JWTZ cyber warfare unit

JWTZ cyber warfare unit

Anapokula kwenye Sherehe zenu Kagame anawacheka tu mnapoonesha Askari wenu wana shuka na parachute na wengine kuvunja Matofali!! Hizo no mbinu za vita za kale ; Kagame yuko kwenye cyber weaponry ambapo atalı hapa ukiwa ndani ya ma handaki yeye akiwa Kigali!
Ulishawahi kuona maonesho ya kijeshi hapo Kigali?
 
Anapokuja kwenye Sherehe zenu Kagame anawacheka tu mnapoonesha Askari wenu wana shuka na parachute na wengine kuvunja Matofali!! Hizo ni mbinu za vita za kale ; Kagame yuko kwenye cyber weaponry ambapo atawalipua Askari wenu wakiwa ndani ya ma handaki yeye akiwa Kigali!
Kagame ana kitu gani cha maana ? maana mna mpa sifa sana
 
Huwezi kuwa na jeshi bora bila uwekezaji mkubwa hizo nchi zimewekeza mfano kama USA wizara ya Ulinzi ndo ina budget kubwa kuliko wizara zote na hata mfumo wao wa ajira ni tofauti Tz anaajiriwa Raia asie na vinasaba vya nchi tofauti, ila Usarmy utakuta hadi mchina, mnyakyusa, mkorea yuko ndani ya jeshi lao wao wanazingatia uwezo wa mtu haijalishi asili yake ni wapi lazima jeshi liwe bora.

Kwetu hapa uwekezaji ndani ya jeshi bado mdogo sana, Technology ni 0 maana hata vifaa vinavyotumika vyote ni vya kuletewa vingine hata marekebisho hatuwezi hadi tuombe msaada
 
Wenye akili Hawaoneshi uwezo wao kıvıta!! Mnaonesha silaha nyie serikali dhalimu kuwatisha raia wenu ili wawe waoga mzidi kuwa Tawana kama kondoo .
Hizo zinafanyika sehemu nyingi duniani, sio jambo geni na tanzania sio nchi ya kwanza na pekee kufanya hivyo

Kama raia upo nyuma hivi kufahamu maswala mbalimbali ya kidunia, sasa unashangaa nchi yako kuwa masikini? Au afrika kwann masikini?
 
Nauliza tu…

Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.

Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.

Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.

Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.

Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.

Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.

Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.

Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.

Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.

Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Ni wazuri sana kwenye show off kipindi cha maadhimisho ya shughuli za kitaifa
 
Huwezi kuwa na jeshi bora bila uwekezaji mkubwa hizo nchi zimewekeza mfano kama USA wizara ya Ulinzi ndo ina budget kubwa kuliko wizara zote na hata mfumo wao wa ajira ni tofauti Tz anaajiriwa Raia asie na vinasaba vya nchi tofauti, ila Usarmy utakuta hadi mchina, mnyakyusa, mkorea yuko ndani ya jeshi lao wao wanazingatia uwezo wa mtu haijalishi asili yake ni wapi lazima jeshi liwe bora.

Kwetu hapa uwekezaji ndani ya jeshi bado mdogo sana, Technology ni 0 maana hata vifaa vinavyotumika vyote ni vya kuletewa vingine hata marekebisho hatuwezi hadi tuombe msaada
Wakiondoa hiyo system ya kuajiri, kesho watakuja kutoa tangazo kuombq raia wazaane

Unazani wao wajinga kuwa na sera za namna hiyo huku nchi zingine zikiwa zinapambana raia wao waongezeke?
 
Kagame ana kitu gani cha maana ? maana mna mpa sifa sana
Hawawezi kukuambia
2B119E91-58D2-483B-BA29-A2A578AD26D0.jpeg
 
Nauliza tu…

Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.

Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.

Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.

Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.

Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.

Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.

Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.

Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.

Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.

Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Wakitoe wapi?
Labda kitengo cha kudeki mtaani wakisikia tetesi za maandamano.
 
Huku kwetu Cyber pekee wanaoijua ni kuombana connection za ngono zilizovuja.

Bado wana tactics za kizamani za kuvunja matofali kwa kichwa, wenzetu unakuta kiwete yupo ofisini anafanya maangamizo kwa computer tu.

Vijana wanaosomea mambo ya mitandao wanaishia kuwa watengeneza simu kariakoo.
 
Back
Top Bottom