JWTZ, nyie ndo walinzi wa Katiba, tuambieni mnasimama wapi?

unajisumbua sana, Hyo ni Taasisi ya CCM kama ilivyo UWT
Kwa hiyo ndo mana Kagame kawaambia wakijaribu tena kwenda Goma watajuta?

Kumbe siku hizi ni tawi tu la CCM kama UWT?
 
JWTZ hapa unawaonea na siyo kazi yao, wakiingia hapa itakuwa hapakaliki. Hapa shida ni hawa POLISI na Takukuru na Mahakama zetu vile vile na Bunge. JWT hawa kwa sasa waache
Sahihi kabisa jwtz huko hawahusiki na wasimamizi aliowasema mtoa uzi ni jeshi la polisi sio jwtz. Tuombe na huko pasiwe pameoza
 
Lioneni hili bwege, limechanganyikiwa! JWTZ wanalinda mipaka ya nchi we kibwengo km mmeshindwa siasa tafuteni kazi zingine msifikiri jeshi litawasaidia
 
Kiapooooooo ....................
Utiiii
Nidhamu
Na uhodari
 
Ila siku ile Rais Samiah aliwadharau Sana. Mkuu wa majeshi anamwambia Kuna wakimbizi kwenye vyeo vya juu vya maamuzi, mama anamjibu wajiandae na uchaguzi. JWTZ na uchaguzi wapi na wapi. Ndio maana morali ilishuka wakabamizwa na M23.
 
Nchi imeoza ndio maana inahitajika ccm itoke madarakani nchi isukwe upya.
 
Sahihi kabisa jwtz huko hawahusiki na wasimamizi aliowasema mtoa uzi ni jeshi la polisi sio jwtz. Tuombe na huko pasiwe pameoza
Wapi kwenye Katiba wamesema Polisi watalinda Katiba?
 
Wacha maseali ya kitoto. Nenda waulize KPDF maGenz yamewashinda, sisi tuko sawa
 
😁😁 JWTZ jeshi zima linatakiwa livunjwe na kuundwa upya ...jeshi limefubaa hata kujenga makazi yao wanashindwa ...moja ya vyombo vya kipumbavu kabisa Tanzania ni jwtz wanalipwa,mishahara kwa kazi ya kula na πŸ’©tu ...anaye bisha aje na hoja ...siyo hoja mfu za kishoga za BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU 🀫
 
Ni wapi JWTZ kwenye katiba hiyo hiyo inayokataza kuchukua upande katika mambo ya kisiasa iliruhusiwa kupeleka Jeshi letu DRC nchi mshirika wa EAC na SADC? Nani aliruhusu kushiriki siasa chafu za DRC wakati Nyerere mwenyewe aliishatoa ufafanuzi wa mgogoro wa DRC? 😳 πŸ€”
 
Tusiwalaumu jwtz nao ni binaadam wana familia zinawategemea,tatizo huu mfumo na ndio maana mabadiliko ya mfumo ni muhimu sana,no reform no election
 
Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?

Kwa nini hamchukui hatua?πŸ“ŒπŸ”¨
 
Kwani JWTZ Wanaijua katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,sina uhakika kama Wanaijua,ninachokijua ni kwamba hata jeshini Pana mafisadi wakubwa sana.Nchi inahitaji kusafishwa.
 
JWTZ hapa unawaonea na siyo kazi yao, wakiingia hapa itakuwa hapakaliki. Hapa shida ni hawa POLISI na Takukuru na Mahakama zetu vile vile na Bunge. JWT hawa kwa sasa waache
Pumbavu zako,nyie ndio misukule isio na tija katika taifa.Sijui uliwezaje kuwa mtanzania kilaza kama wewe.So Bora ungezaliwa msumbiji uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…