JWTZ, nyie ndo walinzi wa Katiba, tuambieni mnasimama wapi?

Kwanza wakimuamlia huyo mama atawafanya nini ukizingatia anavyoivunja Katiba yeye na kikundi chake cha wahuni?
ni jambo lisilowezekana kwenye historia ya Tanzania, na nisingependa litokee kwa sababu litaweka precedent ya kwamba liwe linatokea, na hakuna mkuu wa majeshi atapenda jambo hilo aanze yeye. kama mkristo, utawala huu nauona ni wa kishetani na umekuja kuvunja imani ya kikristo kwa kuzuia wakristo wasiabudu, na remedy yake sio kwenda kupigana, sio chochoge ila tutaongea tu pamoja na kupiga magoti kulalamika kwa Mungu kwamba tunaonewa na kuteswa na mtu asiye mkristo kwa sababu sisi ni wakristo, na Mungu atashuka kututetea.
 
Watu wanadhani jeshi lipo kisiasa...

 
Hakuna lisilowezekana chini ya jua. Ni mindset tu
 
Hakuna lisilowezekana chini ya jua. Ni mindset tu
mimi napenda jeshi likae pembeni, labda kama kuna unrest ambayo inawalazimu kufanya hivyo, though naamini wangekuwa wao ndio wanafanya, wangefanya kwa akili kuliko mapolisi, kwa sababu mapolisi wetu akili zao zipo chini sana ukilinganisha na jeshi. wao wanawaza ccm tu.hata wakuue ila wafurahishe ccm.hawapo pael kutenda haki.
 
JWTZ hapa unawaonea na siyo kazi yao, wakiingia hapa itakuwa hapakaliki. Hapa shida ni hawa POLISI na Takukuru na Mahakama zetu vile vile na Bunge. JWT hawa kwa sasa waache
Wanahusika,uongozi mbaya ni tishio kwa usalama wa nchi na rasilimali kwa ujumla
Ccm ni wahuni
 
Huyu ni mzanzibar maana matus kwao ni jadi
 
Hata hao wanaovunja katiba nao waliapa kulinda katiba kama hao hao jwtz. Usishangae kuona jwtz wako kimya, wanasemaga like a father like a son iko ivo neither ccm nor jwtz wote maziganyange. Kwani unadhani jeshi linaweza kumpinga amiri jeshi mkuu?

Ndugu yangu mkipata kiongozi mbovu ujue hilo ni janga la taifa usitegemee jwtz wanaweza kusaidia chochote ikiwa usalama wa taifa wenyewe wameshindwa.
 
wewe unaakili sana.
 
JWTZ siyo jeshi tena ni tawi la CCM. Ndiyo maana M23 huwashushia kipondo kila uchwao.

Kagame mwenye kataifa Kadogoo kama kata ya Kaloleni amewapiga biti wameogopa hata kumjibu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
unajisumbua sana, Hyo ni Taasisi ya CCM kama ilivyo UWT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