Kama tuma Vijana wa TISS kutwa nzima akitekenywa tu anasema mie ni Usalama. ( Ofcoz ni mwanausalama wa TISS).
Unadhan tunaweza kua na JWTZ Cyber unit yenye ubora, Uwezo ulotukuka??.
Sisi ya kwetu ni masifa na majiguvu tu.
Look, mwaka 2022 Mossad kupitia kampuni mbalimbali za ulaya, walifanikiwa kutengeneza Pagers, laptop, na simu ambazo Kwa pamoja zilipandikizwa milipuko. Fikiria Jambo kubwa kama Hilo, lakini Jamaa wanahakikisha vifaa hivo vitakwenda Kwa HEZIBOLLAH TU , kwamba hamna Raia wakawaida mwingine Ndani ya Lebanon na Dunia nzima atakayekua na kifaa hiko zaidi ya HEZIBOLLAH TU.
Angalia Kichapo wanachopewa HEZIBOLLAH Sasa !!.
Jana nilikua Job, kaletwa demu Yuko hoi, walomleta ni Wanawake wenzie majirani, huwezi amini walipofika tu ukasikia " jaman jaman msaidieeni huyu haraka Mumewe ni yule Usalama wa Taifa" ( Ofcoz ni kweli).
Kuna kipindi Niko ivoivo job, naletewa Faili na Nurse huku akiniambia.... Dokta Dokta doktaaa naomba unisaidie huyu Dada , ni mwanausalama wa Taifa ".