Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Swqli hili linqlenga nini hasa?Ushawahi kuingia kwenye tovuti ya jeshi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swqli hili linqlenga nini hasa?Ushawahi kuingia kwenye tovuti ya jeshi?
Ulishawahi kuona maonesho ya kijeshi hapo Kigali?Anapokula kwenye Sherehe zenu Kagame anawacheka tu mnapoonesha Askari wenu wana shuka na parachute na wengine kuvunja Matofali!! Hizo no mbinu za vita za kale ; Kagame yuko kwenye cyber weaponry ambapo atalı hapa ukiwa ndani ya ma handaki yeye akiwa Kigali!
Kagame ana kitu gani cha maana ? maana mna mpa sifa sanaAnapokuja kwenye Sherehe zenu Kagame anawacheka tu mnapoonesha Askari wenu wana shuka na parachute na wengine kuvunja Matofali!! Hizo ni mbinu za vita za kale ; Kagame yuko kwenye cyber weaponry ambapo atawalipua Askari wenu wakiwa ndani ya ma handaki yeye akiwa Kigali!
Wenye akili Hawaoneshi uwezo wao kıvıta!! Mnaonesha silaha nyie serikali dhalimu kuwatisha raia wenu ili wawe waoga mzidi kuwa Tawana kama kondoo .Ulishawahi kuona maonesho ya kijeshi hapo Kigali?
Mkuu si vyema kuweka mambo hadharani kwa maslahi mapana ya nchi ila elewa watalaamu wapo tena wabobezi!Uwezo wao ukoje?
Unajua kuwa Kagame is building a nuclear plant in Rwanda? He also has stocked cyber weaponry!Kagame ana kitu gani cha maana ? maana mna mpa sifa sana
Hizo zinafanyika sehemu nyingi duniani, sio jambo geni na tanzania sio nchi ya kwanza na pekee kufanya hivyoWenye akili Hawaoneshi uwezo wao kıvıta!! Mnaonesha silaha nyie serikali dhalimu kuwatisha raia wenu ili wawe waoga mzidi kuwa Tawana kama kondoo .
NmekuelewaAngalia mtaani kwenu au ata kwenu kijijini nature ya watu wanao kuwa recruited Jwtz alafu ufanye generalisation kisha udraw conclusion.
Endeleeni kujilisha upepo!Jeshi letu lipo imara kwenye sekta zote.
Cha kuvunja matofali kwa ugokoHicho kitengo kipo msijaribu kuishi kwa mazoea!
Ni wazuri sana kwenye show off kipindi cha maadhimisho ya shughuli za kitaifaNauliza tu…
Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.
Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.
Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.
Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.
Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.
Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.
Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.
Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.
Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.
Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Uongo mchunguJeshi letu lipo imara kwenye sekta zote.
Wakiondoa hiyo system ya kuajiri, kesho watakuja kutoa tangazo kuombq raia wazaaneHuwezi kuwa na jeshi bora bila uwekezaji mkubwa hizo nchi zimewekeza mfano kama USA wizara ya Ulinzi ndo ina budget kubwa kuliko wizara zote na hata mfumo wao wa ajira ni tofauti Tz anaajiriwa Raia asie na vinasaba vya nchi tofauti, ila Usarmy utakuta hadi mchina, mnyakyusa, mkorea yuko ndani ya jeshi lao wao wanazingatia uwezo wa mtu haijalishi asili yake ni wapi lazima jeshi liwe bora.
Kwetu hapa uwekezaji ndani ya jeshi bado mdogo sana, Technology ni 0 maana hata vifaa vinavyotumika vyote ni vya kuletewa vingine hata marekebisho hatuwezi hadi tuombe msaada
Hawawezi kukuambiaKagame ana kitu gani cha maana ? maana mna mpa sifa sana
Wakitoe wapi?Nauliza tu…