Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
General Jacob ni mzalendo wa vitendo.
Vipi kuhusu Mugabe, ilikuaje kule Zimbabwe?Hakuna wa kumgusa mama,mama atashugurika na kenge yeyote atakae gusa maslahi ya taifa hata huyo mkuu wa majeshi akiamua kumtengua kesho tu mnamkuta hana sauti aliyeko juu ni mmoja tu hakuna cha jeshi wala nani
Hawana impact. Mleta mada ni porojoKwani kuna nini kinaendelea huko ndani ya chungu?
Mbona sielewe?
Lini na kivipi hao jamaa waliingilia siasa zetu?
Mimi ninajua hao jamaa wa mabakabaka ni chawa wa kijani.
Utajua hujui.Wewe haya umeyatoa wapi?
Wametupangiaje mkuu? Mi sijaipata hiyo.JWTZ wasitupangie wananchi cha kufanya kihusu Siasa. Wakitaka kutupangia wanajua cha kufanya kabla ya kutupangia, vinginevyo ni kutuonea na kutupa sonono.
Majukumu ya Msingi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni;
Hayo tu
- Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
- Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.
- Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
- Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
- Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
Ujinga tu. Mlifikiri eti ujinga wenu wa No Reform, No Election utaitetemeaha CCM na Serikali yake eti? Sasa mmeanza, ujinga wenu mwingine. Hata Saanane alianza hivi hivi na mnajua yuko wapi.Utajua hujui.
Naona kuna jambo unajitahidi kulisisitiza kiuoga uoga. Sema tuu hwezi nyakuliwa humu.Ila mi naona Kwa upepo wa Dunia unavoelekea JWTZ wapo sahihi Kabisa. Kuna list nimeona huko mbali ikionyesha namna WW3 ikitokea nchi chache za Africa ambazo zipo ktk hatari ya kuwa ktk risk, Tanzania ipo listed hata kama sio uhakika. Tukubaliane tunahitaji serikali imara sana kipindi hiki dunia inapita ktk sintofahamu. JWTZ Mungu awabariki sana, kama ni kweli hakika nyinyi niwazalendo halisi wa nchi hii.
Sio Tanzania hii.Sio tetesi Tena ni rasmi kunafukuta nyuzi kuwahusu hai jamaa zinazidi!!
Huu ndio ukweliFrom what i know, hii taarifa itakuwa haina uhalisia wowote ule. Labda kama watu hamfahamu ni kwa namna gani kwa miaka mingi sasa chama kinafungamana vilivyo na vyombo vyote vya dola.
Kwenye kulinda Katiba wamefeli big time, Samia anaikanyaga kabisa Katiba wao kimyaaa, hawa wako kuilinda CCM iendelee kuifisadi TanganyikaJWTZ wasitupangie wananchi cha kufanya kihusu Siasa. Wakitaka kutupangia wanajua cha kufanya kabla ya kutupangia, vinginevyo ni kutuonea na kutupa sonono.
Majukumu ya Msingi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni;
Hayo tu
- Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
- Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.
- Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
- Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
- Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
Kuna nini chief nianze kusherehekea mimiNi kijitabu alisikika mjinga mmoja kutoka kizimkazi
JWTZ kazeni hapo hapo anakalibia kuvua chupi KUGAWA uroda😀😀😀
Kuna nini chief nianze kusherehekea mimiNi kijitabu alisikika mjinga mmoja kutoka kizimkazi
JWTZ kazeni hapo hapo anakalibia kuvua chupi KUGAWA uroda😀😀😀
Na kutuletea taarabuBora Jeshi lichukue nchi kuliko kwenda huyu Samia, mtu hajui chochote, kazi kulegeza macho tu, bure kabisa.
Mkishindwa siasa nendeni mkalime siyo kumsingizia yyte anayekuja jJWTZ wasitupangie wananchi cha kufanya kihusu Siasa. Wakitaka kutupangia wanajua cha kufanya kabla ya kutupangia, vinginevyo ni kutuonea na kutupa sonono.