JWTZ kutumwa tena DRC, Rais wa DRC asema kikosi cha Afrika mashariki kinashirikiana na M23 kuimaliza DRC

Nawaamini wanajeshi wetu wa JWTZ... Hamjawahi kuniangusha. Kawekeni heshima tena huko
 
Tanzania iliwahi kuwa kiongozi wa kikosi cha SADC kilicho tumwa DRC mwaka 2010-214 kupambana na waasi wa M23.
Jeshi letu lilijua kumfurahisha na kumtokomeza kabisa M23, hali hii ilipelekea PK kuchukizwa na ghafla akaanza maneno ya chokochoko kwa JK
Sasa mbna walirudi tena huko hao M23 mnao sema walifurushwaaa na JWTZ?
 
maliasili za Africa ,ziliwe na wa afria ,bola pk anavyoziiba na kujenga nchi yake,wakongo si wanawahonga wazungu bule madini halafu wao wanabakia kuimba ndombolo na sukusi. Ila KDF ni jeshi la celemonial tu ,kwa battle ni viazi !!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Matatizo ya Drc na M23 hayawezi kumalizwa na JWTZ Kuna mengi zaidi yanatakiwa kufanyika zaid ya kupeleka JWTZ huko,

Rais Samia asiingiie kwenye huu mtego askari wetu wasije enda poteza maisha kwa faida ya wapuuzi wachache.
Kuna vingi huwaga najiulizaga afu nakosaga majibu, kuhusu M23 huko Congo DRC.
 
Andiko bora kabisa hili.
 
Jeshi la UGANDA UPDF ndo anakunywa uji wa mgonjwa ngoja baba yao TPDF aingie CONGO DRC kitakachofata ni vilio vya banyamurenge wakiomba pooo
 
Mtoto Wa Museveni aluwahi kusema anauwezo wa kuiteka Kenya Kwa massa 48!? Haya yalikuwa ni matusi Kwa Kenya
 
JWTZ inabezwa na wasioijua. Ni kwamba operation za JWTZ zinafanyika kwa usiri mkubwa sana. Op inakuja julikana years later vijiji vimesafishwa na wasumbufu wamesafishwa wote. Yaan ni kwamba op za JW zikiwekwa wazi ndo mtajua undava na unyama unaofanywa na vikosi vyetu ili kulinda amani ya Taifa na ukanda wa EA wote. Take it from me TPDF ikipewa mission, no living creature will be left behind breathing. Hata kitoto kichanga wakikikuta wanafagia.
 
... siungani na Felix; linchi lote lile size kubwa kuzidi bara Uropa kulialia dhidi ya kikoba cha M23 ni aibu sana. Hawezi apishe wenye uwezo badala ya kuwawekea kauzibe ili apite bila kupingwa; ampishe Katumbi.
Ktk nyororo looooote la watangaza nia umemuona katumbi tu
 
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…