JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

Hawa huo ndio kazi wanaweza,Warrbu wanatorosha wanyama kule Loliondo wao wako busy na magwanda ya mitumba
 
Nguo hizi zinauzwa madukani na kwenye mitumba, zikiwa ni za wakubwa na watoto wadogo kabisa. Kuwa na mabaka haihalalishi kufananishwa na za jeshi. Ni uamuzi usiofuata kanuni ya utawala bora. Vinginevyo walitakiwa wazinunue zote na wazichome na kisha watoe marufuku. Kukosa kazi unaweza fanya la kushangaza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisaa
 
Hiyo sababu haihalalishi huu ukatili wa kutesa mwananchi eti kisa wewe ni mwanajeshi, kama kweli wanataka hizo battle wakwende somalia huko wakakutane na maharamia waliopinda akili wapelekeane moto.
[emoji625][emoji625][emoji625]
 
Una hoja usikilizwee.
 
Weekend hii nataka nitinge short pant na kitop cha bakabaka nililetewa zawadi kutoka UK, nitaenda kwenye beach yao pale Ulongoni nione watanifanya nini, nitawapa mrejesho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huruhusiwi kuvaa nguo ya Jeshi lolote lile.
Yaani jeshi la nchi yoyote ile, hata ya nchi ndogo ya Nauru.
Hizo zinazofanana ni sare za Jeshi la nchi nyingine.
Huruhusiwi kuvaa sare za Jeshi yoyote.
Umeelewa hapo Ndugu?
Yaan nivae nguo inafanana na sare ya jeshi la USA, afu jeshi la TZ wanikamate na kunipora? Huu uonevu sasa khaaa.
 
Mimi naamini wanajeshi wa Tz no majobless wanaokula Kodi zetu bure... Majitu tunayalisha,tunayavisha afu hayana yanachofanya. Kwakuwa wamekuwa jobless ndio wamewaza upuuzi huo... Hakuna mtu mwenye majukum yake akawaza ujinga huo hata mara moja.

kazi zao nikuja uraiani kutishia watu kwenye kumbi za starehe?, Wapelekwe huko Somalia na Congo wakasaidie raia sio Tz ambayo haina hata Vita Wala mgogoro wa panzi.
 
Unajiri mtu kapata zero kidato cha nne unategemea nn
 
Wanaangalia na mtu wa kumfanya hivyo.. kuna watu wanazivaa vizuri tu na wala hakuna wa kuwasogelea.

Muonekano.. + Haiba.


Sasa unakuta mtu fala fala kama huyo jamaa anayepigwa makofi, mtu wa hivi unatandika fimbo nyingi sana za mgongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…