JWTZ wasiingilie Siasa zetu. Ni kweli, Nchi inawayawaya kama machela

Mnaoishi jirani na makambi ya Hawa jamaa muwe mnachungulia kidogo huko. Rafiki zangu wote hawaniambii Kila nikidadisi hawasemi...au nao hawaelewi kinachojili
 
Majukumu ya Msingi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni;

Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.
Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.📌📌🔨❗
 
Lini wamewapangia cha kufanya?? Mkuu acha bangi.
 
Kuna wahuni pale walimjaza kwa manufaa yao.

Kuwa anaweza na watasiamia kila kitu. Asiachie hadi 2030.
Kama kweli nchi ingekuwa vzr hana ata mradi alio anzisha yeye yote kaikuta yeye ni kuemdeleza tu na ilikuwa ina mshinds
 
Kwani nchi hii Ina jeshi? Mm nawaona ni UVCCM wanaobeba bunduki
 

shida kubwa iliyopo ni pale TISS wenye jukumu la usalama wa nchi wamepuuzwa na watawala. Mtawala hashauriki, akishauriwa kinyume na mawazo yake yasiyo ya kizalendo yeye anatumbua DGIS na timu yake, kumtumbua DG wa TISS imekuwa rahisi kama kumfukuza housemaid. hii haikubaliki!
 
Hv ni kweli huyu mwanamke anaelekea kulipolute na jeshi la wananchi,ila siamini kama ni kweli hilo lipo nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hivyo. Kwamba jeshi letu Lina utofauti sana na majeshi ya wanaume wa nchi nyingine kwamba lenyewe ni jeshi lililojaa wanawake watupu kiasi wakafikia kurubuniwa na mwanamke siwezi kuamini hivyo MUNGU anipe uzima ili nishuhudie yajayo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…