Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
DG, RSO, DSO hawa siyo wanausalama?Ni kosa kwa mwana-usalama kujitambulisha.
Ni kosa kwa mwana-usalama kutambulika (hata kama hajajitambulisha)
Ni kosa kumtambulisha mwanausalama.
Ni kosa!View attachment 3101058
Hamna mtu mjinga sema tu watanzania wengi wanapenda kuishi. Haijalishi wanaishije ila ilimradi wa exist tu.Hii Nchi hakuna la maana
Tupo uchi na hatujui kama tupo uchi
Kinachotusaidia watanzania wengi wao niwajinga
Hata waliosoma niwajinga sanaa
Ukimuangalia dada wa kwanza utaelewa lugha ya picha hapo wanalimwaga huno.Hapo wanafanya nini hao? 🤣
Onyesha ukweliUongo mchungu
No offense kwa rwanda, kagake ame li mordenize hili jeshi la rwanda, nadhani kwa east afrika ni moja ya majeshi mordenized sana. Halaf ame invest kwenye techKagame ana kitu gani cha maana ? maana mna mpa sifa sana
Sheria imeweka exception kwamba wao kutambulika Haina tatizoDG, RSO, DSO hawa siyo wanausalama?
Wala hata hajui amejibu nini.Uwezo wao ukoje?
Wangempeleka Mzena tu.Jana nilikua Job, kaletwa demu Yuko hoi, walomleta ni Wanawake wenzie majirani, huwezi amini walipofika tu ukasikia " jaman jaman msaidieeni huyu haraka Mumewe ni yule Usalama wa Taifa" ( Ofcoz ni kweli).
Kuna kipindi Niko ivoivo job, naletewa Faili na Nurse huku akiniambia.... Dokta Dokta doktaaa naomba unisaidie huyu Dada , ni mwanausalama wa Taifa ".
Kila mkoa kuna Mzena?Wangempeleka Mzena tu.
Kimetoa matokeo gani mpaka sasa kwenye kazi zake ?Hicho kitengo kipo msijaribu kuishi kwa mazoea!
Sijui.Kila mkoa kuna Mzena?
DuhAngalia mtaani kwenu au ata kwenu kijijini nature ya watu wanao kuwa recruited Jwtz alafu ufanye generalisation kisha udraw conclusion.
Ushasahau ulikotoka kihoja,hoja niliyemkoti alitaka kila afisa wa jeshi ajue kuinstall app,hoja yako ikawa hiyo siyo ITLast born wangu yuko primary anadownload app bila tatizo lolote, anapair device kwenye google tv anaangalia Youtube kwenye tv bila tatizo lolote, hiyo information technology alisoma lini?
Au umekariri tu IT?
Wewe ndio umeleta habari za IT, kuinstall app mpaka uwe IT wakati watoto tu wanafanya?Ushasahau ulikotoka kihoja,hoja niliyemkoti alitaka kila afisa wa jeshi ajue kuinstall app,hoja yako ikawa hiyo siyo IT
Uko wapi nikusogeze makao makuu yao watakupa uzoefu na historia!Kimetoa matokeo gani mpaka sasa kwenye kazi zake ?
Suala lilikua kuinstall app ni IT au laa,kwa reply yako iliyomhusisha mwanao aliye primary tumemaliza kuwa hiyo ni IT,hata kuchoma CD ni ITWewe ndio umeleta habari za IT, kuinstall app mpaka uwe IT wakati watoto tu wanafanya?