mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Kwa hiyo ndo mana Kagame kawaambia wakijaribu tena kwenda Goma watajuta?unajisumbua sana, Hyo ni Taasisi ya CCM kama ilivyo UWT
Sahihi kabisa jwtz huko hawahusiki na wasimamizi aliowasema mtoa uzi ni jeshi la polisi sio jwtz. Tuombe na huko pasiwe pameozaJWTZ hapa unawaonea na siyo kazi yao, wakiingia hapa itakuwa hapakaliki. Hapa shida ni hawa POLISI na Takukuru na Mahakama zetu vile vile na Bunge. JWT hawa kwa sasa waache
Lioneni hili bwege, limechanganyikiwa! JWTZ wanalinda mipaka ya nchi we kibwengo km mmeshindwa siasa tafuteni kazi zingine msifikiri jeshi litawasaidiaKwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.
Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi.
Wamekamata, kuwaua, kuwaweka magerezani, kuwateka na kuwafira watu waliotekeleza uhuru wao wa kikatiba kutoa maoni kuhusu mwenendo wa nchi.
Wameyafunga makanisa na kuwazuia watu kutekeleza na kufaidi haki yao ya Kikatiba ya uhuru wa kuabudu.
Wamewakamata na kuzuia wasisafiri watu waliokuwa wanasafiri na kuwazuia kufaidi uhuru wao wa kikatiba wa kuenda popote wanapotaka
Sio hivyo tu saivi wanatoa rushwa waziwazi. Wananunua pikipiki na baiskeli na kuzigawa waziwazi kweupe kabisa kwa Wananchi ili waungwe mkono kwenye chaguzi. Rushwa za wazi kinyume na Sheria za Nchi.
Pamoja na yote haya nyie wenye kiapo cha kwanza cha kuilinda Katiba mmekaa tu hamfanyi lolote.
Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?
Kwa nini hamchukui hatua?
Muda Bado kidogoHivi hatuwezi kupata mtu km Traole? Duh
Nchi imeoza ndio maana inahitajika ccm itoke madarakani nchi isukwe upya.Ila siku ile Rais Samiah aliwadharau Sana. Mkuu wa majeshi anamwambia Kuna wakimbizi kwenye vyeo vya juu vya maamuzi, mama anamjibu wajiandae na uchaguzi. JWTZ na uchaguzi wapi na wapi. Ndio maana morali ilishuka wakabamizwa na M23.
Wapi kwenye Katiba wamesema Polisi watalinda Katiba?Sahihi kabisa jwtz huko hawahusiki na wasimamizi aliowasema mtoa uzi ni jeshi la polisi sio jwtz. Tuombe na huko pasiwe pameoza
Soma ibara ya 147 ya KatibaLioneni hili bwege, limechanganyikiwa! JWTZ wanalinda mipaka ya nchi we kibwengo km mmeshindwa siasa tafuteni kazi zingine msifikiri jeshi litawasaidia
😁😁 JWTZ jeshi zima linatakiwa livunjwe na kuundwa upya ...jeshi limefubaa hata kujenga makazi yao wanashindwa ...moja ya vyombo vya kipumbavu kabisa Tanzania ni jwtz wanalipwa,mishahara kwa kazi ya kula na 💩tu ...anaye bisha aje na hoja ...siyo hoja mfu za kishoga za BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU 🤫Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.
Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi.
Wamekamata, kuwaua, kuwaweka magerezani, kuwateka na kuwafira watu waliotekeleza uhuru wao wa kikatiba kutoa maoni kuhusu mwenendo wa nchi.
Wameyafunga makanisa na kuwazuia watu kutekeleza na kufaidi haki yao ya Kikatiba ya uhuru wa kuabudu.
Wamewakamata na kuzuia wasisafiri watu waliokuwa wanasafiri na kuwazuia kufaidi uhuru wao wa kikatiba wa kuenda popote wanapotaka
Sio hivyo tu saivi wanatoa rushwa waziwazi. Wananunua pikipiki na baiskeli na kuzigawa waziwazi kweupe kabisa kwa Wananchi ili waungwe mkono kwenye chaguzi. Rushwa za wazi kinyume na Sheria za Nchi.
Pamoja na yote haya nyie wenye kiapo cha kwanza cha kuilinda Katiba mmekaa tu hamfanyi lolote.
Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?
Kwa nini hamchukui hatua?
Ni wapi JWTZ kwenye katiba hiyo hiyo inayokataza kuchukua upande katika mambo ya kisiasa iliruhusiwa kupeleka Jeshi letu DRC nchi mshirika wa EAC na SADC? Nani aliruhusu kushiriki siasa chafu za DRC wakati Nyerere mwenyewe aliishatoa ufafanuzi wa mgogoro wa DRC? 😳 🤔PENGINE WATU HAMJUI KAZI ZA.JWTZ...
1. Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977
Ibara ya 147 (1) na (2):
(1) Kutakuwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa madhumuni ya kulinda uhuru, mipaka, ardhi, watu na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
(2) Jeshi hilo litaendesha shughuli zake kwa utii kwa Katiba, Serikali halali, na watu wa Jamhuri ya Muungano.
