JWTZ wasiingilie Siasa zetu. Ni kweli, Nchi inawayawaya kama machela

Ila mi naona Kwa upepo wa Dunia unavoelekea JWTZ wapo sahihi Kabisa. Kuna list nimeona huko mbali ikionyesha namna WW3 ikitokea nchi chache za Africa ambazo zipo ktk hatari ya kuwa ktk risk, Tanzania ipo listed hata kama sio uhakika. Tukubaliane tunahitaji serikali imara sana kipindi hiki dunia inapita ktk sintofahamu. JWTZ Mungu awabariki sana, kama ni kweli hakika nyinyi niwazalendo halisi wa nchi hii.
 
Wewe haya umeyatoa wapi?
 
Sema kwa upeo wako tu

Nadhani hujui kabisa kuhusu jeshi la wananchi, (JWT), kwa taarifa yako ni wabobezi wa mambo mengi, (taaluma mbali mbali), hata siasa

Wanajua kuhusu siasa kuliko hao wanasiasa wako unao watambua

Hii ndiyo dhana yangu ya unyumbu wa kisiasa
 
Tena katika vitu JWTZ wamekosea na kukalia kimya uhuni uliofanya ccm wafanye watakavyo. Sasa ni wakati wa kuleta mabadiliko ya kweli.
 
FUNIKA BASI UPUMBAVU WAKO USILAZIMISHE WATU WAKUONE "K"
 
FUNIKA BASI UPUMBAVU WAKO USILAZIMISHE WATU WAKUONE "K"

haya elezea huo upumbavu wangu, kwamba jeshi linalinda katiba kivipi? wakati siku zote kitu cha kwanza wanachofanya wanaolitumia jeshi kupindua nchi kusimamisha katiba iliyopo sasa iweje wasimamishe katiba kama kazi yao ni kuilinda ?
 
Hakuna uhalisia wowote kwenye hii taarifa. Jeshi la Wananchi limesheheni MAKADA wa CCM kila pahala, halina ubavu wa kufanya chochote ambacho ni kinyume na matakwa ya "CHAMA CHAO" kwasasa.
 
Hakuna uhalisia wowote kwenye hii taarifa. Jeshi la Wananchi limesheheni MAKADA wa CCM kila pahala, halina ubavu wa kufanya chochote ambacho ni kinyume na matakwa ya "CHAMA CHAO" kwasasa.
Sio wanajeshi wote ni makada na kama wakiamua hawashindwi.
 
Wao wanalinda mipaka na katiba

Usisikilize wahuni wa humu ndani
 
Wahusika wakijisahau bora liwe
Tumechoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…