JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

Hivi kwani kuvaa nguo za jeshi kuna shida gani zaidi ya kuonyesha uzalendo?

Mbona nchi zingine tena Africa na US unavaa fresh tu?

Tuna complicate sana mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana ndugu kwa huku kwetu sabab sisi ni shithole kantirii ni bora kukataza
kuna mambwiga watazitumia vibaya
ila siung mkono walichomfanya dogo apo ni mambo ya kiwak
 
Kwan askari jeshi wote ni waonevu..mm nimesema hao waonevu
Kaka usomaji wako upoje au hujazoea sana kiswahili
Ninachopinga mm ni uonevu wala simtetei mtu anaevaa hizo gwanda maana ni kinyume cha sheria..na mkosefu anapaswa awajibishwe kwa sheria na sio uonevu
Akuna askari jeshi muonevu,kuvaa gwanda zao walizokataza ni kuwachokoza,ukishawachokoza wakikunasa unataka wafate sheria!.

Embu eleza izo sheria za ukiingia kwenye 18 za mjeda anatakiwa afate izo sheria,eleza izo sheria wakili msomi!
 
Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania?

CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao?

Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?

Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi?

Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.

😁😁Tuna askari wa hovyo sana
 
Sawa nenda nao 1 on 1 mm hata gwanda ikivalishwa kwenye mti huo mti siushobokei
Mkuu Kuna mwanajeshi mmoja wa Kenya alitaka kuniletea shobo huku akinibabaisha namna anavyowafanya alshabaab huko somalia,tuko baani tunakata vyombo nasubiri magunia yangu ya mchele yanunuliwe huko kisii Kenya, mara jamaa kalianzisha....mbona tulitoboana Sana tu.
Nchi zingine wanajeshi ni kama raia wengine so Hawana upuuzi kama huu wa huku kwetu.
Usiogope kujaribu mkuu wengine huko makambini sio wanajeshi ni WAPISHI TUU.
 
Nilijua ni wanajeshi wachache wasio jielewa wanafanya mambo kama hayo nilijiprove wrong nilipoona kiongozi jeshini anabariki suala kama hilo kwa kutoa siku kadhaa na baada ya hizo siku watakaobainika kukiona

Kauli ile ni sawa kabisa na kubariki vitendo vya kunyanyasa raia namna hiyo wajitafakari sana hawa jamaa matendo kama hayo ni usela wa kizamani sana watu tulishahama level hizo
 
Mkuu Kuna mwanajeshi mmoja wa Kenya alitaka kuniletea shobo huku akinibabaisha namna anavyowafanya alshabaab huko somalia,tuko baani tunakata vyombo nasubiri magunia yangu ya mchele yanunuliwe huko kisii Kenya, mara jamaa kalianzisha....mbona tulitoboana Sana tu.
Nchi zingine wanajeshi ni kama raia wengine so Hawana upuuzi kama huu wa huku kwetu.
Usiogope kujaribu mkuu wengine huko makambini sio wanajeshi ni WAPISHI TUU.
Sawa jipe moyo
 
Hivi hawa raia huwa hawalewi kuwa ni kosa kuvaa nguo za jeshi?

Au hata kuwa nayo tu nyumbani.
 
Hawa wanajeshi wanataka nini haswaa, wanataka aonekane mama hafai? Hawajui kuwa wanamharibia mama yetu!

Kuhusu sare za jeshi kwakweli wamenikera, yani hata cap au tisheti kutoka nje ya nchi ambazo hazifanani na za huku pia mnazuia? Au mimi sijaelewa!
 
Back
Top Bottom