JWTZ cyber warfare unit

JWTZ cyber warfare unit

Askari wengi wa JWTZ ni Watu walioishia Darasa la 7 na form 4 Ndio maana mtu wa form 6 anaonekana mali hata walioenda Chuo ni wale waliosoma kozi za ovyo ovyo.

IDF ni tofauti kidogo Askari wengi wa IDF ni Watu Wenye angalau Degree Moja, Vijana wote waliopigana vita inayoendelea zawadi Yao ni Serikali ya Israeli kuwalipia Ada ya chuo Hadi watakapo Ishia, Tanzania hakuna Askari Wala Serikali itakayoona hili ni jambo kubwa kuliko hela keshi na kesho inaisha.

Israel Ndio nchi yenye startups na mashirika makubwa ya Technology Duniani per capita, kila Mwaka lazima angalu myahudi mmoja ashinde Tuzo ya Nobel.

Israel wanasiasa wote Wanamsimamo mmoja kuhusu nchi yao, Hilo ni tofauti sana huku kuna chama kinasema kujenga reli ya SGR ni ujinga.

Tatizo letu linaanzia kwenye familia
 
Nauliza tu…

Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makomandoo wa JWTZ.

Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.

Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.

Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.

Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.

Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.

Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.

Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.

Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.

Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
mambo ya jeshi hayakuhusu kwa sababu wewe sio mwanajeshi, unataka ujue kila kitu cha jeshi ili iweje?
 
mambo ya jeshi hayakuhusu kwa sababu wewe sio mwanajeshi, unataka ujue kila kitu cha jeshi ili iweje?
Huyo hana tofauti na jirani yangu anaejifanya kujua mambo ya ndani kwangu lakini hata siku moja hajawai kuingia ndani kwangu!![emoji113]
 
Katika kesi inayoendelea ya Boni Yai ndio walikuwa wanaomba hizi password lakini imekuwa Ngumu
Kwa nini imekua ngumu wakati swala lipo kwenye uchunguzi!? Je kwa kuficha password huoni kama ni hijuma hiyo ili uchunguzi ufeli!!??
 
Kuna mtu ameniambia kuna kina dada huwa wanafanya biashara mtandaoni akishakufuata kwenye posti yako halafu anakuelekeza pm hivyo leo amenitokea na asubuhi wacha nimsikilize!
Kwa hiyo unataka kuzama pm kwangu?
Sinunuagi malaya ewe kenger
 
Tukajifunze kwairan bado hatujachelewa majamaa wameweza kuwekeza akili kutengeneza siraha zao tena wakiwa navikwazo kibao, tujue hata kutengeneza drone achilia mbali zile kamikaze
 
Mbona hata polis nkiibiwa simu hawajawai kuikamata?
Hujataka tu....wanaweza ila utaliwa hela bure...uambiwe iko arusha utoe nauli...

Baada siku 3 utaambiwa yuko dodoma utoe tena huo ndio ujinga sasa simu ya laki 3 unaitafuta kwa laki 2.5....ujinga bora utafute ingine.....wanatupiga deal
 
Kuwalipua maadui kwa simu zao na pagers wataanza kujifunza wakipitia hii mada kila kitu ni kujifunza,sidhani kama Jeshi letu linaweza likaingizwa mkenge na kuuziwa vifaaa vya mawasiliano vya kuwalipukia wenywewe,Wataalamu wetu wenye weledi wa hali ya juu, pamoja na ndugu zetu wachina,wacuba warusi watahakiki kabla hatujaanza kuvitumia.
Kama kipindi kile walinunua rada mtumba ndio useme tuna wataam hao ni wanyanyua vitu vizito siyo makomando kama marehem Tamim

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Hii Nchi hakuna la maana
Tupo uchi na hatujui kama tupo uchi

Kinachotusaidia watanzania wengi wao niwajinga
Hata waliosoma niwajinga sanaa
Naunga mkono hoja ujinga ndio mtaji wa CCM siku wajinga wakipungua kwenye hii nchi basi ndio utakuwa mwisho wa CCM kutawala.
 
Back
Top Bottom