JWTZ na Polisi wategua Bomu ndani ya chumba cha NMB Bank Shinyanga

JWTZ na Polisi wategua Bomu ndani ya chumba cha NMB Bank Shinyanga

Polisi,wapewe mafunzo,namna ya kutegua mabomu,la sivyo,kila lindo awepo askari wa JWTZ mmoja.
Qualifications za polisi entry iwe kama ni cheti cha form four isipungue division 3,yaani iwe division 3,2 au 1. Halafu kuelekea juu yaani form six na degree.
 
Kwa Tanzania hao ni swala la muda tu anzia pale Tanga, moshi arusha tabora shinyanga na dar wwmejipenyeza sana wengi sana

Na wwmejipenyeza kwenye top position
Wale watu sio wakuchangamana nao hata kidogo wanambegu mbaya sana wale jamaa. Na wanapoweka jamii yao lazima machafuko yatokee.
 
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Polisi Mkoa, Janeth Magomi, Kilipuzi hicho kilipatikana kwenye chumba maalum kinachotumiwa na wateja wa Fedha Nyingi (Bulk) na mtuhumiwa mkuu amekamatwa

Kamanda Magomi amesema mkoba uliokutwa na kilipuzi hicho ulisafirishwa hadi Kambarage Police Barracks ambapo wataalam wa Mabomu kutoka JWTZ walifika na kuufyatua kwa haraka.

Tukio hilo lilifanyika Septemba 17 muda wa saa 7 mchana.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi amesema Afande: Ni kwamba majira ya saa saba mchana katika benki ya NMB Manonga hapa Shinyanga, aliingia mteja(mhalifu) anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60+ akiwa na briefcase yenye rangi nyeusi na koti kubwa lenye rangi ya kijivu, akakaa sehemu ambako wateja wanaochukua pesa nyingi(bulk cash) huwa wanakaa.

Akiwa hapo alijifanya kama vile anajaza fomu za benki, ndipo akaliweka lile koti chini na juu yake akiweka ile briefcase, inaonekana kwenye hilo koti kulikuwa na chupa ya petrol, ndipo akaimwagia ile petrol kwenye lile koti na kulipiga kiberiti na kuondoka, moto ule ulidhaniwa kuwa ni wa kawaida, ndipo wafanyakazi wa benki wakafanikiwa kuuzima kwa fire extinguisher, kisha wakatoa taarifa polisi juu ya ajali hiyo.

Wakati huo mimi nilikuwa hapa maeneo ya kituoni, ndipo nikaondoka na A/INSP Lutufyo, SGT Nale, na baadae wakaja CPL Najim na FC Kalungwa. Tulipofika bank, tulikuta pia maafisa wa zimamoto nao wamefika, lakini tulipo asses tukio, tuliona kwamba tukio hilo linaashiria vitendo vya kigaidi, kwani tulipatwa na wasiwasi kuwa ile briefcase ni bomu lililowahiwa kabla halijalipuka.

Hivyo tulianza kukusanya baadhi ya vielelezo tulivyoviona eneo hilo, ambapo tulichukua sampuli ya kimiminika(petrol), vipande viwili vya mti mbichi, na koti, pia tulipiga picha eneo hilo. Baadae kwa umakini tulilivuta kwa kamba lile koti juu yake ikiwa ile briefcase hadi nje.

Lakini pia tulijiridhisha kuwa kwa moto ule uliozimwa ndiyo ulikuwa detonator ya lile bomu, hivyo kwa umakini tulilichukua na kuliweka kwenye gari hadi katika kiwanja cha mpira cha Kambarage Police Barracks, hapo tulimuimba ACP Mwakagonda awasiliane na maafisa wa jwtz kuja kutusaidia.

Ndipo walipokuja majira ya saa kumi jioni wakiwa na vifaa vya kulipulia bomu na kufanikiwa kulipua bomu hilo. Mtawanyiko wa bomu ulikwenda umbali wa mita 41. Usawa wa ardhi.

Baada ya mlipuko huo, tulianza kukusanya vielelezo kwa kuvipiga picha na kuvuhufadhi, baadhi ya vielelezo hivyo ni. Mbolea, vipande vya mfuko wa sulphate, tambara la shati, chanuo, mabaki ya dumu la ujazo wa lita tano, mabaki ya briefcase, pamoja na sampuli zingine ndogondogo sampuli hizo tumezihifadhi ofisini huku tukisubiri wataalamu wa milipuko kutoka forensic hq.

