JWTZ: Tunamsaka aliyesema tumeongezewa Mshahara

JWTZ: Tunamsaka aliyesema tumeongezewa Mshahara

Hatari sana, na hizi pinduapindua zinazoendelea huko West Africa wasijali wataongezewa tu maana wao ndio wameshikilia nchi bana, serikali inajua wakicheza na hao kwenye masuala ya maslahi imekula kwao
 
Haya mambo ya kuandika habari za Geshi mitandaoni hayana afya kwa ustawi wa usalama wa nchi, zamani habari za Geshi zilibaki siri ya wenyewe tu
Linaandikwa la china itakuwa la bongo
 
Kuelewa huu hii hoja unahitaji kuwa na fikira pana kidogo, Jamaa wanaona hiyo itatengeneza fikira ya kwamba wanaongezewa mishahara ili wasipindue nchi.
Kwani ni uongo kuwa wanajeshi kuwa wanahongwa kwa pesa Ili wasipindue nchi.
 
Haijajulikana wanamtafuta kwa sababu gani...hivyo akipatikana sababu itajulikana ya kumtafuta....huwezi kuamka kutoka kwako tu huko ukaanza kujiandikia mambo ambayo huna uhakika nayo....wacha wampate halafu waongee naye vizuri
Sifa za kijinga, kwa hiyo wanajeshi wanaona sifa kusaka raia asiye na silaha. Na ukifuatilia vizuri utakuta ni ukweli. Kama ni uongo jazba za nini?
 
Haya mambo ya kuandika habari za Geshi mitandaoni hayana afya kwa ustawi wa usalama wa nchi, zamani habari za Geshi zilibaki siri ya wenyewe tu
Siri ni kwenye mbinu za kivita, sio mshahara.
 
Kwangu mimi nafikiri linatoa ''signal'' kwamba jeshi lipo na liko makini mpaka mambo ya mtandaoni linafuatilia.
Na lipo tayari kuwachukulia hatua [emoji576][emoji576][emoji613][emoji1986]
 
Kwa hiyo wakimpata itasaidia nini!
Wamekanusha inatosha...
Akili za hawa jamaa huwa ni kutumia maguvu tu.
Atapewea mazoezi magumu ili ajue kwa nini inawapasa kuwa na mshahara mwingi
 
JESHI gani Hilo hili nilijualo Awana uwezo wa kumpata huyo mtu waachie kelele waseme tu wanakumbusha mamlaka iwakumbuke nao kwenye ongezeko janja Yao tunaijua
 
Back
Top Bottom