JWTZ ni Wananchi, wanaopiga kura ni Wananchi. Je, Jeshi linatakiwa kukaa tayari dhidi ya nani?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Watawala wa Afrika wanadhani JWTZ ni Wanachama wa CCM.

Watawala wanadhani JWTZ ipo kwaajili ya kuwalinda wabaki madarakani.

Nawakumbusha tu. JWTZ ni Jeshi la wananchi wa Tanzania. Na wapiga kura ni Wananchi wa Tanzania.

Ni vizuri tukakumbushana haya. JWTZ si TPF, muulizeni Mama Nyerere. Mumewe alivalishwa baibui akaenda kufichwa Kigamboni. Ni baada ya mumewe kuingia 18 ya Maafande. Hawakujali ni rais wa kwanza wa Tanzania aliyewaletea uhuru. Wamuogope nani?

Wanaangalia sarakasi zenu. Ingieni 18 zao ndo mtajua kilichomtoa nyoka pangoni mwake.

Huwezi minya Demokrasia ukadhani JWTZ watakutetea.

Shikamoo Afande.
Your browser is not able to display this video.
 
Alipowaambia wakaee tayari sidhani maneno yale yalipitia kwenye ubongo.
 
ni lazima kuka tayari dhidi ya puppets na mercenaries wanaotumwa na mabwenyenye ya magaharibi kujaribu kutugawa na kuvuruga umoja, amani na utulivu wa waTanzania.

na ni vizuri kua tayari kuilinda amani kwa nguvu na gharama yoyote ile na kuwadhibiti na kuwasambaratisha bila huruma bandits wote wa kisiasa hasa wale wavurugaji na waliokosa uelekeo
 
Reactions: Tui
Umenena vema
 
Hii thread ilikuwa grounded naamini.

Tupe uzoefu wa Zanzibar kwenye uchaguzi na matumizi ya Jw..🙏
 
We Jamaa Bwana

Anyway ngoja tuone huu uzi tu kwa macho.

Hakuna aliyejuu ya Mwenyekiti kama ulikuwa hujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…