Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Mfumo wa vita usha badilika sana, Watu wanapigana hata kwa Cyber war
Aibu naona mimi, huyo si luten kanali kabisa
Magobole Yao ya Zama za ww2Kwa siraha zipi za kisasa walizo nazo hadi waseme hivyo😂😂 achilia mbali teknolojia ambayo ni muhimili mkubwa kwenye maswala mazima ya kijeshi 😂😂 labda wangesema wao ni namba 1 kwa kutembea na wake za watu na kutia wanafunzi mimba bila kusahau kuonea raia mtaani
Hichi ni kituko cha Mwaka
Mna waacha mbaga mboga FC wanatawala zaidi ya miaka 50 bila maendeleo makubwa.Igeni huko Afrika magharibi🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Kweli mkuu tuta shuhudia mengi.Gabon ngoja tusubir anayefata huko ndiyo kuna majeshi