JWTZ, nyie ndo walinzi wa Katiba, tuambieni mnasimama wapi?

JWTZ, nyie ndo walinzi wa Katiba, tuambieni mnasimama wapi?

Walifukuzwa na wakaenda Mahakamani kutafuta haki yao. Je, mahakama ilitoa uamzi hupi? Je,CHADEMA iliendelea kwenda mahakamani? Mwisho hao wote wamemaliza ubunge wao wakiwa wanachama wa CHADEMA ndiyo maana ata ruzuku CHADEMA iliendelea kuipokea. KARIBU KAMA UNA SWALI JINGINE.
Nipe maamuzi ya Mahakama yaliyosema wale ni wabunge wa Chadema.
 
Duuh sisi CHADEMA tulishitaki nao wakaenda appeal sasa unataka kusema nini?
Nipe maamuzi ya Mahakama yanayosema hao ni wabunge wa Chadema.

Msimamo wa Chadema ni kuwafukuza uanachama. Katiba inasema huwezi kuwa mbunge hadi uwe mwanachama wa chama cha siasa.

Sasa wewe unayetetea ubunge wao nipe Maamuzi ya Mahakama yanayosema hao bado ni wanachama wa Chadema.
 
Humufulei Cuba polepole
Alisema sifa kuu ya kwanza lazma uwe mwana CCM kwenye majeshi
 
Afadhari umejaribu kutusemea.Niliwasikia wakilalamika tu eti "kuna wageni wengi wameshika nyadhifa muhimu serikalini" sasa sisi wananchi wa kawaida tufanye nini?
 
Nipe maamuzi ya Mahakama yanayosema hao ni wabunge wa Chadema.

Msimamo wa Chadema ni kuwafukuza uanachama. Katiba inasema huwezi kuwa mbunge hadi uwe mwanachama wa chama cha siasa.

Sasa wewe unayetetea ubunge wao nipe Maamuzi ya Mahakama yanayosema hao bado ni wanachama wa Chadema.
Tuliwafukuza uanachama wakaenda mahakani, walipoenda mahakamani CHADEMA tukashindwa kwenda mahakamani basi wakabaki kua wabunge halali
 
Tuliwafukuza uanachama wakaenda mahakani, walipoenda mahakamani CHADEMA tukashindwa kwenda mahakamani basi wakabaki kua wabunge halali
Nikikuita wewe ni mpumbavu nitakuwa nimekosea?
 
Nikikuita wewe ni mpumbavu nitakuwa nimekosea?
Bila kuniita hivyo ungepoteza nafasi yako ya ukamanda kumbuka. SIFA MOJA CHADEMA mlionayo ni matusi... Ndiyo maana kwenda Ikulu mtaishia kwenda kula sambusa na juisi ya ukwaju basi.
 
JWTZ ya nchi gani unayoizungumzia? Kama ya tanzania basi usipotezee muda wako maana na wenyewe walishakula mlenda mlenda. Imekuwa JWTZ ya CCM badala ya Wananchi. Kazi wanayoweza ni kutupiga vibao kwenye bar na clabs wakitunyang'anya mademu wenye viruzi vya HiV. Kule kwa Kagame wanakuwa uji uji kabisa hadi wanatiwa vidole makalioni.
 
Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.

Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi.

Wamekamata, kuwaua, kuwaweka magerezani, kuwateka na kuwafira watu waliotekeleza uhuru wao wa kikatiba kutoa maoni kuhusu mwenendo wa nchi.

Wameyafunga makanisa na kuwazuia watu kutekeleza na kufaidi haki yao ya Kikatiba ya uhuru wa kuabudu.

Wamewakamata na kuzuia wasisafiri watu waliokuwa wanasafiri na kuwazuia kufaidi uhuru wao wa kikatiba wa kuenda popote wanapotaka

Sio hivyo tu saivi wanatoa rushwa waziwazi. Wananunua pikipiki na baiskeli na kuzigawa waziwazi kweupe kabisa kwa Wananchi ili waungwe mkono kwenye chaguzi. Rushwa za wazi kinyume na Sheria za Nchi.

Pamoja na yote haya nyie wenye kiapo cha kwanza cha kuilinda Katiba mmekaa tu hamfanyi lolote.

Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?

