Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #21
JWTZ wana jukumu la Kikatiba la kuilinda Katiba.Uzuri ama ubaya wa CCM umeota mizizi pote, JWTZ wamo, Usalama wamo, Police wamo, Mahakama wamo, vyama vyote vya wafanyakazi wamo, Taasisi kubwa za huduma za kijamii wamo, Vyama vya siasa vya upinzani wamo- yaani kupambana na CCM bila msaada wa wahisani ni kazi kubwa mno maana popote utakapoenda kulalamika unawakuta walewale wanakusubiri ila kwa sura tofauti.
Hili nalo neno.Labda wachukuwe hatamu za uongozi ili kusimamia uundwaji wa katiba mpya.
Unaonekana mwehu jamaa haja andika matusi ila umetukana sana. Ila kumbuka hiyo "K* ndipo umetokea hivyo unatuka kitu chenye dhamani katika kuijaza dunia. Sote tuliingia kwenye "K" kupitia baba zetu na tukazaliwa kwenye "K" za mama zetu otherwise uwe umezakiwa kwa mshono. But heshimu mama zako KIMA WEWEHivi unadhani hao ni redbrigade wa chadomo kwamba wanaamriwa na kamati kuu eti ee?
Ukikua utaacha..
Au unadhani mlivyogawanyika huko kamati kuu ndo na nchi ilivyo?
Acha u "k", acha uropokaji wa kutumia visungura..we saizi yako ni mahinyila, moza na ma "k" wenzio..
Mie nitakuuliza tu wanalindaje Katiba?PENGINE WATU HAMJUI KAZI ZA.JWTZ...
1. Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977
Ibara ya 147 (1) na (2):
(1) Kutakuwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa madhumuni ya kulinda uhuru, mipaka, ardhi, watu na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
(2) Jeshi hilo litaendesha shughuli zake kwa utii kwa Katiba, Serikali halali, na watu wa Jamhuri ya Muungano.
Kazi za JWTZ Kikatiba:
- Kulinda uhuru wa taifa
- Kulinda mipaka ya nchi
- Kulinda ardhi na rasilimali za taifa
- Kulinda watu wa Tanzania
- Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano
2. Kulingana na Sheria ya Ulinzi wa Taifa (The National Defence Act, 1966, Sura 192 ya Sheria za Tanzania)
Sheria hii inaunda msingi wa kisheria wa uanzishwaji, uendeshaji na nidhamu ya JWTZ.
Majukumu ya Kisheria ya JWTZ:
3. Kazi Nyingine za JWTZ kwa Mujibu wa Sera ya Ulinzi ya Taifa
- Kutoa ulinzi wa kijeshi dhidi ya mashambulizi ya nje.
- Kutekeleza amri halali kutoka kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
- Kushiriki katika misaada ya kibinadamu au shughuli za usaidizi ndani ya nchi au nje kwa mujibu wa kibali cha serikali.
- Kuwakilisha nchi katika operesheni za kulinda amani za kimataifa (k.m. chini ya Umoja wa Mataifa au Umoja wa Afrika).
- Kushiriki katika shughuli za ujenzi wa taifa kama vile ujenzi wa miundombinu (kwa mujibu wa maagizo ya serikali).
- Kutoa mafunzo ya kijeshi na kimaadili kwa askari wapya.
- Kupitia sera ya ulinzi na maelekezo ya serikali, JWTZ pia hujihusisha na:
- Kusaidia mamlaka za kiraia wakati wa majanga (kwa mfano mafuriko, tetemeko la ardhi, nk).
- Kutoa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa vijana wa Kitanzania ili kuimarisha uzalendo na ukakamavu.
- Kusaidia katika mapambano dhidi ya ugaidi au vitisho kwa usalama wa taifa.
- Kushiriki katika ulinzi wa mazingira na kupambana na biashara haramu ya rasilimali kama vile ujangili.
4. Utii kwa Serikali na Katiba
JWTZ hairuhusiwi kuingilia siasa, na hufanya kazi chini ya mamlaka ya kiraia iliyo madarakani kihalali. Hii ina maana:
Nimekupa Elimu
- Hairuhusiwi kupindua serikali.
- Hairuhusiwi kuchukua upande katika masuala ya kisiasa.
- Utii wake ni kwa Katiba, si kwa mtu binafsi.
Wabongo kwenye keyboard mna mbwembwe sana, mtu akiwasoma online anaweza kuhisi vijana wameivaKwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.
Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na kuwalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi.
Wamekamata, kuwaua, kuwaweka magerezani, kuwateka na kuwafira watu waliotekeleza uhuru wao wa kikatiba kutoa maoni kuhusu mwenendo wa nchi.
Wameyafunga makanisa na kuwazuia watu kutekeleza na kufaidi haki yao ya Kikatiba ya uhuru wa kuabudu.
Wamewakamata na kuzuia wasisafiri watu waliokuwa wanasafiri na kuwazuia kufaidi uhuru wao wa kikatiba wa kuenda popote wanapotaka
Sio hivyo tu saivi wanatoa rushwa waziwazi. Wananunua pikipiki na baiskeli na kuzigawa waziwazi kweupe kabisa kwa Wananchi ili waungwe mkono kwenye chaguzi. Rushwa za waI kinyume na Sheria za Nchi.
Pamoja na yote haya nyie wenye kiapo cha kwanza cha kuilinda Katiba mmekaa tu hamfanyi lolote.
Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?
