figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Watawala wa Afrika wanadhani JWTZ ni Wanachama wa CCM.
Watawala wanadhani JWTZ ipo kwaajili ya kuwalinda wabaki madarakani.
Nawakumbusha tu. JWTZ ni Jeshi la wananchi wa Tanzania. Na wapiga kura ni Wananchi wa Tanzania.
Ni vizuri tukakumbushana haya. JWTZ si TPF, muulizeni Mama Nyerere. Mumewe alivalishwa baibui akaenda kufichwa Kigamboni. Ni baada ya mumewe kuingia 18 ya Maafande. Hawakujali ni rais wa kwanza wa Tanzania aliyewaletea uhuru. Wamuogope nani?
Wanaangalia sarakasi zenu. Ingieni 18 zao ndo mtajua kilichomtoa nyoka pangoni mwake.
Huwezi minya Demokrasia ukadhani JWTZ watakutetea.
Shikamoo Afande.