technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Mabaka wamemkataaKuna nini chief nianze kusherehekea mimi
Wanamtaka manyele au aliye ukonga
Ikulu hapakaliki toka ijumaa.
Mabaka wamemkataaKuna nini chief nianze kusherehekea mimi
Majukumu ya Msingi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni;JWTZ wasitupangie wananchi cha kufanya kihusu Siasa. Wakitaka kutupangia wanajua cha kufanya kabla ya kutupangia, vinginevyo ni kutuonea na kutupa sonono.
Majukumu ya Msingi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni;
Hayo tu
- Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
- Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.
- Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
- Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
- Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
Lini wamewapangia cha kufanya?? Mkuu acha bangi.JWTZ wasitupangie wananchi cha kufanya kihusu Siasa. Wakitaka kutupangia wanajua cha kufanya kabla ya kutupangia, vinginevyo ni kutuonea na kutupa sonono.
Majukumu ya Msingi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni;
Hayo tu
- Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
- Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.
- Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
- Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
- Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
Mnaota ndoto za mchana mkuu??Ni kijitabu alisikika mjinga mmoja kutoka kizimkazi
JWTZ kazeni hapo hapo anakalibia kuvua chupi KUGAWA uroda😀😀😀
"Kijitabu"Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kuna wahuni pale walimjaza kwa manufaa yao.Jau tupu samia angesimamia msimamo wake kuwa. Hatogombea tena sijui kimemkuta nini asee
Kama kweli nchi ingekuwa vzr hana ata mradi alio anzisha yeye yote kaikuta yeye ni kuemdeleza tu na ilikuwa ina mshindsKuna wahuni pale walimjaza kwa manufaa yao.
Kuwa anaweza na watasiamia kila kitu. Asiachie hadi 2030.
JWTZ wasitupangie wananchi cha kufanya kihusu Siasa. Wakitaka kutupangia wanajua cha kufanya kabla ya kutupangia, vinginevyo ni kutuonea na kutupa sonono.
Majukumu ya Msingi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni;
Hayo tu
- Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
- Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.
- Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
- Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
- Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
Hv ni kweli huyu mwanamke anaelekea kulipolute na jeshi la wananchi,ila siamini kama ni kweli hilo lipo nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hivyo. Kwamba jeshi letu Lina utofauti sana na majeshi ya wanaume wa nchi nyingine kwamba lenyewe ni jeshi lililojaa wanawake watupu kiasi wakafikia kurubuniwa na mwanamke siwezi kuamini hivyo MUNGU anipe uzima ili nishuhudie yajayo..JWTZ wasitupangie wananchi cha kufanya kihusu Siasa. Wakitaka kutupangia wanajua cha kufanya kabla ya kutupangia, vinginevyo ni kutuonea na kutupa sonono.