Kazi za JWTZ Kikatiba:
- Kulinda uhuru wa taifa
- Kulinda mipaka ya nchi
- Kulinda ardhi na rasilimali za taifa
- Kulinda watu wa Tanzania
- Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano
2. Kulingana na Sheria ya Ulinzi wa Taifa (The National Defence Act, 1966, Sura 192 ya Sheria za Tanzania)
Sheria hii inaunda msingi wa kisheria wa uanzishwaji, uendeshaji na nidhamu ya JWTZ.
Majukumu ya Kisheria ya JWTZ:
3. Kazi Nyingine za JWTZ kwa Mujibu wa Sera ya Ulinzi ya Taifa
- Kutoa ulinzi wa kijeshi dhidi ya mashambulizi ya nje.
- Kutekeleza amri halali kutoka kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
- Kushiriki katika misaada ya kibinadamu au shughuli za usaidizi ndani ya nchi au nje kwa mujibu wa kibali cha serikali.
- Kuwakilisha nchi katika operesheni za kulinda amani za kimataifa (k.m. chini ya Umoja wa Mataifa au Umoja wa Afrika).
- Kushiriki katika shughuli za ujenzi wa taifa kama vile ujenzi wa miundombinu (kwa mujibu wa maagizo ya serikali).
- Kutoa mafunzo ya kijeshi na kimaadili kwa askari wapya.
- Kupitia sera ya ulinzi na maelekezo ya serikali, JWTZ pia hujihusisha na:
- Kusaidia mamlaka za kiraia wakati wa majanga (kwa mfano mafuriko, tetemeko la ardhi, nk).
- Kutoa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa vijana wa Kitanzania ili kuimarisha uzalendo na ukakamavu.
- Kusaidia katika mapambano dhidi ya ugaidi au vitisho kwa usalama wa taifa.
- Kushiriki katika ulinzi wa mazingira na kupambana na biashara haramu ya rasilimali kama vile ujangili.
4. Utii kwa Serikali na Katiba
JWTZ hairuhusiwi kuingilia siasa, na hufanya kazi chini ya mamlaka ya kiraia iliyo madarakani kihalali. Hii ina maana:
Nimekupa Elimu
- Hairuhusiwi kupindua serikali.
- Hairuhusiwi kuchukua upande katika masuala ya kisiasa.
- Utii wake ni kwa Katiba, si kwa mtu binafsi.
Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.
Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi.
Wamekamata, kuwaua, kuwaweka magerezani, kuwateka na kuwafira watu waliotekeleza uhuru wao wa kikatiba kutoa maoni kuhusu mwenendo wa nchi.
Wameyafunga makanisa na kuwazuia watu kutekeleza na kufaidi haki yao ya Kikatiba ya uhuru wa kuabudu.
Wamewakamata na kuzuia wasisafiri watu waliokuwa wanasafiri na kuwazuia kufaidi uhuru wao wa kikatiba wa kuenda popote wanapotaka
Sio hivyo tu saivi wanatoa rushwa waziwazi. Wananunua pikipiki na baiskeli na kuzigawa waziwazi kweupe kabisa kwa Wananchi ili waungwe mkono kwenye chaguzi. Rushwa za wazi kinyume na Sheria za Nchi.
Pamoja na yote haya nyie wenye kiapo cha kwanza cha kuilinda Katiba mmekaa tu hamfanyi lolote.
Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?
Kwa nini hamchukui hatua?
Kwani JWTZ Wanaijua katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,sina uhakika kama Wanaijua,ninachokijua ni kwamba hata jeshini Pana mafisadi wakubwa sana.Nchi inahitaji kusafishwa.Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.
Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi.
Wamekamata, kuwaua, kuwaweka magerezani, kuwateka na kuwafira watu waliotekeleza uhuru wao wa kikatiba kutoa maoni kuhusu mwenendo wa nchi.
Wameyafunga makanisa na kuwazuia watu kutekeleza na kufaidi haki yao ya Kikatiba ya uhuru wa kuabudu.
Wamewakamata na kuzuia wasisafiri watu waliokuwa wanasafiri na kuwazuia kufaidi uhuru wao wa kikatiba wa kuenda popote wanapotaka
Sio hivyo tu saivi wanatoa rushwa waziwazi. Wananunua pikipiki na baiskeli na kuzigawa waziwazi kweupe kabisa kwa Wananchi ili waungwe mkono kwenye chaguzi. Rushwa za wazi kinyume na Sheria za Nchi.
Pamoja na yote haya nyie wenye kiapo cha kwanza cha kuilinda Katiba mmekaa tu hamfanyi lolote.
Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?
Kwa nini hamchukui hatua?
Pumbavu zako,nyie ndio misukule isio na tija katika taifa.Sijui uliwezaje kuwa mtanzania kilaza kama wewe.So Bora ungezaliwa msumbiji ukoJWTZ hapa unawaonea na siyo kazi yao, wakiingia hapa itakuwa hapakaliki. Hapa shida ni hawa POLISI na Takukuru na Mahakama zetu vile vile na Bunge. JWT hawa kwa sasa waache