============================

Police in collaboration with the Tanzania People’s Defense Forces on Saturday September 17, have defused a bomb that was planted inside NMB Bank, Shinyanga branch.

The bomb, which if it had exploded would have caused serious damage including loss of life and property, was found in a special area used by bulk cash customers.

Shinyanga Regional Police Commander, Janeth Magomi has confirmed the incident, adding that key suspect has already been arrested by the Police.

"We have already arrested the suspect and the bomb has already been detonated by TPDF experts before it could harm anyone," said Commander Magomi on phone.

She did not, however, say what type of explosive the officers had found at the scene of crime.

Witnesses say the incident took place at around 1:00pm at NMB Manonga Shinyanga branch, after a person estimated to be around 60 years old entered with a black briefcase and a long gray coat.

One of the witnesses, Janeth Ernest, said the man was sitting in the Bulk customer section and while he was there, he pretended as if he was filling out bank forms, then he removed the jacket and put it on the briefcase.

"He later removed a bottle of what appeared to be petrol and poured its contents on the coat then lit it and left the scene immediately,” she said.

The bank’s staff made effort to turn out the fire and later informed police who arrived almost immediately.

One of the bank’s employees who spoke on condition of anonymity said that initially had not paid attention to the briefcase because they thought the owner had come to either deposit or withdraw large sums.

“But after extinguishing the fire we became suspicious of the black brief case and that was when we called the police,” said the employee.

The briefcase was later transported to Kambarage Police Barracks where experts from TPDF arrived and immediately detonated it.

THE CITIZEN
Hawa watu mpaka walipue mahali nyeti ndio utawala uliopo uelewe ni chanzo halisi cha matukio ya kiharifu na ugaidi kushamiri sana. Wanatakiwa watafute (Root Cause)
 
Qualifications za polisi entry iwe kama ni cheti cha form four isipungue division 3,yaani iwe division 3,2 au 1. Halafu kuelekea juu yaani form six na degree.
Kwa hiyo academic qualifications tu za secondary na vyuo tu,ndiyo yanahusika?Silaha hawafundishwi...?
 
Unadhani wewe utaenda wapi? Huko hakuna wa kukufira, huko ni haki tu itatawala na ndio utajua kuwa ulikua hujui
Haki gani kuna uzinzi na kuvywa pombe? Kama unaamini kwa Mungu kuna haya mambo yako ya hadithi alokuletea huyo mtume wako mbakaji Endelea kujidanganya! Mohamed alikuwa hana sifa hata moja ya kuwa mtume! Ndo maana mnasoma hadithi za mtume! Tokea lini hadithi mtu mzima akazisikiliza na kuziamini kama hana matatizo ya akili? Umepotea hujui uendako!
 
Hamzaaa mjegejo.
Mungu amrehemu huko alipo
Hawa watu huwa siwaelewi kabisa.... kama wanataka vita si waende kambi za jeshi?

Ndio maana ninamheshimu sana, yule Hamza wa Selander... alikwenda ku-deal na watu wenye mafunzo na silaha like a man; sio hawa cowards.
 
Yuko na mabikira 72 na anaogelea kwenye mito ya pombe!😂😂😂
Mahrulain sio!!?


Mungu nisaidie hizi Dini hizi!!

Dini hizi kuu mbili zimedumu KWA miaka 222 tu hapa Africa yaani (2022-1800=222) Kumbuka wakoloni walikuja kuanzia mwaka 1800 Mungu a Dini hizi tumeanza kufundishwa na kumuamini kuanzia mwaka 1800 tu,lakini impact ya imani hizo mbili ni kubwa Sana kuliko hata zile za mizimu za mwaka 0-1800,ambazo Babu yetu waliabudu!!

Msaada inahitajika kwakweli KWA vijana wetu kuhusu imani hizi ZOTE waweze ku balance imani zao na common sense!
 
Kwahiyo hilo bomu lilikuwa halina remote trigger wala timer trigger hadi aliwashe manually kwa kibiriti na mafuta ya petroli?!

