jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Jamaa ni Mjivuni sana na Gwanda lake alllosotea!!Huu ni upuuzi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni Mjivuni sana na Gwanda lake alllosotea!!Huu ni upuuzi kabisa.
Kweli hawajui kazi yaoLow IQ, Majeshi mengi Duniani hufanya IQ testing kabla ya kuajiriwa Jeshini lkn Tanzania hakuna IQ testing matokeo yake ndiyo hayo Una Jeshi ambalo halijui hata jukumu lake ni lipi, hawajui hata kazi yao katika nchi ni ipi wanaishi kuleta ubabe kwa dala dala kwa raia wakati wamekuwa trained kuilinda nchi.
Mimi nimetembea nchi nyingi hata za Kiafrika hata hapo Kenya tu huwezi kuona Mwanajeshi anazurura mjini ukiona Mwanajeshi mjini wako kwenye gari na wana kitu wanafanya wakimaliza wanatokeamea hawana stori na mtu raia, Tanzania kila siku ugomvi na raia wanagombania wanawake, wakitoka mafunzoni wanaingia mtaani kupiga raia ambao walipaswa kuwalinda …
Hii post imenikumbusha kitu hiki hapaHivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania?
CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao?
Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?
Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi?
Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
Taratibu za kinidhamu na kisheria zilipaswa zifuatwe ili kumuwajibisha huyo aliekiuka sheria na si kumpa adhabu kulingana na kanuni zako binafsi.Sifa za kijinga tu na siungi mkono hili
Ila kwa upande mwingine tujiulize:
Ni kwanini Raia avae nguo za jeshi? Anachotafuta ni nini iihali kuna nguo za kiraia kila kona?
Tangazo lilitolewa na muda walipewa, kwanini wakaendelea kuvaa?
Ujinga kama huo ndio kuna kipindi walifanya wakaua watu, JWTZ inamkana askari yoyote akiumiza mtu au kuuaMbona hajateswa huyu mtu
Mie nilijua wamempiga tifu la maana kumbe kaambiwa achome nguo[emoji1787]ni huruma kapewa ashukuru
Usikalili Mzee wangu! Una haki ya kujitetea utakavyo lkn wanahaki yakutetea wanachoamini ndani ya kutetea maisha Yao,, usikalili ondoa hiyo notions mkuuu wangu! Kila binadam anamadhara haijalishi ni nani na yupo vip Kwa wkt gn,,,!Man 2 man hawawezi kabisa
Wao washazoea kuja kikundi
Ova
Hivi kwani kuvaa nguo za jeshi kuna shida gani zaidi ya kuonyesha uzalendo?Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania?
CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao?
Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?
Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi?
Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
Wako sawa tuu mkuu inakuaje mtu una nunua nguo xa jeshi na kuzivaa ukiwa unajua wewe siyo mwanajeshi?
Na bado Hawa watu walivyo wa staarabu waliotoa siku saba watu wasarimishe nguo lakini Baado watu wamezifanya vichwa zao kuwa ngumu nabado tuwaone wanajeshi niwatu wabaya?
Hizo nguo wanazitumia kuteka watu kupora watu kubaka Dada zetu mitaani nahata kuporana wake bar nabado mnataka jeshi litumie uthtaalabu [emoji1787][emoji1787] mtakuwa mnakosea kunawakati inabidi kutumia kichapo ili jeshi letu lisichafuke kisa wapuuzi wachache
Ndio kigezo cha kuchoma mtu moto?Kwanini uvae nguo za jeshi na wanakataza kila siku? Tuanzie hapa kwanza
Huu ni ushamba sana tunaomba JWTZ Mutembee duniani kuva nguo za Jeshi ni kitu cha kawaida sana as longer hawavai sare zenu .Dah hii nchi ina watu washamba sana munaonekana Jeshi letu muko coward sana nguo za jeshi tu munaogopa sasa Hao Wagner si mutatupa siliha kwa kutemea mbio na wabunge vile vile wacheni ushamba na ujinga .Safirini na tembeeni .Mama samia watembeze washamba wako na nguo zao wazijue tuko karne ya 21 mpk sasa munaogopa kivuli chenu.Nguo za jeshi Dubai mafundi wa cherehani wa kawaida ndio wanashona na vaa unavotaka hata vaa full combat.Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania?
CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao?
Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?
Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi?
Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
Tamko la Nani wacha ujinga wako na ushamba wako Bro tembea uoneeeeeLakini si walitoa tamko ...
Wanajeshi sema tu tunawaogopa lakini ukidinda wanaogopa pia. Saikolojia kuhusu jeshi ndiyo inatutesa.Kwahyo kwenye uzi ule hujatosheka umeamua kuanzisha uzi mpya angalia dogo walishatoa katazo na epuka hisia kali kwenye jambo kama hili ambalo wafanye wasifanye ww hautapungukiwa na kitu cha msingi kama una ndugu anashobo na gwanda mwambie akazisotee asivae kizembe atapata tabu sana
Kama watu wanavaa sanda sembuse nguo za jeshi? Afu wanapenda hayo manguo wanapenda jeshi pia sema nafasi hawakuipata. Njia pekee ya kujifariji ni kuvaa nguo kama za jeshi.🤣🤣si alivaa lakin mavazi yasiyo muhusu?
Akubali yoteee
Sawa kawadindieWanajeshi sema tu tunawaogopa lakini ukidinda wanaogopa pia. Saikolojia kuhusu jeshi ndiyo inatutesa.
1 on 1 asije kukubabaisha kama kabisa unaona mnaendana...Ila kama ni zaidi ya mmoja chomoa.Sawa kawadindie