JWTZ wasiingilie Siasa zetu. Ni kweli, Nchi inawayawaya kama machela

Hakuna wa kumgusa mama,mama atashugurika na kenge yeyote atakae gusa maslahi ya taifa hata huyo mkuu wa majeshi akiamua kumtengua kesho tu mnamkuta hana sauti aliyeko juu ni mmoja tu hakuna cha jeshi wala nani
Vipi kuhusu Mugabe, ilikuaje kule Zimbabwe?
 
Kwani kuna nini kinaendelea huko ndani ya chungu?
Mbona sielewe?
Lini na kivipi hao jamaa waliingilia siasa zetu?

Mimi ninajua hao jamaa wa mabakabaka ni chawa wa kijani.
Hawana impact. Mleta mada ni porojo
 
Wametupangiaje mkuu? Mi sijaipata hiyo.
 
Naona kuna jambo unajitahidi kulisisitiza kiuoga uoga. Sema tuu hwezi nyakuliwa humu.
 
Kwenye kulinda Katiba wamefeli big time, Samia anaikanyaga kabisa Katiba wao kimyaaa, hawa wako kuilinda CCM iendelee kuifisadi Tanganyika
 
Mkishindwa siasa nendeni mkalime siyo kumsingizia yyte anayekuja j
Kwenye hivyo vichwa vyenu vilivyodumaa. Mabwege kwl
 
Wanapuliza kuwasha au wanapuliza kuzima?
Fafanua tujue tunachanja au hatuchanji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