Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
JWTZ ni dhahiri limekubali kujinasibisha na SIASA- ambayo ni kinyume na KATIBA ya JMT ni hatari zaidi kwa ustawi wa TZ.
Kwa mfano kauli ya Msemaji wa JWTZ kusema KAZI na UTU ni kauli ya kisiasa: kupitia ripoti ya Chande dhidi ya mauaji ya halaiki… Oct 29 moja ya sababu alizotoa zilizochochea maandamano na vurugu ni kauli kama no reform no election, kazi na utu, oktoba tunatiki —- hizi ni kauli za kisiasa na hazikupaswa kabisa kutumiwa na JWTZ - Je JWTZ kutumia kauli kama hiyo ina translate nini ; hivi ni nani Advisor wa jeshi la TZ —? Hii ni mbaya sana maana JWTZ upfront linajionesha wazi lipo bias —- which scares the most.
Jambo la pili ni JWTZ kuanzia matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi haijawahi kukemea hata siku moja wala KULAANI MAUAJI YA HALAIKI- hii inatranslate kitu kibaya kwa wananchi, wananchi wanahoji JWTZ ni la wananchi au la CCM ?
Utekaji na mauaji ya watanzania; akiwepo balozi Polepole, JWTZ lilijiweka kando na matukio hayo- ambayo ndio matukio muhimu JWTZ lilipaswa kujitokeza na kukemea kwa SAUTI lakini badala yake JWTZ halijawahi kuonekana kwenye matukio hayo ila Maandamano ya watanzania kudai haki zao za msingi JWTZ limetumika na wanasiasa na limeingia kwenye drama za wanasiasa kutisha wananchi; Je bado watanzania wanapaswa kuendelea kuliamini jeshi lao !?
Kazi bado ipo ; , tatizo sio uwepo wa Samia , tatizo ni Generation has changed…. na hii generation haiwezi kuwa controlled kwa vitisho, drama na mambo ya kutengeneza….
USHAURI wangu …..a Genius and Smart top dog anahitajika pale juu to rescue the situation na kuirudisha nchi kwenye hali yake …. Otherwise it is not going to end ……
Dr Megalodon Mushi
Canada , Ottawa University