Kwa nini hamchukui hatua?
Ni Bora tu mkatafuta kazi za kufanya watanzania sio wajinga kihivyo eti wavuruge amani ya nchi Yao Ili Lisu na wauni wenzake akina Lema wakabidhiwe nchi

Watanzania walisha kuungeni sana mkono mwisho wa siku wameona wote ndio wale wale tu wameamua kutulia

Kama nyinyi mmeamua kuingia katika siasa basi tumieni njia za kisiasa kuwashawishi wananchi na sio kuwajaza chuki dhidi ya nchi Yao

Kwani nani hajui kuwa viongozi wa CHADEMA familia zao zimechukua uraia nchi za Ulaya

Pambaneni na Hali zenu
 
Ni Bora tu mkatafuta kazi za kufanya watanzania sio wajinga kihivyo eti wavuruge amani ya nchi Yao Ili Lisu na wauni wenzake akina Lema wakabidhiwe nchi

Watanzania walisha kuungeni sana mkono mwisho wa siku wameona wote ndio wale wale tu wameamua kutulia

Kama nyinyi mmeamua kuingia katika siasa basi tumieni njia za kisiasa kuwashawishi wananchi na sio kuwajaza chuki dhidi ya nchi Yao

Kwani nani hajui kuwa viongozi wa CHADEMA familia zao zimechukua uraia nchi za Ulaya

Pambaneni na Hali zenu
Mbona kama umechanganyikiwa? Kuna uhusiano gani wa hoja zako na mada? Umekula hata lunch leo? Au makalla bado hajatoa posho?
 
PENGINE WATU HAMJUI KAZI ZA.JWTZ...

1. Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977

Ibara ya 147 (1) na (2):

(1) Kutakuwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa madhumuni ya kulinda uhuru, mipaka, ardhi, watu na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

(2) Jeshi hilo litaendesha shughuli zake kwa utii kwa Katiba, Serikali halali, na watu wa Jamhuri ya Muungano.

Kazi za JWTZ Kikatiba:

  • Kulinda uhuru wa taifa
  • Kulinda mipaka ya nchi
  • Kulinda ardhi na rasilimali za taifa
  • Kulinda watu wa Tanzania
  • Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano

2. Kulingana na Sheria ya Ulinzi wa Taifa (The National Defence Act, 1966, Sura 192 ya Sheria za Tanzania)

Sheria hii inaunda msingi wa kisheria wa uanzishwaji, uendeshaji na nidhamu ya JWTZ.

Majukumu ya Kisheria ya JWTZ:

  • Kutoa ulinzi wa kijeshi dhidi ya mashambulizi ya nje.
  • Kutekeleza amri halali kutoka kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
  • Kushiriki katika misaada ya kibinadamu au shughuli za usaidizi ndani ya nchi au nje kwa mujibu wa kibali cha serikali.
  • Kuwakilisha nchi katika operesheni za kulinda amani za kimataifa (k.m. chini ya Umoja wa Mataifa au Umoja wa Afrika).
  • Kushiriki katika shughuli za ujenzi wa taifa kama vile ujenzi wa miundombinu (kwa mujibu wa maagizo ya serikali).
  • Kutoa mafunzo ya kijeshi na kimaadili kwa askari wapya.
3. Kazi Nyingine za JWTZ kwa Mujibu wa Sera ya Ulinzi ya Taifa

  • Kupitia sera ya ulinzi na maelekezo ya serikali, JWTZ pia hujihusisha na:
  • Kusaidia mamlaka za kiraia wakati wa majanga (kwa mfano mafuriko, tetemeko la ardhi, nk).
  • Kutoa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa vijana wa Kitanzania ili kuimarisha uzalendo na ukakamavu.
  • Kusaidia katika mapambano dhidi ya ugaidi au vitisho kwa usalama wa taifa.
  • Kushiriki katika ulinzi wa mazingira na kupambana na biashara haramu ya rasilimali kama vile ujangili.

4. Utii kwa Serikali na Katiba

JWTZ hairuhusiwi kuingilia siasa, na hufanya kazi chini ya mamlaka ya kiraia iliyo madarakani kihalali. Hii ina maana:

  • Hairuhusiwi kupindua serikali.
  • Hairuhusiwi kuchukua upande katika masuala ya kisiasa.
  • Utii wake ni kwa Katiba, si kwa mtu binafsi.
Nimekupa Elimu
  • Hiyo ibara ya katiba uliyonukuu,ya 147 haisemi hayo uliyosema ibara hiyo imeainisha mambo yafuatayo
  • mosi Imepiga marufuku Kwa watu kuanzisha vikundi vya kijeshi/majeshi
-Pili, hiyo ibara imepiga marufuku Kwa Mwanajeshi yoyote kujiunga na Vyama vya siasa/Chama Cha siasa
-Tatu, imetafsiri maana ya Mwanajeshi kumaanisha ni ni Jeshi la Ulinzi,Jeshi la kujenga taifa, police, magereza
-
Land surveyor.
 
Back
Top Bottom