Ki msingi na Sisi katutukana sababu kikosi cha Tanzania kiko chini ya south Africa that's y tunataka ashughulikiweKwenye Mkutano wa viongozi wa East africa commander in Chief Samia kasema mambo ya historia yabaki historia tujadili ya sasa,Kagame kabweka yote na kumponda sana Rais wa Africa kusini na majeshi yake kajaribu sana kuavoid neno Tanzania na Jeshi lake.
Huu ni mtihan mwegineHata kwenye familia zetu, Mwanamke hajawahi kuwa serious na jambo linalohosu usalama.
Mimi sio mbaguzi wa jinsia ila nimeongelea experience yangu.
Kikwete alikua na madhaifu mengi lakini sio Malawi wala Rwanda walioendelea na chokochoko baada ya kujibiwa.
Waende tu hao Bongo movie watarudishwa kwa aibu kama wale mercenaries wa Kifaransa na Kiromania, jeshi letu linapaswa kusukwa liwe kama lile la enzi za Nyerere kuanzia kwenye drills, discipline na patriotism.Vita ya DRC imegeuka kutoka kuwa mgogoro wa kijamii hadi mgogoro wa kimaslahi ya ulinzi na uchumi, taifa letu likiwa eastern na southern Africa linapaswa kutambua yafuatayo.
Kama JWTZ haitaingilia Kati mgogoro wa DRC kama ilivyofanya mwaka 2012/13 madhara yake
1. Maeneo ya mashariki ya Congo yatakua chini ya uthibiti wa Rwanda chini ya M23 Kwa asilimia 100%.
2. Rwanda ataendelea kupata uungwaji Mkono wa mataifa wanufaika wa Rasilimali za madini na misitu in favour ya Ku exchange Rasilimali hizo na military items mfano makampuni makubwa yanayotegemea mgogoro kuiba madini Congo in exchange watampatia siraha na aircraft za mana Rwanda ambazo zitamwezesha kuwa dominant wa security east Africa Kwa maana hio kitendo cha kumuacha Rwanda kuiteka DRC ni kitendo cha kumkuza kiuchumi na in exchange kumkuza kijeshi
3. Rwanda kuwa hub ya mineral business Kwa maana ya kwamba Kigali Airport Ku connect na Dubai moja Kwa moja kufanya miji hii kuwa bussy na biashara ya madini Kwa kasi kuliko wakati wowote huku mgogoro ukikuzwa kuendelea ili biashara ziendelee kufanyika.
4. JWTZ inaenda kupoteza geomilitary influence na badala yake Rwanda anaenda kuchukua military influence ya technical skills, ability (siraha hatari) na kandarasi za ulinzi katika maeneo yenye migogoro tunaenda kutengeneza new Israel east Africa ambayo wazungu wataona inafaa kuwaunga mkono.
5. JWTZ itegemee statement yoyote ya kubezwa kutoka jeshi la Rwanda, kama ambavyo Kagame amemjibu Leo Ramaphosa
Afande CDF. Mkunda, Mama yetu yuko bize na Uchaguzi, intelligensia kubwa imeelekezwa kwenye siasa hilo liko wazi, Waziri wako nae ndio hivyo tena Sekta ngumu kama hii wanaleta mwanamama kazi kweli kweli, visingizio vitakua vingi
Hivyo nakushauri utumie ushawishi wako wakikushinda yupo Rais Jk, Mwamunyange, Mwakibolwa watume washawishi vijana waruhusiwe waingie kazini lakini tuwe na makubaliano yenye maslahi ya kiuchumi na DRC katika mgogoro huu.
Pia jeshi letu lisiwe tena chini ya command ya south Africa whether ni SADC au MUNUSCO tujitegemee bila kuwa chini yao bali tufanya exchange ya intelligence tuu katika operation zetu, jeshi la south Africa kwenye filed ni lelemama, hawawezi kitu dominate ati sababu wana technology wakati application ni zero
Nawasilisha:
Na hiyo UN inaongozwa na USAKuna kitu kinaendelea kwenye alliance armies especially kuuza taarifa na amri zenye maslahi fulani juzi kikosi cha Tanzania kilicho chini ya south Africa kimeamriwa kuweka siraha chini amri kutoka Wakuu wa operation South Africa na wao wanasema order wamepewa na UN huoni huo n ujinga
Wameamua kukodi mercenaries waliodhaminiwa na France kwa kuwa wanaamini France wana personal hatred against Kagame so they'll do whatever it takes kumuondoa madarakani.Wanaweza kuanza kufanya ugaidi Tanzania wakopata support ya Rwanda na washirika, wanufaika wenzake mataifa ya magharibi. Hapo lazima kujipanga na kuusoma mchezo vizuri.
