eti aligeuka mmoja akasema "...tunawahi kuongeza dawa za ukimwi pale CTC...".
NI ngumu sana mtu kutamka hivyo, kwanza wanaficha mno ni ngumu kuwaambia hata ndugu zao.
Wapo watu washavurugwa na maisha hawajali chochote nadhani ujawai kutana nao. Ndio type ya huu mshangazi.
Mleta mada ni pumbavu na takataka. Hadithi ya kutunga halafu aliekwambia ukimwi lazma ufe nani? Halafu hebu weka majibu yako ya vipimo hapa tuone kama huna.
Watu wa aina yako hamkosekanagi kwenye kila bandiko tunga na wewe siwez poteza mda wangu kutunga
 
Kuna wengine huwa wanachukulia ndugu zao dawa.
Lakini Kuna pisi Kali nyingi zilizaliwa 95-2005 Zina moto mkuu.
Ni wale wamezaliwa wakaanza kutumia dawa.
Wana afya nzuri sana. Ukiwaona unameza mate tu.
Be careful. Pima kabla hujala mzigo
 
Na yupo vizuri, kajaaliwa shepu ni sura tu kanyimwa
 
Mkuu achana kabisa na huyo Dada Mungu anakupenda sana. Katika ulimwengu wa roho malaika wa Mungu alikua anakusaidia sana. usilazimishe broo achana nae kabisa.
Kwa wale watu wa rohoni wanajua ni kwanini Mungu amekupitisha kwenye matukio hayo yote ili ujiridhishe kwamba something bad ilikua inaenda kutokea. Wewe unaweza ona hayo matukio ni kawaida kila mkipanga kuonana kitu kinatokea hamuonani sio ya kawaida katika ulimwengu wa roho. Broo Mungu anakupenda
 
Shukrani kwa darasa mkuu, kwa majibu hayo inawezekana hii pisi imeungua
Hukusoma wewe! pamoja na kigari chako mkweche cha mawazo hiko, kwani akiwa na ukimwi ndo na wewe utapata ukimwi???.......muwe mnasoma hata vijarida basi!

Km akiwa kwa matibabu hawezi kuambukiza mtu ! by de way kuna dawa za kukukinga weye!! km yeye anao na hajaanza dawa!! ni wazi kabisaaa hukusoma hata st kayumba!

Kufa mtu yeyote unaweza kufa mapema kuliko yeye kwa ajali ya kigari chako iko, au Malaria, Meningitis, Pressure nk, hata kuliko huyo mwenye HIV!.........

tena waweza kuta mwenye hiv akawa na nyota kali ya mafanikio kuliko unavo dhania!...usisahau kuwa hata ukioa ambaye hana Hiv! baadaye sana ndoani aweza toa uroda kwa mwenye HIV!

hence forth akauleta kwako! bila weye kujua, na siku ya siku ukapima ukagundurika unao!! je hamjaonana na huyo uliye mkimbia hapo ctc?? bora huyo umejua kuna wengine hutajua kwakuwa na wao hawajui!

Nenda kamuombe samahani! huyo dada halafu umpende!! na ule uroda unya kabisa wewe!..unamtangaza humu ili tumfanyeje sasa wkt weye ndo mburula hujui kupenda!

Hata km Akienda CTC hiyo tu, haina maaana kuwa kaathirika yeye km yeye! kwa sababu aweza enda kumchukulia Jirani yake au ndg yake nk! dawa hizo, isitoshe dadake au mtegemezi wake anawefanya kazi kwenye hiko kitengo!

so akaenda kumtembelea! au akamuita pale ofisini kwake kwa dharula! siyo kwamba mtu ukizurula ctc eti una ukimwi, wanavijiji mna shida sana!!....

kumbuka unaweza ukamkwepa huyo demu mwenye ukimwi, lkn ukampata mwenye Kisukari!

au mwenye fibroids, Myoma, Tasa sugu nk! lkn vipimo vinaonyesha hana ukimwi ila ana magonjwa hayo! uta-mbato weeee! hkn ntonto!! lkn yule mwenye ukimwi akazaa sana tu!! na matoto yake hayo yakakusaidia mbele ya safari!

kaombe msamaha sirafa weye!
 
Distant love kills but congratulation hujawa wale wakware wenzangu na mimi
 
Back
Top Bottom