Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Nawaamini wanajeshi wetu wa JWTZ... Hamjawahi kuniangusha. Kawekeni heshima tena huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbna walirudi tena huko hao M23 mnao sema walifurushwaaa na JWTZ?Tanzania iliwahi kuwa kiongozi wa kikosi cha SADC kilicho tumwa DRC mwaka 2010-214 kupambana na waasi wa M23.
Jeshi letu lilijua kumfurahisha na kumtokomeza kabisa M23, hali hii ilipelekea PK kuchukizwa na ghafla akaanza maneno ya chokochoko kwa JK
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahmaliasili za Africa ,ziliwe na wa afria ,bola pk anavyoziiba na kujenga nchi yake,wakongo si wanawahonga wazungu bule madini halafu wao wanabakia kuimba ndombolo na sukusi. Ila KDF ni jeshi la celemonial tu ,kwa battle ni viazi !!
Kuna vingi huwaga najiulizaga afu nakosaga majibu, kuhusu M23 huko Congo DRC.Matatizo ya Drc na M23 hayawezi kumalizwa na JWTZ Kuna mengi zaidi yanatakiwa kufanyika zaid ya kupeleka JWTZ huko,
Rais Samia asiingiie kwenye huu mtego askari wetu wasije enda poteza maisha kwa faida ya wapuuzi wachache.
Andiko bora kabisa hili.Wacomgoman wajifunze kuacha kuendekeza mambo ya starehe na wanawake - muziki 24X7 - likitokea la kutokea ndio wanakwenda kuomba msaada wa kijeshi kutoka kwa nchi jirani, hawana hata mpango wa kuwapatia mafunzo ya kijeshi ya nguvu na nidhamu ya hali ya juu vijana wao - jeshi bila midhani na uzalendo ni sawa sawa na hakuna - ndio maana wanajeshi wake wasikia tu mlio wa mzinga au triple A's- wanatimua mbio mpaka wanapotezana.
Ndio maana siku za nyuma nilimshauri Tshekedi amuombe Putin azungumze na CEO wa Wagner Group ili awapatie wanajeshi wa Congo DRC mafunzo ya kijeshi ya hali ya juu na nidhamu juu.
Sio kila saa kuwapeleka wanajeshi wetu kwenda kuwasaidia wanajeshi ambao hawana nidhamu au kujielewa wamebweteka kabisa - ya nini kuendelea kuhatarisha maisha ya vijana wetu hii mpaka lini
Tsishekedi anapashwa kuelezwa na viongozi wa SADC na EA ukweli kwamba mwenye jukumu la kuhakakisha ulizi wa taifa lake ni yeye mwenyewe - msaada wa kijeshi uje tu inapo bidi sio kila tukio.
Jeshi la UGANDA UPDF ndo anakunywa uji wa mgonjwa ngoja baba yao TPDF aingie CONGO DRC kitakachofata ni vilio vya banyamurenge wakiomba poooKule DRC kunaonekana kuna hata watu wapo ndani ya drc government na wanashirikiana na waasi.
Juzi hapa general wa kenya kajitoa kule kwenye jeshi la East Africa maana anaona Uganda ambao wapo ndani ya jeshi la east Africa wanatoa siri kwa waasi wa drc.
Vitu ambavyo anajadili pamoja.
Wabongo wanashangaza sanani hili hili jeshi letu tunalolidhihaki huku kwet jf au jeshi gani linaombwa
Ktk nyororo looooote la watangaza nia umemuona katumbi tu... siungani na Felix; linchi lote lile size kubwa kuzidi bara Uropa kulialia dhidi ya kikoba cha M23 ni aibu sana. Hawezi apishe wenye uwezo badala ya kuwawekea kauzibe ili apite bila kupingwa; ampishe Katumbi.
OkayWakenya waliopelekwa sio wanajeshi wa maana walienda tu. Kula dola za safari za nje
Jeshi gani ambalo Generali wake anakimbia vita?
Generali kiongozi wa vikosi kutoka Kenya kakimbia vita eti anaogopa kuuawa.Kichekesho vita alifikiri na ngoma ya mdundiko
Kenya hakuna jeshi walipeleka tu watoto wa vigogo na ndugu zao
Tanzania ikienda vitani haina utani ikiingia mahali lazima matokeo yaonekane