JWTZ, nyie ndo walinzi wa Katiba, tuambieni mnasimama wapi?

mimi napenda jeshi likae pembeni, labda kama kuna unrest ambayo inawalazimu kufanya hivyo, though naamini wangekuwa wao ndio wanafanya, wangefanya kwa akili kuliko mapolisi, kwa sababu mapolisi wetu akili zao zipo chini sana ukilinganisha na jeshi. wao wanawaza ccm tu.hata wakuue ila wafurahishe ccm.hawapo pael kutenda haki.
Dogo hujui kitu ,siku ulijua utashangaa sana
 
Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.

Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi.

Wamekamata, kuwaua, kuwaweka magerezani, kuwateka na kuwafira watu waliotekeleza uhuru wao wa kikatiba kutoa maoni kuhusu mwenendo wa nchi.

Wameyafunga makanisa na kuwazuia watu kutekeleza na kufaidi haki yao ya Kikatiba ya uhuru wa kuabudu.

Wamewakamata na kuzuia wasisafiri watu waliokuwa wanasafiri na kuwazuia kufaidi uhuru wao wa kikatiba wa kuenda popote wanapotaka

Sio hivyo tu saivi wanatoa rushwa waziwazi. Wananunua pikipiki na baiskeli na kuzigawa waziwazi kweupe kabisa kwa Wananchi ili waungwe mkono kwenye chaguzi. Rushwa za wazi kinyume na Sheria za Nchi.

Pamoja na yote haya nyie wenye kiapo cha kwanza cha kuilinda Katiba mmekaa tu hamfanyi lolote.

Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?

Kwa nini hamchukui hatua?
Wanaposimama siku zote.
 
JWTZ siyo jeshi tena ni tawi la CCM. Ndiyo maana M23 huwashushia kipondo kila uchwao.

Kagame mwenye kataifa Kadogoo kama kata ya Kaloleni amewapiga biti wameogopa hata kumjibu.
🤣
 
Siku zote huwa wanasimama na CCM. Hakuna taasisi iliyo kunyume na CCM
 
H
sio siku hizi, toka uasisi wake 1964.
Hapana JW kulikuwa na watu wenye akili sana hadi 2014-2015. Baada ya hapo tunaona vituko tu

Nyerere mwenyewe alikimbiaga baada ya vijana wa JW kumkosa kosa mwaka 1981-82
 
Utii wake ni wakikatiba si mtu binafsi haya katiba ipi hiyo wanayoitii katiba inayobagazwa na kugeuzwa toilet paper kiufupi JWZT ni genge linalokula kodi zetu wanainchi kwa maslahi yao binafsi si wanaonchi

Mfano watu wanatekwa wanapotea chombo kilichopewa mamlaka ya kulinda raia na mali zake kinasema hakiwajui wanaoteka watu maana yake nini mipaka imevamiwa nchi siyo salama tena
 
Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.

Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi.

Wamekamata, kuwaua, kuwaweka magerezani, kuwateka na kuwafira watu waliotekeleza uhuru wao wa kikatiba kutoa maoni kuhusu mwenendo wa nchi.

Wameyafunga makanisa na kuwazuia watu kutekeleza na kufaidi haki yao ya Kikatiba ya uhuru wa kuabudu.

Wamewakamata na kuzuia wasisafiri watu waliokuwa wanasafiri na kuwazuia kufaidi uhuru wao wa kikatiba wa kuenda popote wanapotaka

Sio hivyo tu saivi wanatoa rushwa waziwazi. Wananunua pikipiki na baiskeli na kuzigawa waziwazi kweupe kabisa kwa Wananchi ili waungwe mkono kwenye chaguzi. Rushwa za wazi kinyume na Sheria za Nchi.

Pamoja na yote haya nyie wenye kiapo cha kwanza cha kuilinda Katiba mmekaa tu hamfanyi lolote.

Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?

Kwa nini hamchukui hatua?
Tatizo mnasema Katiba inavujwa ila kuonesha ilipovunjwa mnashindwa ,ndiyo maana tunaendelea kuilinda hiyo hiyo.
 
Kwa hiyo pamoja na kusoma uzi hujaona mahali Katiba inavunjwa?

Hujui Katiba inasema kuhusu uhuru wa kuabudu? Uhuru wa maoni?

Hujui Katiba inasema mbunge lazima uwe na Chama? Kina Mdee na Bulaya wamemaliza miaka 5 Bungeni wakiwa wabunge wa chama gani?

Acha kuwa taahira.
 
Ndugu matusi niya nini? Kusema hivyo akutoshi bila kutaja Ibara husika zitabaki kelele tu.
 
Screenshot_20250529_173750_All PDF Reader.jpg
Screenshot_20250504_141928_Chrome.jpg
 
JWTZ siyo jeshi tena ni tawi la CCM. Ndiyo maana M23 huwashushia kipondo kila uchwao.

Kagame mwenye kataifa Kadogoo kama kata ya Kaloleni amewapiga biti wameogopa hata kumjibu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 We ni hatari,hiyo imeenda
 
Back
Top Bottom