Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe rikijana nimekuona kuanzia kureee bondeni unaenda wapiii??Distant love kills sema congratulation hujawa mwanaume mkware
Ni pm nikuelekeze poa mdadawewe rikijana nimekuona kuanzia kureee bondeni unaenda wapiii??
Muulize mhusika UKIMWI sio laana.... mkalishe muulize..Shukrani kwa darasa mkuu, kwa majibu hayo inawezekana hii pisi imeungua
huo mstari ndiyo umenifanya nione huu uzi ni CHAIPamoja na hayo hii stori ni ya kutunga na mleta uzi ni muongo.
Eti aligeuka mmoja akasema "...tunawahi kuongeza dawa za ukimwi pale CTC...".
NI ngumu sana mtu kutamka hivyo, kwanza wanaficha mno ni ngumu kuwaambia hata ndugu zao.
Umenusurika panga la shaba
Sina mkuuKama unao uje nikupe algorithm ya kukutibu
Sijamla na sidhan kama itawezekanaHata Kama ulimla c lazima uambukizwe
Leo nimewasiliana nae ili tukutane lakini mambo ni yale yale naona kama ananikwepa. Anadai amepata ugeni hawezi kutoka.Muulize mhusika UKIMWI sio laana.... mkalishe muulize..
Hakika mkuu nimepataBila shaka ushapatiwa muongozo
Mbona una makasiriko sana mkuu? Uwezi ukawa unajua kila kitu chini ya jua, lazima uiruhusu akili yako kujifunza kitu kwa kukubali kuwa haujui.Hukusoma wewe! pamoja na kigari chako mkweche cha mawazo hiko, kwani akiwa na ukimwi ndo na wewe utapata ukimwi???.......muwe mnasoma hata vijarida basi!
Km akiwa kwa matibabu hawezi kuambukiza mtu ! by de way kuna dawa za kukukinga weye!! km yeye anao na hajaanza dawa!! ni wazi kabisaaa hukusoma hata st kayumba!
Kufa mtu yeyote unaweza kufa mapema kuliko yeye kwa ajali ya kigari chako iko, au Malaria, Meningitis, Pressure nk, hata kuliko huyo mwenye HIV!.........
tena waweza kuta mwenye hiv akawa na nyota kali ya mafanikio kuliko unavo dhania!...usisahau kuwa hata ukioa ambaye hana Hiv! baadaye sana ndoani aweza toa uroda kwa mwenye HIV!
hence forth akauleta kwako! bila weye kujua, na siku ya siku ukapima ukagundurika unao!! je hamjaonana na huyo uliye mkimbia hapo ctc?? bora huyo umejua kuna wengine hutajua kwakuwa na wao hawajui!
Nenda kamuombe samahani! huyo dada halafu umpende!! na ule uroda unya kabisa wewe!..unamtangaza humu ili tumfanyeje sasa wkt weye ndo mburula hujui kupenda!
Hata km Akienda CTC hiyo tu, haina maaana kuwa kaathirika yeye km yeye! kwa sababu aweza enda kumchukulia Jirani yake au ndg yake nk! dawa hizo, isitoshe dadake au mtegemezi wake anawefanya kazi kwenye hiko kitengo!
so akaenda kumtembelea! au akamuita pale ofisini kwake kwa dharula! siyo kwamba mtu ukizurula ctc eti una ukimwi, wanavijiji mna shida sana!!....
kumbuka unaweza ukamkwepa huyo demu mwenye ukimwi, lkn ukampata mwenye Kisukari!
au mwenye fibroids, Myoma, Tasa sugu nk! lkn vipimo vinaonyesha hana ukimwi ila ana magonjwa hayo! uta-mbato weeee! hkn ntonto!! lkn yule mwenye ukimwi akazaa sana tu!! na matoto yake hayo yakakusaidia mbele ya safari!
kaombe msamaha sirafa weye!
