Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
naungana na weweAskari wa chini yake kumwacha akijiuzulu bila kumshughukia kijeshi hawajakitendea haki jeshi la Kenya alitakiwa kurudi Kenya akiwa kwenye jeneza Askari walio chini yake wangemalizana naye
Kwa nini? Yeye kama kamanda kama msaliti anasababisha Askari wadogo kupigwa Risasi na kuuawa na M23 yeye akiwa tu anakula nao pizza na chips kuku
Askari wadogo walitakiwa wamuue arudi maiti Kenya
Sababu aweza toa maelekezo mabovu kwa kujikomba kwa M23 yakasababisha Askari wadogo kufa dawa ilitakiwa kumuuua akiwa kongo maiti wampelekee Ruto wanwambie M23.wamemuua vitani kwa ambush
Kamanda vitani anatakiwa kutokuwa muoga wala kuungana na adui ina cost Askari wadogo waweza uawa kama kuku vitani
Askari wadogo wa jeshi la Kenya walioko kongo hawajalitendea haki jeshi lao Kenya huyo Generali alitakiwa arudi Kenya akiwa kwenye jeneza