Ni vizuri kwenda kama jeshi la jumuiya ya EAC, AU au UN. Kwanini DRC wasiwakodi na kuwaita Warusi?
Yapo makosa kidogo yamefanywa siku za hivi karibuni ku link jeshi la wananchi na siasa, kimsingi Kwa namba Fulani credibility imepunguaWaende tu hao Bongo movie watarudishwa kwa aibu kama wale mercenaries wa Kifaransa na Kiromania, jeshi letu linapaswa kusukwa liwe kama lile la enzi za Nyerere kuanzia kwenye drills, discipline na patriotism.
Kwa sasa hatuna soldiers wa kukabiliana na wale wahuni.
Hiyo geopolitical military influence tumeutoa wapi au unazungumzia enzi za Mchonga? Hivi tuna influence Kenya au Uganda au Zambia au wapi labda mimi ndiyo niko gizani?
Acha jeshi na intelijensia yake waendelee kulinda CCM dhidi ya vyama vya upinzani kwani huko ndiyo tuna uhakika hawategemei kuaibishwa na wala kuliaibisha taifa kwa ujumla wake.
Vyombo vyetu vyote vya ulinzi na usalama wamejikita kwenye siasa zaidi na confidence uchwara eti tulimpiga Nduli Idd Amin Dada(history).
Ndio mana tunawasihi Tanzania kuingilia Kati ili Ku regulate ukuaji WA uchumi na kijeshi wa RwandaKwa akili kubwa za Kagame na rasilimali nyingi zilizopo Kivu haki vile Rwanda inaenda kukua kiuchumi na kijeshi.
Miaka ya mbeleni huko hii jamii ya kitusi itakuja kumega maeneo ya Kagera na Uganda iundwe nchi mpya.
Hii ni changamoto nyingine hiiWaziri wa ulinziView attachment 3218642
Hapa ndipo ulipokosea nduguHupo sahii Kabisa
Mimi sio mwanajeshi wala mtu wa intelligentsia lakini nasisitiza Taifa la Tanzania linauwezo mkubwa wa kutatua matatizo mengi sana kwa sasa.
Nipo tayari kutoa maelekezo.
0747285555/0747534444
Natamani sana nikutane na wausika wa nchi yetu waliopewa dhamana ya utawala kwa wakati huu.
Nimewai kuongea jambo na mmoja wa wausika akasema atanikutanisha na wakuu wa vyombo vya usalama lakini akapotea.
Naitaji sana kukutana na Mheshiwa Rais alafu Kuna maelekezo nitampatia.
Ndugu zangu watanzania haya mambo ni mepesi sana kwa msaada wa Mungu. I m 100% sure kuwa taifa letu kwa sasa ndio lenye nguvu saana duniani. Narudia naitaji kukutana na wausika then wote tutajua Tanzania ni nchi gani!
Majina yangu naitwa Deogratias Byela Henry Rutabana.
Najua sana Mh Rais yupo tayari kupokea ushauri tena wa kiMungu lakini bahati mbaya sana wote anaokutana nao wamevaa SURA za utumishi wa Mungu na wanajiita viongozi wa Dini wakati hamna kitu na ndio maana hata Yesu alitumia wakina Petro, dakitali wa binadamu Dk Luka nk akamuacha Nikodemu ambaye alionekana Mtumishi wa Mungu katika macho ya watu kumbe hamna kitu, lakini pia hata Farao aliyemsaida tafsili ya ndoto yake alikuwa ni Yusuph baada ya waganga na wote waliojiita watumishi wa Mungu kukosa majibu.
Najua muda na wakati utafika wa kukutana na Mh Rais.
