JWTZ, nyie ndo walinzi wa Katiba, tuambieni mnasimama wapi?

Naona unarudia kuiangalia na kui comment mara mbilinbili kwa jinsi vile hauamini unachokiona na kukisikia
Kabisa mkuu ni kitu cha kushangaza sana, kama jeshi nalo limekuwa upande wa chama ni hatari sana
 
Nipe maamuzi ya Mahakama yaliyosema wale ni wabunge wa Chadema.
 
Duuh sisi CHADEMA tulishitaki nao wakaenda appeal sasa unataka kusema nini?
Nipe maamuzi ya Mahakama yanayosema hao ni wabunge wa Chadema.

Msimamo wa Chadema ni kuwafukuza uanachama. Katiba inasema huwezi kuwa mbunge hadi uwe mwanachama wa chama cha siasa.

Sasa wewe unayetetea ubunge wao nipe Maamuzi ya Mahakama yanayosema hao bado ni wanachama wa Chadema.
 
Humufulei Cuba polepole
Alisema sifa kuu ya kwanza lazma uwe mwana CCM kwenye majeshi
 
Afadhari umejaribu kutusemea.Niliwasikia wakilalamika tu eti "kuna wageni wengi wameshika nyadhifa muhimu serikalini" sasa sisi wananchi wa kawaida tufanye nini?
 
Tuliwafukuza uanachama wakaenda mahakani, walipoenda mahakamani CHADEMA tukashindwa kwenda mahakamani basi wakabaki kua wabunge halali
 
Tuliwafukuza uanachama wakaenda mahakani, walipoenda mahakamani CHADEMA tukashindwa kwenda mahakamani basi wakabaki kua wabunge halali
Nikikuita wewe ni mpumbavu nitakuwa nimekosea?
 
Nikikuita wewe ni mpumbavu nitakuwa nimekosea?
Bila kuniita hivyo ungepoteza nafasi yako ya ukamanda kumbuka. SIFA MOJA CHADEMA mlionayo ni matusi... Ndiyo maana kwenda Ikulu mtaishia kwenda kula sambusa na juisi ya ukwaju basi.
 
JWTZ ya nchi gani unayoizungumzia? Kama ya tanzania basi usipotezee muda wako maana na wenyewe walishakula mlenda mlenda. Imekuwa JWTZ ya CCM badala ya Wananchi. Kazi wanayoweza ni kutupiga vibao kwenye bar na clabs wakitunyang'anya mademu wenye viruzi vya HiV. Kule kwa Kagame wanakuwa uji uji kabisa hadi wanatiwa vidole makalioni.
 
Ni Bora tu mkatafuta kazi za kufanya watanzania sio wajinga kihivyo eti wavuruge amani ya nchi Yao Ili Lisu na wauni wenzake akina Lema wakabidhiwe nchi

Watanzania walisha kuungeni sana mkono mwisho wa siku wameona wote ndio wale wale tu wameamua kutulia

Kama nyinyi mmeamua kuingia katika siasa basi tumieni njia za kisiasa kuwashawishi wananchi na sio kuwajaza chuki dhidi ya nchi Yao

Kwani nani hajui kuwa viongozi wa CHADEMA familia zao zimechukua uraia nchi za Ulaya

Pambaneni na Hali zenu
 
Mbona kama umechanganyikiwa? Kuna uhusiano gani wa hoja zako na mada? Umekula hata lunch leo? Au makalla bado hajatoa posho?
 
  • Hiyo ibara ya katiba uliyonukuu,ya 147 haisemi hayo uliyosema ibara hiyo imeainisha mambo yafuatayo
  • mosi Imepiga marufuku Kwa watu kuanzisha vikundi vya kijeshi/majeshi
-Pili, hiyo ibara imepiga marufuku Kwa Mwanajeshi yoyote kujiunga na Vyama vya siasa/Chama Cha siasa
-Tatu, imetafsiri maana ya Mwanajeshi kumaanisha ni ni Jeshi la Ulinzi,Jeshi la kujenga taifa, police, magereza
-
Land surveyor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…