Hilo gaidi ni jinga kuliko maelezo. Halafu ugaidi unafanya una miaka 60 ili iweje?!
Huyo siyo gaidi,hizo ni mbinu na madhala technologia kuna kitu wataalamu wanita technoligical dualism.
Upnde mmjoa wa tecnoligia unazo faida nyingi za kurahisisha maisha ya mwanadamu, lakini pia upande wa pili una hasara na madhala makubwa.
Mfano makampuni yanayotengeneza mifumo ya kiusalama (security system devices) ili wauze vifaa vya mifumo ya usalama ya kugundua vilipuzi ni lazima watengeneze mazingira yanayohatarisha usalama kwa kuunda nakufadhili vikundi vya kigaidi ili vihatarishe usalama na kisha makampuni hayo kupata fursa ya kuuza mifumo ya kiusalama kwa nchi na taasisi mbailmbali.
Kwa tukio la NMB Shinyanga benki zote nchini zinaenda kununua vifaa vya kugundua vilipuzi na hii ni kutokana na mbinu ovu za kibeberu za kutumia upande wa pili wa tekinologia kwa kutengeneza taharuki na hofu ili kujinufaisha kiuchumi.
Mmarekani Avin Toffer amelieleza vizuri hili kwenye kitabu chake cha "THE THIRD WAVE"
Aliandika na kutahadhalisha kuwa tekinologia ikitumika vibaya inaweza kuleta maafa makubwa kwa mwanadamu. Alitoa mfano kuwa kampuni fulani inaweza kutengeneza ugonjwa na kisha kutengeza na kuuza dawa ya ugonjwa huo.
 
Mahrulain sio!!?


Mungu nisaidie hizi Dini hizi!!

Dini hizi kuu mbili zimedumu KWA miaka 222 tu hapa Africa yaani (2022-1800=222) Kumbuka wakoloni walikuja kuanzia mwaka 1800 Mungu a Dini hizi tumeanza kufundishwa na kumuamini kuanzia mwaka 1800 tu,lakini impact ya imani hizo mbili ni kubwa Sana kuliko hata zile za mizimu za mwaka 0-1800,ambazo Babu yetu waliabudu!!

Msaada inahitajika kwakweli KWA vijana wetu kuhusu imani hizi ZOTE waweze ku balance imani zao na common sense!
Mkuu kwetu sisi Yesu kristo alipokufa alishuka kuzimu huko kwa wafu na alienda pia kuwa fungua kifungoni watu wote huko waliokufa wakiwa watu wema ila hawakupata bahati ya kulisikia neno lake! Ukristo umekamirika mkuu! Issue ya kuanza 1800 haina tija! Watu wote waliokufa wakiwa wametenda matendo mema Yesu aliposhuka kuzimu alienda kumaliza kazi zote!
 
Kwahiyo hilo bomu lilikuwa halina remote trigger wala timer trigger hadi aliwashe manually kwa kibiriti na mafuta ya petroli?!

Hilo gaidi ni jinga kuliko maelezo. Halafu ugaidi unafanya una miaka 60 ili iweje?!
Hamna gaidi hapo huyo ni mwehu tu aliyechangamka.
Bomu gani lina matambara,vichanuo makopo na mavi ya ng'ombe
 
Mkuu kwetu sisi Yesu kristo alipokufa alishuka kuzimu huko kwa wafu na alienda pia kuwa fungua kifungoni watu wote huko waliokufa wakiwa watu wema ila hawakupata bahati ya kulisikia neno lake! Ukristo umekamirika mkuu! Issue ya kuanza 1800 haina tija! Watu wote waliokufa wakiwa wametenda matendo mema Yesu aliposhuka kuzimu alienda kumaliza kazi zote!
Ni sehemu ya mpango kazi wa mental slavery wa hicho unachoamini!!ukristo unasaidia nchi zetu kutawaliwa vizuri uislamu ni zao la WAKRISTO watawala ambayo walianzisha Bakwata!hayo madhehebu mengine ya kiislamu na kikristo ni Mpango kazi wa watu kujipatia kipato!

Japo ni kweli MUNGU yupo lakini kuamini ANAPATIKANA katika Dini zote mbili ni MATATIZO ya Akili kuamini hivyo!!

Mungu yupo tumheshim!Dini tuziangalie tu kama taasisi nyingine za serikali kama shule,zahanati n.k!na sio kuamini Mungu yupo kwenye DINI!!
 
Back
Top Bottom