JWTZ cyber warfare unit

Ulikua na umri gani 2013?
 
Kwa comments hizi za wadau bado tuna safari ndefu sana.
 
Angalia mtaani kwenu au ata kwenu kijijini nature ya watu wanao kuwa recruited Jwtz alafu ufanye generalisation kisha udraw conclusion.
Jibu lenye ukweli na maumivu chungu nzima.
 
Hiki kitengo kipo, ila hakifanyi kazi , kwa waledi. Hata kama wanaupungufu wa vifaa, shida ni siasa kuingia mpaka majeshini,
Nyerere aliharibu hii nchi tukubali tukatae,
Idara na vitengo vyote vya serikali vinafanya kazi , kwa mtazamo wa kisiasa, hakuna ubunifu wa kutukuka ZaidI ya zidumu fikra za mwenyekiti ambaye ni mshamba/mjinga/jizi
 
Wanajeshi wanapeana post kuingiza ndugu zao, sasa unategemea wataalam utawapataje?
 
Anakuja saajenti anasema kuruta wote pale kihangaiko wakatike mauno awaone ili kuonesha uzalendo wa nchi yao.

Hii nchi imeoza walahi
 
Kibangu ?
 

Ni kosa kwa mwana-usalama kujitambulisha.

Ni kosa kwa mwana-usalama kutambulika (hata kama hajajitambulisha)

Ni kosa kumtambulisha mwanausalama.

Ni kosa!
 
Israel na marekani kila mtu aliyewahi kufanya kazi wizara ya ulinzi au jeshini na akaondoka kama raia huwa ni usalama na jasusi wa mosad au CIA. Huku kuna watu wengi tu utawakuta wapo mashirika ya kijeshi na wanahamia kwingine na hawawatambui kwa lolote wala kuwatumia. Hapa marekani hakuna ujinga huo unaendelea kutumika popote uendapo ilimradi hukufukuzwa jeshini au wizara ya ulinzi hata kama hukua Askari
 
Broo hizo akili ndo zinafanya tunzalisha akili za kukalili ila sio za kuwa na ujuzi Lakin tungft ujuz ungeona hao vipanga uwape practical ni chenga hawajui kitu wengi wao ingekuwa ivo hao akina elon waliachan chuo lakin wakawa busy na kufanya practical je wew mwny 4.5 na elon nan ana akili poor mentality from africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…