JWTZ cyber warfare unit

Suala lilikua kuinstall app ni IT au laa,kwa reply yako iliyomhusisha mwanao aliye primary tumemaliza kuwa hiyo ni IT,hata kuchoma CD ni IT
Wewe umekula leo mchana? Naona kiswahili kinakusumbuwa na Kingereza hujui.
 
Hao wasomi hata huku mtaani kwenye much more application na wanakohitajika zaidi hawapo au hawako-compitent..unamkumbuka yule proffessor aliyekiita UDSM chalalani??
Do you kama sehemu kubwa ya population hao wasomi hawatumii bongo zao unafikiri ndo utawapata jeshini?? Sisi kila kitu tia maji tia maji..ndo ukweli mchungu. Hutuwezi tukawaza na kuwekeza kwenye hayo mambo wakati bado watu tunabishana kuhusu katiba tu! Katiba tu - tunashindwa kuelewana - kuna kakikundi kanapenda hii katiba sababu inawasaidia wenyewe abd they dont care about the whole country.Sasa kama basic issues hizo tunashindwa unafikiri kuna brains huko ndani zinaweza kujitoa kabisa 100%?
Vijijini huko kuna umaskini wa kutisha - serikali ndo kwanza wanajinunulia migara ya 500M each...
Naamini hata jeshi letu ni kwa sababu hakuna kitu kinatupa namna ya kuwa-assess..lkn sisi tunaujanjaujanja mwingi sana na Rushwa..mambo ya Lugumi yale.Hakuna maendeleo yenye short cut...watu walioko mtaani ndo hao hao walioko jeshini..the same mentallity ndo tulichopanda.
 
Ni kosa kwa mwana-usalama kujitambulisha.

Ni kosa kwa mwana-usalama kutambulika (hata kama hajajitambulisha)

Ni kosa kumtambulisha mwanausalama.

Ni kosa!View attachment 3101058
Sasa hizi pimbi tunazo huku , masifaa mengi, kichwani sifuri .

Wanachoweza ni Mademu

Huwa mna Wana-recruit vipi watu kama Hawa ??.

Na ndipo tatizo lilipo, Undugu ,uchama.

Utapata matokeo gan??


Majuzi nakutana na jamaa yangu Mkoani Dodoma , tulosoma naye kidato Cha Sita, tukaanza kupiga stori zile za "Fulani Yuko wapi?"


Jamaa akaanza, Fulani ni TISS ( huyu jamaa Baba yake ni TISS) , Fulani ni mwanajeshi ( huyu jamaa Baba yake alikua mwanajeshi kile kipindi alikua Luteni Kanali ) , Fulani vile ,Fulani vile..

Unaweza kuona , vyombo Vyeti vya Ulinzi vina watu wa aina gan!!!.


Sasa vichwa kama hivo kwann wasimshauri Samia kua "CHADEMA wamepanga kupindua Serikali yako".
 
Lazima kitengo kama hivyo vitakuwepo ila shida ni bajeti na manpower iliyo na uwezo na.mambo hayo.
 
04 August 2024

Joint Counter-Terrorism military operations dubbed the “Peace Unity – 2024”

Chinese PLA and Tanzanian TPDF troops hold joint tactical training drills

View: https://m.youtube.com/watch?v=PIQFxh_wlko
Running from late July to mid-August, and focusing on joint counter-terrorism military operations, the “Peace Unity – 2024” joint military drill is being conducted both on land and at sea. The joint exercise aims to enhance the capabilities of the participating troops in joint counter-terrorism operations and to deepen military mutual trust and practical cooperation.
Source : Ariana News .
 
Hawana ethics
 
Si wote walioko mtaani ni matutusa, ofcourse wasomi wengi wanasoma ili wafaulu na waajiriwe but kuna wale exception, ambao wana acquire skills na wako good in that ( wale talent). Hawa wako wachache but wako kwenye kundi hilo hilo la wasomi

ao swali hapa is not about usomi wa mtu, je anaweza fit hiyo eneo au job decription? That when test zanapotumika. Series of test mpaka wapate right person
 
Tanzania Kila kitu Kiko chini ya kiwango.kuanzia vyuo vinavyofundisha hizo kozi ukilinganisha na vya wenzetu wa ulaya.
Wameshaiona hii
Kwani hao uliowataja kazi yao ni kuhakiki vifaa vya kijeshi au vyakula.
 
Wewe dogo acha ujuaji as if jeshi la Rwanda unalijua vizuri ndani na nje ya ulinzi na uwanja wa medani. Software engineer wapo wengi sana na cyber units zipi zaidi ya moja. Nawashangaa sana watu mnaobeza ni wivu tu zinawasumbua hamjui lolote ujinga tu
 
Unataka ugundue nini? Kwa manufaa ya nani?
 
Kitengo kipo mkuu and we'll trained, and well laying low
 
Hata Tanzania akisaidiwa na NATO, USA na UK tutakuwa kuliko Isreal. Watupe tu silaha, walete majeshi yao kama walivyopeleka Isreal
 
Nadhani kitengo kipo mkuu hivi karibuni jeshi lilikuwq linahitaji vijana waliosoma sayansi na IT hukuona lile Tangazo?

Wakapunguza na sifa kwa kuondoa kigezo cha kupitia JKT
Marekani kitengo cha cyber wanachukua mpaka umri wa miaka 39.

Jeshi letu nalo waangalie namna ya kupata wataalam , kwa baadhi ya maeneo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…