JWTZ cyber warfare unit

JWTZ cyber warfare unit

Nauliza tu…

Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.

Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.

Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.

Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.

Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.

Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.

Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.

Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.

Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.

Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Jwtz jeshi la vilaza ,sifa ya kujoin uwe form four failure , hizo akili watoe wapi
Hawa wabakaji
 
Kuwalipua maadui kwa simu zao na pagers wataanza kujifunza wakipitia hii mada kila kitu ni kujifunza,sidhani kama Jeshi letu linaweza likaingizwa mkenge na kuuziwa vifaaa vya mawasiliano vya kuwalipukia wenywewe,Wataalamu wetu wenye weledi wa hali ya juu, pamoja na ndugu zetu wachina,wacuba warusi watahakiki kabla hatujaanza kuvitumia.
 
Kuna jamaa wanasimamia rada pale kambi x wakiwa mtaani wanajiita ma ma hacker eti kisa wanaona.kila.kimachopita angani ukowauliza Kuna cha.ziada.hawana, mtu una muuliza what is cyber attack hajui hata unasema nini Sasa ndo Hali halisi. Mimi nimekaa nao
Vilaza pro max ,sifa kuwa empty head , hao mafala ukiwauliza hacker ni nani ,hawezi toa majibu
 
Sisi hatuna mipango..Dunia inaenda kasi sana sisi bado tumelala.
Tusiwalaumu Jeshi - serikali inatumia muda mwingi kugombana na raia wake - muda wote systems zinakazana kukomoana na upinzani..utafikiri hao upinzani sio WaTz. Taarifa nyingi zinazoshinda mitandaoni ni maugomvi tu, ma-cases ya aibu mahakamani. Hayo mambo tanaua uzalendo. Ubunifu panakuwa hakuna - watu ni bora liende. Tz akitokea nabii mwenye uwezo wa kutukomboa kutoka ukoloni wa CCM..watu wengi wazalendo kwa nchi hii watamfuata.
 
Uwezo wa cyber security wautoe wapi Ndugu yangu wakati umesikia wako mahakamani tangu Jana wanaiomba imuamuru mtuhumiwa awape password…Hilo ni jibu tosha la uwezo wa vyombo vyetu linapokuja jambo la cyber security.
 
Angalia mtaani kwenu au ata kwenu kijijini nature ya watu wanao kuwa recruited Jwtz alafu ufanye generalisation kisha udraw conclusion.
I disagree, jwtz imekuwa mordenized sikuizi. Watu wanakuwa recruited kutokana na mahitaji, kama wanataka infantry only ndio hao sasa , ila kama wanataka watu wenye elimu fulani na specialization fulani huwa wanachukua wasomi. Or wasomi ambao tayari wako ndani wanaendelezwa kwenye uwanja huo
 
Nauliza tu…

Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.

Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.

Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.

Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.

Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.

Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.

Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.

Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.

Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.

Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Kipo japokuwa hakina muda mrefu , mwanzoni mwa miaka ya 2000s. Wana vitengo vingi as far as i know, vingine huwa hawavisemi. Majeshi mengi huwa hawavifanyii pared or kuvionyesha hadharani
 
Kama tuma Vijana wa TISS kutwa nzima akitekenywa tu anasema mie ni Usalama. ( Ofcoz ni mwanausalama wa TISS).

Unadhan tunaweza kua na JWTZ Cyber unit yenye ubora, Uwezo ulotukuka??.

Sisi ya kwetu ni masifa na majiguvu tu.

Look, mwaka 2022 Mossad kupitia kampuni mbalimbali za ulaya, walifanikiwa kutengeneza Pagers, laptop, na simu ambazo Kwa pamoja zilipandikizwa milipuko. Fikiria Jambo kubwa kama Hilo, lakini Jamaa wanahakikisha vifaa hivo vitakwenda Kwa HEZIBOLLAH TU , kwamba hamna Raia wakawaida mwingine Ndani ya Lebanon na Dunia nzima atakayekua na kifaa hiko zaidi ya HEZIBOLLAH TU.

Angalia Kichapo wanachopewa HEZIBOLLAH Sasa !!.

Jana nilikua Job, kaletwa demu Yuko hoi, walomleta ni Wanawake wenzie majirani, huwezi amini walipofika tu ukasikia " jaman jaman msaidieeni huyu haraka Mumewe ni yule Usalama wa Taifa" ( Ofcoz ni kweli).

Kuna kipindi Niko ivoivo job, naletewa Faili na Nurse huku akiniambia.... Dokta Dokta doktaaa naomba unisaidie huyu Dada , ni mwanausalama wa Taifa ".
Unaingizwa chaka na watu fake na unakubali mkuu
 
I disagree, jwtz imekuwa mordenized sikuizi. Watu wanakuwa recruited kutokana na mahitaji, kama wanataka infantry only ndio hao sasa , ila kama wanataka watu wenye elimu fulani na specialization fulani huwa wanachukua wasomi. Or wasomi ambao tayari wako ndani wanaendelezwa kwenye uwanja huo
Ushawahi kuingia kwenye tovuti ya jeshi?
 
Ujinga na Uoga .

Huwezi kua na Majeshi ambayo wenye vitengo ni bongo lala, uchawi , kujipendekeza.

Nampongeza sana Paul Kagame, huyu mwambia ni vile ana ka Nchi kadogo.
Ulishawahi kuona maonesho yao ya kijeshi? Yanatofauti na yetu? Au maonesho ya vifaa vya kijeshi? Vinatofauti na vyetu?

Leta mchanganuo kidogo
 
Kwa kitengo chanIT jeshi letu liko chini labda udaktari na na engineer wapo na ni wachache wakati wanadeal na lasaba B na form foo failure

Nakumbuka wakati tuko university alikuwepo mjeshi mmoja tu.anaesama course X.
Course x sijawahi sikia mkuu... au ya ngono hii??
 
Ujinga na Uoga .

Huwezi kua na Majeshi ambayo wenye vitengo ni bongo lala, uchawi , kujipendekeza.

Nampongeza sana Paul Kagame, huyu mwambia ni vile ana ka Nchi kadogo.
Anapokuja kwenye Sherehe zenu Kagame anawacheka tu mnapoonesha Askari wenu wana shuka na parachute na wengine kuvunja Matofali!! Hizo ni mbinu za vita za kale ; Kagame yuko kwenye cyber weaponry ambapo atawalipua Askari wenu wakiwa ndani ya ma handaki yeye akiwa Kigali!
 
Back
Top Bottom