Kwa nini hamchukui hatua?
Hapo kwenye kulinda ardhi na rasilimali za Taifa,PENGINE WATU HAMJUI KAZI ZA.JWTZ...
1. Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977
Ibara ya 147 (1) na (2):
(1) Kutakuwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa madhumuni ya kulinda uhuru, mipaka, ardhi, watu na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
(2) Jeshi hilo litaendesha shughuli zake kwa utii kwa Katiba, Serikali halali, na watu wa Jamhuri ya Muungano.
Kazi za JWTZ Kikatiba:
- Kulinda uhuru wa taifa
- Kulinda mipaka ya nchi
- Kulinda ardhi na rasilimali za taifa
- Kulinda watu wa Tanzania
- Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano
2. Kulingana na Sheria ya Ulinzi wa Taifa (The National Defence Act, 1966, Sura 192 ya Sheria za Tanzania)
Sheria hii inaunda msingi wa kisheria wa uanzishwaji, uendeshaji na nidhamu ya JWTZ.
Majukumu ya Kisheria ya JWTZ:
3. Kazi Nyingine za JWTZ kwa Mujibu wa Sera ya Ulinzi ya Taifa
- Kutoa ulinzi wa kijeshi dhidi ya mashambulizi ya nje.
- Kutekeleza amri halali kutoka kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
- Kushiriki katika misaada ya kibinadamu au shughuli za usaidizi ndani ya nchi au nje kwa mujibu wa kibali cha serikali.
- Kuwakilisha nchi katika operesheni za kulinda amani za kimataifa (k.m. chini ya Umoja wa Mataifa au Umoja wa Afrika).
- Kushiriki katika shughuli za ujenzi wa taifa kama vile ujenzi wa miundombinu (kwa mujibu wa maagizo ya serikali).
- Kutoa mafunzo ya kijeshi na kimaadili kwa askari wapya.
- Kupitia sera ya ulinzi na maelekezo ya serikali, JWTZ pia hujihusisha na:
- Kusaidia mamlaka za kiraia wakati wa majanga (kwa mfano mafuriko, tetemeko la ardhi, nk).
- Kutoa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa vijana wa Kitanzania ili kuimarisha uzalendo na ukakamavu.
- Kusaidia katika mapambano dhidi ya ugaidi au vitisho kwa usalama wa taifa.
- Kushiriki katika ulinzi wa mazingira na kupambana na biashara haramu ya rasilimali kama vile ujangili.
4. Utii kwa Serikali na Katiba
JWTZ hairuhusiwi kuingilia siasa, na hufanya kazi chini ya mamlaka ya kiraia iliyo madarakani kihalali. Hii ina maana:
Nimekupa Elimu
- Hairuhusiwi kupindua serikali.
- Hairuhusiwi kuchukua upande katika masuala ya kisiasa.
- Utii wake ni kwa Katiba, si kwa mtu binafsi.
Kulinda Katiba ni jukumu lao la Kikatiba sio siasaHahaha, mnataka kulihusisha geshi letu na siasa?
Tunawakumbusha majukumu yao. Wasishangae inafikq hatua saivi Kagame anawatukana waziwazi. Sababu zenyewe ndo hizi hawajui hadi majukumu yao ya msingi.Wabongo kwenye keyboard mna mbwembwe sana, mtu akiwasoma online anaweza kuhisi vijana wameiva
Tatizo ni raia wenyewe wa Tanganyika.. Watanganyika wangejitokeza katika maswala mbali mbali yasemwayo halafu uone kama hao JW hawata wa backup... Hawawezi anza wao. Lakini mtanganyika bingwa wa kuandika tu na kumuachia Mungu, Tutasaidikaje?
Unataka kunishauri nini 😆Hivi hatuwezi kupata mtu km Traole? Duh
waliambiwa wawe tayari.ndio maana warioba alilalamika sana kwamba rais wa nchi kuwaambia jw wawe tayari kwa lolote kwenye uchaguzi ni intimidation kwenye uchaguzi.Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.
Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wamelipwa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi.
Wamekamata, kuwaua, kuwaweka magerezani, kuwateka na kuwafira watu waliotekeleza uhuru wao wa kikatiba kutoa maoni kuhusu mwenendo wa nchi.
Wameyafunga makanisa na kuwazuia watu kutekeleza na kufaidi haki yao ya Kikatiba ya uhuru wa kuabudu.
Wamewakamata na kuzuia wasisafiri watu waliokuwa wanasafiri na kuwazuia kufaidi uhuru wao wa kikatiba wa kuenda popote wanapotaka
Sio hivyo tu saivi wanatoa rushwa waziwazi. Wananunua pikipiki na baiskeli na kuzigawa waziwazi kweupe kabisa kwa Wananchi ili waungwe mkono kwenye chaguzi. Rushwa za wazi kinyume na Sheria za Nchi.
Pamoja na yote haya nyie wenye kiapo cha kwanza cha kuilinda Katiba mmekaa tu hamfanyi lolote.
Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?
Kwa nini hamchukui hatua?
Kwanza wakimuamlia huyo mama atawafanya nini ukizingatia anavyoivunja Katiba yeye na kikundi chake cha wahuni?waliambiwa wawe tayari.ndio maana warioba alilalamika sana kwamba rais wa nchi kuwaambia jw wawe tayari kwa lolote kwenye uchaguzi ni intimidation kwenye uchaguzi.
Kiapo hakiruhusu ..Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.