Methodist94
Member
- Aug 1, 2023
- 51
- 89
Dogo hujui kitu ,siku ulijua utashangaa sanamimi napenda jeshi likae pembeni, labda kama kuna unrest ambayo inawalazimu kufanya hivyo, though naamini wangekuwa wao ndio wanafanya, wangefanya kwa akili kuliko mapolisi, kwa sababu mapolisi wetu akili zao zipo chini sana ukilinganisha na jeshi. wao wanawaza ccm tu.hata wakuue ila wafurahishe ccm.hawapo pael kutenda haki.
Utachanganyikiwa mwaka huu. Na bado.Mtoa post hvo vi aftatu vya tone tone unavyopewa vinakupeleka pabaya..
Wanatuchelewesha sana kwa kweli.macaptain,maluteni na makanali wa JW fenyeni kitu mfano wa Captain Traole taifa lianze upya.
Tutamtafuta kibatalaSina mwanasheria
Nikihamia ufufuo Kwa Gwajima nitaongea maana kule Wana kibatala🤣🤣
Hapa Sijui niliandika nini, anyway Nili overthink 😆😆Kule Wana freedom of speech lakini ole wao maana freedom yao ni ya muda mfupi sana wanakwenda kuanguka
Wanaposimama siku zote.Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.
Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi.
Wamekamata, kuwaua, kuwaweka magerezani, kuwateka na kuwafira watu waliotekeleza uhuru wao wa kikatiba kutoa maoni kuhusu mwenendo wa nchi.
Wameyafunga makanisa na kuwazuia watu kutekeleza na kufaidi haki yao ya Kikatiba ya uhuru wa kuabudu.
Wamewakamata na kuzuia wasisafiri watu waliokuwa wanasafiri na kuwazuia kufaidi uhuru wao wa kikatiba wa kuenda popote wanapotaka
Sio hivyo tu saivi wanatoa rushwa waziwazi. Wananunua pikipiki na baiskeli na kuzigawa waziwazi kweupe kabisa kwa Wananchi ili waungwe mkono kwenye chaguzi. Rushwa za wazi kinyume na Sheria za Nchi.
Pamoja na yote haya nyie wenye kiapo cha kwanza cha kuilinda Katiba mmekaa tu hamfanyi lolote.
Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?
Kwa nini hamchukui hatua?
🤣JWTZ siyo jeshi tena ni tawi la CCM. Ndiyo maana M23 huwashushia kipondo kila uchwao.
Kagame mwenye kataifa Kadogoo kama kata ya Kaloleni amewapiga biti wameogopa hata kumjibu.
Siku zote huwa wanasimama na CCM. Hakuna taasisi iliyo kunyume na CCMKwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.
Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi.
Wamekamata, kuwaua, kuwaweka magerezani, kuwateka na kuwafira watu waliotekeleza uhuru wao wa kikatiba kutoa maoni kuhusu mwenendo wa nchi.
Wameyafunga makanisa na kuwazuia watu kutekeleza na kufaidi haki yao ya Kikatiba ya uhuru wa kuabudu.
Wamewakamata na kuzuia wasisafiri watu waliokuwa wanasafiri na kuwazuia kufaidi uhuru wao wa kikatiba wa kuenda popote wanapotaka
Sio hivyo tu saivi wanatoa rushwa waziwazi. Wananunua pikipiki na baiskeli na kuzigawa waziwazi kweupe kabisa kwa Wananchi ili waungwe mkono kwenye chaguzi. Rushwa za wazi kinyume na Sheria za Nchi.
Pamoja na yote haya nyie wenye kiapo cha kwanza cha kuilinda Katiba mmekaa tu hamfanyi lolote.
Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?
Kwa nini hamchukui hatua?
Ku inforce law, jwtz imebase zaidi kwenye kulinda mipakaWapi kwenye Katiba wamesema Polisi watalinda Katiba?
Kwa hiyo ndo mana Kagame kawaambia wakijaribu tena kwenda Goma watajuta?
Kumbe siku hizi ni tawi tu la CCM kama UWT?
Hapana JW kulikuwa na watu wenye akili sana hadi 2014-2015. Baada ya hapo tunaona vituko tusio siku hizi, toka uasisi wake 1964.
Sasa hapa mtasema kuna jeshi la kusimamia na kulindana katiba kweli?Siku zote huwa wanasimama na CCM. Hakuna taasisi iliyo kunyume na CCM
View attachment 3405308
Tatizo mnasema Katiba inavujwa ila kuonesha ilipovunjwa mnashindwa ,ndiyo maana tunaendelea kuilinda hiyo hiyo.Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.
Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi.
Wamekamata, kuwaua, kuwaweka magerezani, kuwateka na kuwafira watu waliotekeleza uhuru wao wa kikatiba kutoa maoni kuhusu mwenendo wa nchi.
Wameyafunga makanisa na kuwazuia watu kutekeleza na kufaidi haki yao ya Kikatiba ya uhuru wa kuabudu.
Wamewakamata na kuzuia wasisafiri watu waliokuwa wanasafiri na kuwazuia kufaidi uhuru wao wa kikatiba wa kuenda popote wanapotaka
Sio hivyo tu saivi wanatoa rushwa waziwazi. Wananunua pikipiki na baiskeli na kuzigawa waziwazi kweupe kabisa kwa Wananchi ili waungwe mkono kwenye chaguzi. Rushwa za wazi kinyume na Sheria za Nchi.
Pamoja na yote haya nyie wenye kiapo cha kwanza cha kuilinda Katiba mmekaa tu hamfanyi lolote.
Sasaivi wameanza hadi wana CCM kulalamika kuwa Katiba inavunjwa. Sasa tuelezeni, inakuwaje Katiba mnayoilinda inavunjwa waziwazi na nyie mkiwepo?
Kwa nini hamchukui hatua?
Kwa hiyo pamoja na kusoma uzi hujaona mahali Katiba inavunjwa?Tatizo mnasema Katiba inavujwa ila kuonesha ilipovunjwa mnashindwa ,ndiyo maana tunaendelea kuilinda hiyo hiyo.
Ndugu matusi niya nini? Kusema hivyo akutoshi bila kutaja Ibara husika zitabaki kelele tu.Kwa hiyo pamoja na kusoma uzi hujaona mahali Katiba inavunjwa?
Hujui Katiba inasema kuhusu uhuru wa kuabudu? Uhuru wa maoni?
Hujui Katiba inasema mbunge lazima uwe na Chama? Kina Mdee na Bulaya wamemaliza miaka 5 Bungeni wakiwa wabunge wa chama gani?
Acha kuwa taahira.
Anaongea kwa kujiamini kabisa,kweli tuna safari ndefuSiku zote huwa wanasimama na CCM. Hakuna taasisi iliyo kunyume na CCM
View attachment 3405308
Naona unarudia kuiangalia na kui comment mara mbilinbili kwa jinsi vile hauamini unachokiona na kukisikiaAnaongea kwa kujiamini kabisa,kweli tuna safari ndefu
Ndugu matusi niya nini? Kusema hivyo akutoshi bila kutaja Ibara husika zitabaki kelele tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 We ni hatari,hiyo imeendaJWTZ siyo jeshi tena ni tawi la CCM. Ndiyo maana M23 huwashushia kipondo kila uchwao.