figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
JWTZ wasitupangie wananchi cha kufanya kihusu Siasa. Wakitaka kutupangia wanajua cha kufanya kabla ya kutupangia, vinginevyo ni kutuonea na kutupa sonono.
Majukumu ya Msingi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni;
Majukumu ya Msingi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni;
- Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
- Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.
- Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
- Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
- Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.