Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Utekaji ni janga nchini kuliko hata Corona, haiwezekani watu wanatekwa na securities zime mute!JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi.
Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi ndipo litavunjika
Nimeshangaa sana Jana kumuona mwanajeshi ana ndevu pale nyegezi stendi nikajisemea labda taratibu zinageuka ila anyway raia wasiingie barabarani kizembe.JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi.
Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi ndipo litavunjika
Unaongea na vipofu na viziwi wasio na akili ambao kazi yao ni kufuga vitambi, kulewa bar, kugombania wanawake na kujipendekeza kwa wapumbavu wanasiasa.JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi.
Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi ndipo litavunjika
Hakuna Jeshi hapo. Ni MILITIA.JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi.
Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi ndipo litavunjika
Baby!