JWTZ: Litafanyika zoezi la kawaida la Medani Mkoani Lindi na Mtwara kuanzia 19 hadi 29 Oktoba 2022

JWTZ: Litafanyika zoezi la kawaida la Medani Mkoani Lindi na Mtwara kuanzia 19 hadi 29 Oktoba 2022

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
IMG_20221018_194715.jpg

Kwa mwenye jicho la tatu kuna kitu hapa Jeshi letu pendwa wanafanya ili kuwapa onyo wale jamaa wanaotaka kuleta dharau, safi sana hii.
 
Safi kabisa! Raia tupo pamoja nao na tunawatakia kila la kheri.
 
Kuna ile tulisoma kwenye history.. sjui ndo inaitwaje
 
Mazoezi ya kijeshi ni kawaida sana. Laiti ungekuwa na exposure ungekuwa umeshaona jinsi nchi zilizoendelea zinavyofanya mazoea makali mara kwa mara.
Nafahamu sana hiki kitu na hata wakati wetu wa JKT tukiwahi kushiriki hio kitu, but miaka haigandi inabadirika, nowadays unaweza kutumia mazoezi ili kumuonesha jirani yako how you're!.

Angalia kwa kina korea huko, jamaa anavurumisha maroketi kila siku, iran hapo anarusha mishare atakavyo unadhani ni nini kile?.
 
Pigeni jalambaaa la kibabe ...kuna vinchi vinadharau sana ....Ili vikao vijue huu mziki mnene.
 
Ile siku ya Nyerere day kuna anko wa kitaa alikua anatupa stori jinsi walivyokwama kwenye machafuko ya Burundi 1994.hii stoty mwisho kuna mambo ya kushangaza kuhusu jeshi letu la JW.

yalikua maroli matatu ya kitanzania na madereva wake wakiwa wanapakia kahawa pembezoni mwa mji flani upo milimani"aliutaja huo mji ila mimi nimeusahau.

ni story ndefu alituhadithia na inamatukio mengi ya kuhuzunisha,kusisimua ila nitahadithia namimi kwa kifupi kwa yale nitakayoyakumbuka.

,,,,,story inaendelea.
 
Mazoezi ya kijeshi ni kawaida sana. Laiti ungekuwa na exposure ungekuwa umeshaona jinsi nchi zilizoendelea zinavyofanya mazoea makali mara kwa mara.
Inawezekana kabisa wewe hauna hiyo
" exposure" unayojinadi kuwa nayo.....
Ungekuwa nayo ungejua kuwa,
ni kawaida duniani ila hapa Tanzania ni mara ya kwanza.
Wanaita waandishi wa habari kwa kusudi maalumu.
Kuna mahala ujumbe unapelekwa.
 
Back
Top Bottom