JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

Maaskari wa JWTZ wanapenda kufanya fujo mtaani na ubabe wa kipumbavu.

Binafsi niliwahi kupigwa na maaskari wa JWTZ bila sababu YEYOTE.

Siku nchi ikiingia kwenye changamoto ya kiusalama tutanguna na adui kuwapiga miti hawa malimbukeni.
Mtu mwenyewe unaitwa Restless Hustler halafu unajipendekeza kupita maeneo ya jeshi, ulitegemea wakuache? Jeshini siyo soko la Tandale au Station ya Mwendokasi ambapo hata wazembe utawakuta. Lile ni eneo la wakakamavu tu
 
Kwani TTCL au VODACOM kila mtu anaajirwa??
 
Wanajeshi wanafundishwa kuua tu?
Kuua ndio jukumu kubwa la jeshi??

Maaskari wa JWTZ wanapenda kufanya fujo mtaani na ubabe wa kipumbavu.

Binafsi niliwahi kupigwa na maaskari wa JWTZ bila sababu YEYOTE.

Siku nchi ikiingia kwenye changamoto ya kiusalama tutanguna na adui kuwapiga miti hawa malimbukeni.
Nyie wabongo ambao tu polisi wakiwatisha mnasepa? Muungane na adui yupi. Bado sana hiki kizazi bado sanaa
 
Wanachoniudhi hao jamaa ni kuonea raia kwa mambo madogomadogo lakini wakienda Congo huko wanatolewa kamasi na M23.
With all due respect jwtz ina track record nzuri sana when it comes to congo, kwanza ndio jeshi lililopotezq askari wachache kuliko jeshi lingine hapo congo.
Ile ni vita yes, watu wanakufa all the time, is how effective kwenye field upo, jwtz haina record mbaya
 
Ilikuaje hukutumia fursa ya hilo darasa kuwaelimisha unayotaka wayajue?
 
Wanajeshi wanafundishwa kuua tu?
Kuua ndio jukumu kubwa la jeshi??
Kazi ya jeshi ,core function ni kulinda mipaka ya nchi na kusaidia nchi nyakati za majanga.

Likapokuja suala la kulinda, utawaje kulinda kama huwezi kumuua adui na kumuharibu?

Hakuna jeshi duniani lisilofundishwa kuua. Tofauti ni doctrine, nani wa kumuua na wapi
 
Hata wewe ukivamiwa na majambazi nyumbani kwako unaweza kuua bila hata kuwa na mafunzo,
Lengo la kwanza la jeshi sio kuua, hata kwenye vita adui akijisalimisha au ukiua adui uliyemkamata ni war crimes na ikithibitika utafungwa miaka mingi sana.
 
Nimesema jeshi halpaswi kueleweka kama unavyoielewa TTCL au Vodacom
Sielewi hata unamaanisha nini maana kila kitu kinaeleweka kama kilivyo. Hata maji huwezi kuyaelewa kama pombe, chumvi haiwezi kueleweka kama sukari n.k
 
Umekaaa huko ukaamua kuandika uzi ukaona hicho ndicho kitu cha maana kwelikweli. Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…