Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ambao wanavaa zile ambazo zinafanana kabisa na za kwao.Kila nguo inayofanana na jeshi ni ya jeshi?Wao wanapungukiwa nini huko jeshini?
Jinga kabisa wewe. Uko kwenye upande wa wapumbavu wanaotesa watu kwa sababu wanahisi wamevunja sheria? Unajua mahakama ziliwekwa za nini? Hivi tukiruhusu kila mtu kumfanyia unyama raia anayevunja sheria nchi itatawalika? Huoni hata wewe unaweza kulawitiwa kwa sababu tu kuna ameona umevunja sheria?Hii post imenikumbusha kitu hiki hapa
#46
Ni makosa kwa mtu yeyote kuchukua sheria mkononi, ila sasa na sisi raia tuwe tunakuwa na tahdahari kwa upande wa Wanajeshi kwa sababu bila tahadhari, na pale inapotokea Wanajeshi wamefanya makosa ya kuchukua sheria mkononi, unayeumia ni wewe raia
Nguo za kawaida za kuvaa zipo nyingi tu zimejaa tele, kwa nini wewe ukafakamie nguo za Jeshi, ilhali Polisi wanalalmika kila siku watu kutapeliwa na watu waliovaa mavazi ya kijeshi?
Mimi kwa kweli katika hili naweza nikawa niko upande wa Wanajeshi
Usipovaa nguo inayofanana na ya jeshi unapungukiwa nini?Kila nguo inayofanana na jeshi ni ya jeshi?Wao wanapungukiwa nini huko jeshini?
hajadhalilishwa bana msikuze mambo
Walikuwa wanawaona siku zote tena wengine wanawaazima raia wavae.raia anayedeka hivi kweli?mauwezo haya ndiyo uwezo wenyewe wa Kuvuta?Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania?
CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao?
Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?
Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi?
Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
Hawana shuguli za kufanya hawaHawa wa kwetu akili na upeo wao unawaza madem, bia,kununua ka gari mtumba,basi! Hawawazi, zaidi ya, hapo,
Wenzao West Afrika wanafanya mapinduzi
Ndio upige na kufanyia unyama wananchi? kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, hayo mambo ya sare wawaachie police, na hata police haruhusiwi kumpiga mtu kwa sababu kavaa sare ya jeshi, mpeleke kituoni chukua sare piga fine, jeshi lina akili ya zama za maweLakini si walitoa tamko ...
wanachofanya wanajeshi ni zaidi ya hao wahalifuLazima kuwe na tofauti,shida hizo sare huwa zinatumika vibaya baadhi ya sehemu kutapeli na kufanya uharifu.
tatizo lako we ni form four felia na shukuru bosi wako anavyokutuma buchani,sokoni na kuwapeleka watoto wake shule la sivyo ungekuwa kitukoKila kitu mnataka msimamiwe nyie na tutaendelea kuwaunguza mbwa nyie mnavaa nguo shabihi na uniform za jeshi acheni upumbavu
Hizo nguo za jeshi raia kazitoa wapi?Kwanini uvae nguo za jeshi na wanakataza kila siku? Tuanzie hapa kwanza
Waende wakalinde mipaka hukohajadhalilishwa bana msikuze mambo
[emoji3][emoji3]. Kuna mtu ambae hajui kwamba inakatazwa kuvaa nguo za jeshi? Kila mara wanasema na sasa wameamua kutoa mfano ili iwe fundisho.
Mbona nguo za polisi hamzivai?
Katiba mpya inahitajika haraka!Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania?
CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao?
Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?
Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi?
Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
Ngoja nimwambie Mama aombe friend game na Jeshi la Gabon!!Waende wakalinde mipaka huko
Waachane na issue ndogo ndogo
Ambazo hazina kichwa wala miguu
Ova
Mipaka inalindwa.Waende wakalinde mipaka huko
Waachane na issue ndogo ndogo
Ambazo hazina kichwa wala miguu
Ova