Juzi nimemuona hospitali akiingia CTC

Pima nae kwanza ujiridhishe usije ingia chakike mjuba
 
Maelezo marefuuu, it seems ww umevamia treni kwa mbele ushaungua, kapime uanze dawa haraka na ukiona mademu mjini kuwa makini, au vaa kondomu na usahau eti mjini unapendwa.
 
Shukrani mkuu japo namshukuru isingekuwa izo kwepa kwepa zake kama kweli anao basi ningeshakuwa connected sucessfully mda sana.
Hapana ungeweza kuepushwa pia maana si lazma kuwa ukifanya na muathirika nawewe unaathirika. Ila hapo aliposema atakupa vyote ndio nawasiwasi ungekula uarabuni ikuongezee chances za kuunasa. Ila sababu ushasema huendekezi ngono labda usingekula mtandao pendwa
 
Mr CTC hongera sana
 
Bhasi haina tabu we pima naye na usimwache apime peke yake na sehmu ya kupima chagua weww ili ujiweke katika imani ya majibu....
Maana sku hizi mpaka madakr wananunuliwa bhna
Nshaingiwa hofu mkuu, akikataa kupima nitaamini tayari. Moyo unasita bora nimpotezee kiaina nisijejutia
 
mimi sio muumini wa mtandao pendwa, ila hizi tamaa mbaya sana, sijawai kumpenda yote haya nilikua natake advantage ya upendo wake nile vinono nitulie, nazidi kuiweka ngono mbali nami ikibidi nioe tu kuepusha usumbufu.
Mr CTC hongera sana
Yanin mkuu
 
Nshaingiwa hofu mkuu, akikataa kupima nitaamini tayari. Moyo unasita bora nimpotezee kiaina nisijejutia
Huenda alienda kuchukua ushauri jinsi anaweza kubeba mimba bila kuambukiza. Maana from the beginning lengo lake ni mtoto.!
 
mimi sio muumini wa mtandao pendwa, ila hizi tamaa mbaya sana, sijawai kumpenda yote haya nilikua natake advantage ya upendo wake nile vinono nitulie, nazidi kuiweka ngono mbali nami ikibidi nioe tu kuepusha usumbufu.

Yanin mkuu
Na huenda alienda kwa shughuli nyingine, don't judge. Hata yeye angekuona mitaa hiyo angehisi unatumia. Dawa yake kupima tu
 
Labda ila mimi basi tena akikubali kupima itakuwa vzuri

Mimi nilipita mbali, nimjulishe nia ya kupima kabla ya kukutana au nimshtukize tukishakutana?
Huu ujasili wa kupiga bila ndomu mnautolea wapi??
huwa natumia japo sio kila mara
 
Labda ila mimi basi tena akikubali kupima itakuwa vzuri

Mimi nilipita mbali, nimjulishe nia ya kupima kabla ya kukutana au nimshtukize tukishakutana?

huwa natumia japo sio kila mara
Kama upo tayari msaidie kupata mtoto. Ila mpime then muende wote clinic. Kama moyo mzito toka nduki tu wala usigeuke.
 
Labda ila mimi basi tena akikubali kupima itakuwa vzuri

Mimi nilipita mbali, nimjulishe nia ya kupima kabla ya kukutana au nimshtukize tukishakutana?

huwa natumia japo sio kila mara
Mtest tu mwambie mpime kabla ya lolote uone. Akiruka mita 100 ujue kuna jambo
 
mimi sio muumini wa mtandao pendwa, ila hizi tamaa mbaya sana, sijawai kumpenda yote haya nilikua natake advantage ya upendo wake nile vinono nitulie, nazidi kuiweka ngono mbali nami ikibidi nioe tu kuepusha usumbufu.

Yanin mkuu
Nimekubatiza si umeogopa CTC
 
Nimekubatiza si umeogopa CTC
😆 nilishtuka jibu la ule mshangazi kuwa anaenda kuongeza dawa za ukimwi CTC, bila hiyo kauli sidhani kama ningeshtuka na kutilia shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…