JWTZ liache siasa na lithibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi

JWTZ liache siasa na lithibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi

Hakuna Jeshi hapo ni vijana wa ccm (uvccm). Jeshi Gani mtu anaiba uchaguzi wa wananchi, anaua wananchi halafu wapo kimya tu.!!

Uovu wa ccm wao wanaulinda na wanalinda ccm isitoke madarakani, Kwa faida ya nani?

Tanganyika haina vyombo vya usalama Bali ni wahuni wa ccm watupu.
 
JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi.

Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi ndipo litavunjika
Nimeshangaa sana Jana kumuona mwanajeshi ana ndevu pale nyegezi stendi nikajisemea labda taratibu zinageuka ila anyway raia wasiingie barabarani kizembe.
 
JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi.

Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi ndipo litavunjika
Unaongea na vipofu na viziwi wasio na akili ambao kazi yao ni kufuga vitambi, kulewa bar, kugombania wanawake na kujipendekeza kwa wapumbavu wanasiasa.

Ukiondoa wachache wenye akili ila kiukweli Tanzania hatuna Jeshi bali kikundi cha washenzi wasio na akili wanaovaa magwanda.
 
IMG-20251202-WA0092.jpg
 
JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi.

Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi ndipo litavunjika
Hakuna Jeshi hapo. Ni MILITIA.

Jeshi la Wanamtandao Tanzania.


Wanajificha kwenye kichaka cha halijihusishi na siasa, wakati Limeua MALEFU ya WATU kulinda madaraka ya WANASIASA.

Linafanya linalimda Katiba, ila Wanasiasa wakivunja Katiba, huoni UWEPO wao.

Ni TAKATAKA tu
 
Jeshi Gani unalozungumzia?Au unazungumzia wale sungusungu wanaovaa mabakamabaka?
 
Mkuu toka niwaone hapo kimara wanashika LINDO kwenye mwendokasi nimesikitika sana
 
Jeshi la wanawake wa Tanzania (JWTZ) hawana la kutuambia, tumeshuhudia wametiwa madole mqundu na jamaa wa Museveni mwezi October kwenye home ground yao. Kazi yao ni kulewa gongo tu huko uswahilini na kuanguka kifudifudi ng'ombe hao
 
Keyboard Warriors tuko katika test One Two, One Two. Tunatest mitambo.😀
 
Back
Top Bottom