Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama bunge wameongezewa itakuwa JeshiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema taarifa iliyosambazwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara ni taarifa ya uzushi na upotoshaji na tunamtafuta.
Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu JWTZ Luteni Kanali Gaudentius Gervas Ilonda amesema “Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023, JWTZ inaujulisha Umma kuwa taarifa hiyo ni ya uzushi na upotoshaji kwa Jamii hivyo Watanzania waipuuze kwani ina nia ovu”
“Ukweli ni kwamba hadi leo tarehe 19 Agosti 2023 kwa JWTZ haijafika tarehe ya kulipwa mshahara, aidha hakuna ongezeko lolote la mshahara au malipo yoyote kwa Wanajeshi wa ngazi yoyote wa JWTZ yaliyofanyika tarehe 18 Agosti 2023 kama ilivyotajwa na mtandao huo”
Kumbe wameongezwa ila kosa la huyo ndugu ni kwa sababu tu wanajeshi hawajalipwa tarehe 18/8/2023..!Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema taarifa iliyosambazwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara ni taarifa ya uzushi na upotoshaji na tunamtafuta.
Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu JWTZ Luteni Kanali Gaudentius Gervas Ilonda amesema “Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023, JWTZ inaujulisha Umma kuwa taarifa hiyo ni ya uzushi na upotoshaji kwa Jamii hivyo Watanzania waipuuze kwani ina nia ovu”
“Ukweli ni kwamba hadi leo tarehe 19 Agosti 2023 kwa JWTZ haijafika tarehe ya kulipwa mshahara, aidha hakuna ongezeko lolote la mshahara au malipo yoyote kwa Wanajeshi wa ngazi yoyote wa JWTZ yaliyofanyika tarehe 18 Agosti 2023 kama ilivyotajwa na mtandao huo”
Aibu sanaHilo nalo ni kosa la kumsaka mtu!
Kweli kabisa! Tena anaweza akawa ni Lissu huyu ndiye alieeneza uwongo. Akamatwe na ashughulikiwe mara Moja!Apakatwe mara moja huyo raia.
Dogo, unaonaje kesho ukaenda ofisini kwao ukawaeleza kuhusu hilo? Naamini watakushuru sana!Hii Habari hata haileweki, Inasikitisha Sana kuona Jeshi tunalo litegemea Linatoa Taarifa Kama Hii. Kuna Ubaya Kwenye Kuongezewa Mshahara? Mbona Ni Kama Wanajistukia? Like nini Kipo Nyuma kama Wao Wakiongezewa Mshahara huu Mwezi?
Taarifa imekanushwa Inatosha, Jeshi kusema Mnamtafuta ni kuonesha Udhaifu wa Hali ya Juu sanaa kama Hadi Sasa Hamjapata, Kama Jeshi linatumia muda mrefu hivyo kumpata mtu tuu aliye zusha Taarifa ambayo haina Mashiko kwenye Vitu Serious Je tutaweza kweli?
Kuna muda kukaa kimya ni Njia Nzuri
Usipende kutaka taja wanaume wa watu.Kweli kabisa! Tena anaweza akawa ni Lissu huyu ndiye alieeneza uwongo. Akamatwe na ashughulikiwe mara Moja!
Sawa kimada wa Lissu. Nimekusikia.Usipende kutaka taja wanaume wa watu.
Huna mume wako umtaje?
Wake zao wanakuchukulia mdanganhaji mashuhuri.
Acha hizo aisee))
Usipende ligi na wakubwa wako.Sawa kimada wa Lissu. Nimekusikia.
Wasipoongezwa mshahara ndo muda wao wa kujiongeza Sasa!Wanajeshi wana akili sana,si waseme tu wanataka nyongeza ya mshahara?
Kwa hivyo waalimu wakiongezewa mshahara Leo na ikatangazwa itazusha ugomvi na kada zingine?Nia ovu ya kuwagombanisha jeshi na kada nyingine za kiraia. Ionekane kwamba wanapendelewa
Waseme ukweli DP world kawaongezea posho.Taarifa inasema wakuu wa majeshi wameongezewa mshahara....so Hawa wanajeshi wa kawaida baadhi Yao wanaweza kuanzisha minong'ono ndani ya jeshi letu.