JWTZ inatarajia kufanya mazoezi mawili ya kijeshi hivyo imewataka wananchi kutokuwa na hofu

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuwa linaendelea na Maandalizi ya Mazoezi mawili ya Kijeshi yatakayofanyika hapa nchini ambapo Wananchi wametaarifiwa kutokuwa na taharuki kwa kuwa katika Mazoezi hayo kutakuwa na ongezeko la matumizi ya Ndege Vita na Meli Vita.

Taarifa ya Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Gaudentius Gervas Ilonda imeeleza kuwa JWTZ mazoezi hayo yanajulikana kama Justified Accord’ na ‘Cutlass Express’ yatakayoshirikisha Jeshi la Marekani na Majeshi mengine ya nchi 12 ikiwa ni muendelezo wa ukishiriki wake katika Mazoezi mbalimbali ya Kijeshi ya pamoja baina yake na Majeshi mengine ya nchi rafiki Duniani.

Taarifa hiyo imeendelea kueleza kuwa zoezi la kijeshi ‘Justifield Accord’ ni zoezi la nchi Kavu linalotarajiwa kufanyika eneo la Msata wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani na Nanyuki nchini Kenya kuanzia tarehe 10 Februari 2025 kwa ushirikiano kati ya Tanzania na nchi ya Marekani.

Zoezi hilo litazinduliwa rasmi tarehe 10 Februari 2025 na linatarajiwa kufungwa tarehe 21 Februari 2025 na kubainisha kwamba kufanyika kwa zoezi hilo kutatoa fursa kwa vikundi shiriki kuongeza weledi na uelewa wa pamoja wa kupambana na matishio mbalimbali ya kiusalama kama vile matishio ya ugaidi.

Zoezi lingine la ‘Cutlass Express’ ni zoezi litakalofanyika kwa lengo la kujenga uelewa wa pamoja na ushirikiano katika kukabiliana na matishio ya Ulinzi na Usalama katika maeneo yetu ya uwajibikaji baharini ikiwa ni pamoja na kuzuia usafirishaji wa madawa ya kulevya.

Zoezi hilo ni la Jeshi la Wanamaji linalotarajiwa kufanyika katika nchi za Tanzania, Madagascar na Ushelisheli kuanzia tarehe 10 Februari 2025 na kufungwa tarehe 21 Februari 2025 ambapo kwa Tanzania litafanyika katika Jiji la Tanga.

Zoezi hilo litashirikisha nchi kumi na nne (14) ikiwemo Marekani ambayo inashirikiana na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika Maandalizi ya Mazoezi hayo hapa nchini.

Nchi waalikwa katika zoezi hilo ni pamoja na Kenya, Madagascar, Shelisheli, Djibout, Comoro, Georgia, Msumbiji, Malawi, Mauritius, Tunisia, Somalia na Senegal.
kuna nini tena mbona chadema hawajatangaza maandamano
 
Mmmh!
 
Yaani mnafanya mazoezi na jeshi la Marekani? Haina haja ya hayo mazoezi, ni upuuzi mtupu.., siri zote watapeleka kwa Kagame..
 
Wangekuja huku tabora,huku kuna uwazi mkubwa na maeneo tengefu mengi hivyo kusingeleta hofu wala wasiwasi kwa wananchi,isitoshe sisi huku tumezoea kuona misafara ya magari ya kijeshi na vifaru vya kijeshi hivyo wangekuja huku tungeburudika na wangepata uwanda mpana kwa ajiri ya mafunzo hayo.
Huko tabora kijeshi ni mbali, Dar ni lango la adui baharini, angani na nchi kavu,

Adui hadi afike tabora akitumia ardhi tutakuwa tushamuona sisi wananchi

Ndio maana hapo Dar kuna kambi nyingi nyingi za kijeshi

Pia kuna backup kila baada ya kilomita kadhaa kutoka Dar mfano Msata, mzinga, ngerengere, ruvu, makutupora
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuwa linaendelea na Maandalizi ya Mazoezi mawili ya Kijeshi yatakayofanyika hapa nchini ambapo Wananchi wametaarifiwa kutokuwa na taharuki kwa kuwa katika Mazoezi hayo kutakuwa na ongezeko la matumizi ya Ndege Vita na Meli Vita.

Taarifa ya Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Gaudentius Gervas Ilonda imeeleza kuwa JWTZ mazoezi hayo yanajulikana kama Justified Accord’ na ‘Cutlass Express’ yatakayoshirikisha Jeshi la Marekani na Majeshi mengine ya nchi 12 ikiwa ni muendelezo wa ukishiriki wake katika Mazoezi mbalimbali ya Kijeshi ya pamoja baina yake na Majeshi mengine ya nchi rafiki Duniani.

Taarifa hiyo imeendelea kueleza kuwa zoezi la kijeshi ‘Justifield Accord’ ni zoezi la nchi Kavu linalotarajiwa kufanyika eneo la Msata wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani na Nanyuki nchini Kenya kuanzia tarehe 10 Februari 2025 kwa ushirikiano kati ya Tanzania na nchi ya Marekani.

Zoezi hilo litazinduliwa rasmi tarehe 10 Februari 2025 na linatarajiwa kufungwa tarehe 21 Februari 2025 na kubainisha kwamba kufanyika kwa zoezi hilo kutatoa fursa kwa vikundi shiriki kuongeza weledi na uelewa wa pamoja wa kupambana na matishio mbalimbali ya kiusalama kama vile matishio ya ugaidi.

Zoezi lingine la ‘Cutlass Express’ ni zoezi litakalofanyika kwa lengo la kujenga uelewa wa pamoja na ushirikiano katika kukabiliana na matishio ya Ulinzi na Usalama katika maeneo yetu ya uwajibikaji baharini ikiwa ni pamoja na kuzuia usafirishaji wa madawa ya kulevya.

Zoezi hilo ni la Jeshi la Wanamaji linalotarajiwa kufanyika katika nchi za Tanzania, Madagascar na Ushelisheli kuanzia tarehe 10 Februari 2025 na kufungwa tarehe 21 Februari 2025 ambapo kwa Tanzania litafanyika katika Jiji la Tanga.

Zoezi hilo litashirikisha nchi kumi na nne (14) ikiwemo Marekani ambayo inashirikiana na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika Maandalizi ya Mazoezi hayo hapa nchini.

Nchi waalikwa katika zoezi hilo ni pamoja na Kenya, Madagascar, Shelisheli, Djibout, Comoro, Georgia, Msumbiji, Malawi, Mauritius, Tunisia, Somalia na Senegal.
Wewe ni msemaji wa JWTZ? hakunaga cha barua yenye nembo na kusainiwa?

Mkiendelea kwa mtindo huu,next month,Kuna kichaa ataruka humu na aina hii hii ya utoaji wa habari
 
Sasa meli za kivita ndio hizi zimechoka kama majahazi?
Huu ni utani sasa
 
Back
Top Bottom