Hakuna tena mambo mengine nampotezea jumla kwenye suala la mapenzi.Kama unamashaka nae pimeni VVU kabla ya Mambo mengine
ninamuacha mkuu nashukuru Mungu kuna mambo huwa sifosi situmii nguvu kubwa kuyafanikisha. Nadhani hii ndio imenifikisha hapa nilipo.Mkuu achana kabisa na huyo Dada Mungu anakupenda sana. Katika ulimwengu wa roho malaika wa Mungu alikua anakusaidia sana. usilazimishe broo achana nae kabisa.
Kwa wale watu wa rohoni wanajua ni kwanini Mungu amekupitisha kwenye matukio hayo yote ili ujiridhishe kwamba something bad ilikua inaenda kutokea. Wewe unaweza ona hayo matukio ni kawaida kila mkipanga kuonana kitu kinatokea hamuonani sio ya kawaida katika ulimwengu wa roho. Broo Mungu anakupenda
Ni kweli nina makasiriko Mkuu!! kwa sababu hukuheshimu hisia za huyo Dada km alivo kupenda! wajameni! sioni sababu kwa nini usi muendee kwa upole na umuelimishe au uhakikishe! ulivo dhania!Mbona una makasiriko sana mkuu? Uwezi ukawa unajua kila kitu chini ya jua, lazima uiruhusu akili yako kujifunza kitu kwa kukubali kuwa haujui.
Unakua sio wewe kwa uwezo wako ni roho wa Mungu tu anakulinda.Hakuna tena mambo mengine nampotezea jumla kwenye suala la mapenzi.
ninamuacha mkuu nashukuru Mungu kuna mambo huwa sifosi situmii nguvu kubwa kuyafanikisha. Nadhani hii ndio imenifikisha hapa nilipo.
chukua ushahuri huu usiumize kichwa nenda naye mkapimeKirefu cha CTC (Care and Treatment Centre)
Ni sehemu maalumu inayotoa huduma kwa Waathirika wenye maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuwapatia huduma za matibabu na Matunzo ikiwemo Upimaji wa CD4,HVL na vingine mkuu na pia kuna huduma za dawa za kufubaza virusi vya ukimwi almaarufu ARVs...
My take
sio kila anayeingia CTC basi ni muathirika kwa sababu kuna wengine ni wafanyakazi wa CTC kama washauri,Manurse madaktri na washauri rika (Washauri nasaha wengine) na pia kuna wale wanaoenda kuwachukulia dawa ndugu zao.
Na huenda alienda kumuona mtu au rafiki anayefnya kazi hapo.
kwahyo fanya uchunguzi kabla ya kumhukumu kwa kumuona akiingia CTC ....Kwanini usimshauri mwende naye mkapime Ili ujiridhishe
Acha kuzunguka wewe utakuwa umeshakula huo mzigo unaohudhuria clinic ya kuchukua dawa za ARVWewe utakuwa unao tu acha kuzunguka mbuyu [emoji23][emoji1]fanya mazoezi ya kutosha hizo story zikutoke kichwani
Sijamkosea chochote ni vyema nilimuona CTC ikawa hivi sio kwamba nnamuhukumu.Ni kweli nina makasiriko Mkuu!! kwa sababu hukuheshimu hisia za huyo Dada km alivo kupenda! wajameni! sioni sababu kwa nini usi muendee kwa upole na umuelimishe au uhakikishe! ulivo dhania!
siyo umuhukumu haraka ivo sababu tu umemuona akikatiza ctc! ...ctc km nilivo sema ni centre ya watu wote! wazima na wagonjwa!.......hta mwenye HIV anapenda! pia! ni mtu!
Hakika mkuuUnakua sio wewe kwa uwezo wako ni roho wa Mungu tu anakulinda.
Sawa mkuu ikiwezekana hivyo nitafanyachukua ushahuri huu usiumize kichwa nenda naye mkapime
Kheeeeeeeh makubwaaaa. LolMbona jibu ushaliweka mwenyewe...
CTC = Care and Treatment Clinic