Tusiishi kwa kukalili Mungu yupo hatuitaji kupata tabu.
It is always good to work in easy way.
Kwa hii nchi yenu ni ngumu.Ulichosema kilitakiwa kiwe kimefanyika miaka mingi nyuma.Kwa nchi za maziwa makuu tz ilitakiwa iwe proud kiuchumi,kijeshi na ushawishi mkubwa kwa nchi jirani,lakini kwa sasa ni mavi matupu hata Burundi hatusikilizi wala hatuogopi.Ndio mana tunawasihi Tanzania kuingilia Kati ili Ku regulate ukuaji WA uchumi na kijeshi wa Rwanda
Natumahi Wazee wanatusikia
Sawa wewe wasema lakini ukweli ndio huo hata uende wapi mambo haya hayawezekani kwa mwili bali kwa Roho. We are all connected ndio maana imeandikwa Bwana hasipolinda mji....Hawezi kutoa taarifa nyeti za kiusalama Kwa maelezo hayo, hui sio mada ya uchawa Kwanza nakushitumu kama pandikizi
Umekosea Sana na jeshi letu haliwezi kutoa nafasi Kwa watu wapuuzi kama ww
Unafikiri Tanzania inaweza kwenda peke yake na kutia suluhisho la kudumu?Kuna kitu kinaendelea kwenye alliance armies especially kuuza taarifa na amri zenye maslahi fulani juzi kikosi cha Tanzania kilicho chini ya south Africa kimeamriwa kuweka siraha chini amri kutoka Wakuu wa operation South Africa na wao wanasema order wamepewa na UN huoni huo n ujinga
Duh, mbona kageuza? Au editedWaziri wa ulinziView attachment 3218642
Hii mbona kama imeandikwa na AI au mtu asiyejua kiswahili vizuri.Hupo sahii Kabisa
Mimi sio mwanajeshi wala mtu wa intelligentsia lakini nasisitiza Taifa la Tanzania linauwezo mkubwa wa kutatua matatizo mengi sana kwa sasa.
Nipo tayari kutoa maelekezo.
0747285555/0747534444
Natamani sana nikutane na wausika wa nchi yetu waliopewa dhamana ya utawala kwa wakati huu.
Nimewai kuongea jambo na mmoja wa wausika akasema atanikutanisha na wakuu wa vyombo vya usalama lakini akapotea.
Naitaji sana kukutana na Mheshiwa Rais alafu Kuna maelekezo nitampatia.
Ndugu zangu watanzania haya mambo ni mepesi sana kwa msaada wa Mungu. I m 100% sure kuwa taifa letu kwa sasa ndio lenye nguvu saana duniani. Narudia naitaji kukutana na wausika then wote tutajua Tanzania ni nchi gani!
Majina yangu naitwa Deogratias Byela Henry Rutabana.
Najua sana Mh Rais yupo tayari kupokea ushauri tena wa kiMungu lakini bahati mbaya sana wote anaokutana nao wamevaa SURA za utumishi wa Mungu na wanajiita viongozi wa Dini wakati hamna kitu na ndio maana hata Yesu alitumia wakina Petro, dakitali wa binadamu Dk Luka nk akamuacha Nikodemu ambaye alionekana Mtumishi wa Mungu katika macho ya watu kumbe hamna kitu, lakini pia hata Farao aliyemsaida tafsili ya ndoto yake alikuwa ni Yusuph baada ya waganga na wote waliojiita watumishi wa Mungu kukosa majibu.
Najua muda na wakati utafika wa kukutana na Mh Rais.
Tusiishi kwa kukalili Mungu yupo hatuitaji kupata tabu.
It is always good to work in easy way.
Kagame naye ana - back up ya kisirisiri Israel, US, UK na wengine. Huu mtifuano utaishia wapi?Wameamua kukodi mercenaries waliodhaminiwa na France kwa kuwa wanaamini France wana personal hatred against Kagame so they'll do whatever it takes kumuondoa madarakani.
Kagame kawatukana sana Wafaransa, hata sasa ndiyo taifa la Wazungu linalo piga kelele na kuwahusisha direct na hivyo vita zaidi ya taifa jingine lolote.
Acha seregere liendelee tuone nani atakubali kushindwa.