King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Inasikitisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha kusikiliza chadema na Kina makamba, utumbo utumbo tupuPolice wao wana Cyber kukimbizana vibaka wa simu tu.....research and Development hakuna JW wala Police.....labda TISS kidogooo wana kitengo kinafanana hicho
Toka hapaHicho kitengo kipo msijaribu kuishi kwa mazoea!
Jwtz jeshi la vilaza ,sifa ya kujoin uwe form four failure , hizo akili watoe wapiNauliza tu…
Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.
Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.
Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.
Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.
Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.
Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.
Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.
Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.
Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.
Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Wanaamini kurecruit vilaza ndio rahisi kuwabuluza na kufanya yasiyofaa🤣
Ndo moja ya taasisi yenye vilaza wengi per capita.
Vilaza pro max ,sifa kuwa empty head , hao mafala ukiwauliza hacker ni nani ,hawezi toa majibuKuna jamaa wanasimamia rada pale kambi x wakiwa mtaani wanajiita ma ma hacker eti kisa wanaona.kila.kimachopita angani ukowauliza Kuna cha.ziada.hawana, mtu una muuliza what is cyber attack hajui hata unasema nini Sasa ndo Hali halisi. Mimi nimekaa nao
I disagree, jwtz imekuwa mordenized sikuizi. Watu wanakuwa recruited kutokana na mahitaji, kama wanataka infantry only ndio hao sasa , ila kama wanataka watu wenye elimu fulani na specialization fulani huwa wanachukua wasomi. Or wasomi ambao tayari wako ndani wanaendelezwa kwenye uwanja huoAngalia mtaani kwenu au ata kwenu kijijini nature ya watu wanao kuwa recruited Jwtz alafu ufanye generalisation kisha udraw conclusion.
Kipo japokuwa hakina muda mrefu , mwanzoni mwa miaka ya 2000s. Wana vitengo vingi as far as i know, vingine huwa hawavisemi. Majeshi mengi huwa hawavifanyii pared or kuvionyesha hadharaniNauliza tu…
Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.
Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.
Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.
Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.
Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.
Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.
Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.
Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.
Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.
Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Unaingizwa chaka na watu fake na unakubali mkuuKama tuma Vijana wa TISS kutwa nzima akitekenywa tu anasema mie ni Usalama. ( Ofcoz ni mwanausalama wa TISS).
Unadhan tunaweza kua na JWTZ Cyber unit yenye ubora, Uwezo ulotukuka??.
Sisi ya kwetu ni masifa na majiguvu tu.
Look, mwaka 2022 Mossad kupitia kampuni mbalimbali za ulaya, walifanikiwa kutengeneza Pagers, laptop, na simu ambazo Kwa pamoja zilipandikizwa milipuko. Fikiria Jambo kubwa kama Hilo, lakini Jamaa wanahakikisha vifaa hivo vitakwenda Kwa HEZIBOLLAH TU , kwamba hamna Raia wakawaida mwingine Ndani ya Lebanon na Dunia nzima atakayekua na kifaa hiko zaidi ya HEZIBOLLAH TU.
Angalia Kichapo wanachopewa HEZIBOLLAH Sasa !!.
Jana nilikua Job, kaletwa demu Yuko hoi, walomleta ni Wanawake wenzie majirani, huwezi amini walipofika tu ukasikia " jaman jaman msaidieeni huyu haraka Mumewe ni yule Usalama wa Taifa" ( Ofcoz ni kweli).
Kuna kipindi Niko ivoivo job, naletewa Faili na Nurse huku akiniambia.... Dokta Dokta doktaaa naomba unisaidie huyu Dada , ni mwanausalama wa Taifa ".
Ushawahi kuingia kwenye tovuti ya jeshi?I disagree, jwtz imekuwa mordenized sikuizi. Watu wanakuwa recruited kutokana na mahitaji, kama wanataka infantry only ndio hao sasa , ila kama wanataka watu wenye elimu fulani na specialization fulani huwa wanachukua wasomi. Or wasomi ambao tayari wako ndani wanaendelezwa kwenye uwanja huo
i was there back in the daysUshawahi kuingia kwenye tovuti ya jeshi?
Ulishawahi kuona maonesho yao ya kijeshi? Yanatofauti na yetu? Au maonesho ya vifaa vya kijeshi? Vinatofauti na vyetu?Ujinga na Uoga .
Huwezi kua na Majeshi ambayo wenye vitengo ni bongo lala, uchawi , kujipendekeza.
Nampongeza sana Paul Kagame, huyu mwambia ni vile ana ka Nchi kadogo.
Course x sijawahi sikia mkuu... au ya ngono hii??Kwa kitengo chanIT jeshi letu liko chini labda udaktari na na engineer wapo na ni wachache wakati wanadeal na lasaba B na form foo failure
Nakumbuka wakati tuko university alikuwepo mjeshi mmoja tu.anaesama course X.
Anapokuja kwenye Sherehe zenu Kagame anawacheka tu mnapoonesha Askari wenu wana shuka na parachute na wengine kuvunja Matofali!! Hizo ni mbinu za vita za kale ; Kagame yuko kwenye cyber weaponry ambapo atawalipua Askari wenu wakiwa ndani ya ma handaki yeye akiwa Kigali!Ujinga na Uoga .
Huwezi kua na Majeshi ambayo wenye vitengo ni bongo lala, uchawi , kujipendekeza.
Nampongeza sana Paul Kagame, huyu mwambia ni vile ana ka Nchi kadogo.