JWTZ: Tunamsaka aliyesema tumeongezewa Mshahara

Serikali ijiongeze.
Tunataka mtuongezee mshahara😂
 
Kama bunge wameongezewa itakuwa Jeshi
 
Kumbe wameongezwa ila kosa la huyo ndugu ni kwa sababu tu wanajeshi hawajalipwa tarehe 18/8/2023..!
 
Waseme tu wanataka nao mgao wa DP World kwa njia ya nyongeza ya mshahara kama walivyopewa wabunge la sivyo watakuwa upande wa Wazalendo
 
Hii Habari hata haileweki, Inasikitisha Sana kuona Jeshi tunalo litegemea Linatoa Taarifa Kama Hii. Kuna Ubaya Kwenye Kuongezewa Mshahara? Mbona Ni Kama Wanajistukia? Like nini Kipo Nyuma kama Wao Wakiongezewa Mshahara huu Mwezi?

Taarifa imekanushwa Inatosha, Jeshi kusema Mnamtafuta ni kuonesha Udhaifu wa Hali ya Juu sanaa kama Hadi Sasa Hamjapata, Kama Jeshi linatumia muda mrefu hivyo kumpata mtu tuu aliye zusha Taarifa ambayo haina Mashiko kwenye Vitu Serious Je tutaweza kweli?

Kuna muda kukaa kimya ni Njia Nzuri
 
Dogo, unaonaje kesho ukaenda ofisini kwao ukawaeleza kuhusu hilo? Naamini watakushuru sana!
 
NA nyie mnaocoment. Baadae mseme wanajeshi wakorofi. Endeleeni sasa .. tutamsaka mmoja baada ya mwingine
 
Watanzania waambieni jeshi lenyu likawapakate magaidi kwenye mpaka wenyu na Msumbiji,raia hawana hatia.
 
Kweli kabisa! Tena anaweza akawa ni Lissu huyu ndiye alieeneza uwongo. Akamatwe na ashughulikiwe mara Moja!
Usipende kutaka taja wanaume wa watu.
Huna mume wako umtaje?
Wake zao wanakuchukulia mdanganhaji mashuhuri.
Acha hizo aisee))
 
Nia ovu ya kuwagombanisha jeshi na kada nyingine za kiraia. Ionekane kwamba wanapendelewa
Kwa hivyo waalimu wakiongezewa mshahara Leo na ikatangazwa itazusha ugomvi na kada zingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…